Ah! Wapi... Mie nazeekea JF ndugu yangu kwahiyo sio rahisi kutishika kwa hoja kama hizo... no way! Hata huyo
Richard mwenyewe najua he's just bluffing... hana cha kunijua wala nini!!
Na uzuri mwingine ni kwamba I don't fake my life hapa JF kwahiyo mtu anayenisoma mara kwa mara; siku nikikutana nae akakuta kumbe choka mbaya; wala hawezi kushangaa kwa sababu haijatokea hata mara moja nikajifanya kabosi fulani au msomi fulani hivi!
Na ndio maana hata stori zangu nyingi hapa JF ni za akina Diamond na Ali Kiba... stori za watu wa aina yangu!!! Stori za watu ambao tupo tupo tu... karibu nyumbani Jukwaa la Entertainment & Celebrities