Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

Hapo sasa ndipo siasa inapokuwa tamu ukigusa umeme umeme umemgusa kila mtanzania kila siku mwasema mmegundua gesi huku umeme mwataka kupandisha mimi ningekuwa rais ningefuta hii kitu eura
Wee bi-dada Mtanga sio eura ni Ewura
 
Mkuu nimeuliza unit700 zimegawiwa wapi?sijaelewa ulichojibu sio nilichouliz
 
Tunasubir mwingine,, hata yy ana Roho ngumu waliitwa mashetani hakurisine.
 
You are right...

Alipaswa kusikilizwa...naskia kuna group liko nyuma ya hii kadhia ambayo hawakuwa wanampenda mramba aendelee kuwepo pale

Mramba ni mtu wa mungu na mwenye iman kali sana ya kilokole...

Therefore magumashi na madeal kwake ni Big No...

Hata kwenye seke seke la Escrow alitafutwa sana ili alambishwe ngawira ila akachomoa na kubaki salama na smart kama alivyo

Infact Mramba kaikuta Tanesco ya hovyo ile iliyoachwa na kina Mhando lakin akajitahid kuirekebisha na kuifanya angalau iwe na nafuu kuliko huko awali.

Juma Poor Manager ameendeleza maamuz yake ya mlipuko...
Kaka Big Show huu ni ukabila tuu, vyeo vyote anavibadilisha kuvipeleka Kaskazini, sisi tunaotoka mtwara, Ruvuma huwa tunakumbukwa wakati wa uchaguzi tuu, Leo amri imetolewa Tanesco Na Mhaiki katolewa sijui naye kapandisha umeme. Full purge mtindo mmoja
 
Ukabila tu hakuna cha kusafisha tanesco wala nini
 
Hizo kazi hua ni za mkataba na sio permanent and pensionable, mkqtaba ukiisha au ukisitishwa anatafta kazi nyingine. Kazi zote za ukurugenzi wa mashirika ya umma sio parmanent

Huyu jamaa ameafanya kazi tanesco muda mrefu ndio akateuliwa kuwa mkurugenzi , kuteuliwa kuwa mkurugenzi hakusimamisha ajira yako ya kudumu ulikuwa nayo na kazi ya kuteuliwa ukitenguliwa unarudi kwenye utumishi wako kama kawa labda uwe ulliiiba ukafukuzwa kazi na utumishi. Huyu atapelekwwazirani au apangiwe kazi nyingine ila hadi hapo mshahara unatiririka kama kawa kwa akaunti banki....
 
Huyu jamaa ameafanya kazi tanesco muda mrefu ndio akateuliwa kuwa mkurugenzi , kuteuliwa kuwa mkurugenzi hakusimamisha ajira yako ya kudumu ulikuwa nayo na kazi ya kuteuliwa ukitenguliwa unarudi kwenye utumishi wako kama kawa labda uwe ulliiiba ukafukuzwa kazi na utumishi. Huyu atapelekwwazirani au apangiwe kazi nyingine ila hadi hapo mshahara unatiririka kama kawa kwa akaunti banki....

Huwezi kua na ajira mbili kwa wakati mmoja,tofautisha kupandishwa cheo na kuomba kazi upya.

Alikua mfanyakazi wa Tanesco(kaimu mkurugenzi,baada ya muhando kufukuzwa), ilipotangazwa kazi ya kuzipa nafasi ya muhando akaomba akachaguliwa,hivyo akapoteza nafasi au akakubali kupoteza ile kazi yake ya ajira ya kudumu Tanesco.

Kwani muhando alipoondolewa bado ni mfanyakazi wizarani? Ajira za tanesco ziko tofauti na wizara,ukipoteza kazi tanesco hakuna cha kurudi wizarani,ile ni taasisi inayojitegemea,ni kampuni.
 
Mnaouliza kosa gani lililosababisha kutolewa. Hakuna kosa ila rais naona amempa majukumu mengine ndani ya Tanesco akiwa kama mfanyakazi wa kawaida maana juhudi zake zimeonekana kwahiyo ameshushwa ili atekeleze juhudi zake kwa vitendo zaidi. Hajamfukuza kazi ila amembadilisha cheo tuu. Ni haki ya rais kufanya kazi na mtu mwingine pia siyo lazima Mramba, maana ukiona yupo mtu kama Mramba ujue yupo mwalimu wake. Sasa kamchukua mwalimu wake
 
After all mramba kama mkurugenz mkuu wa shirika alichokifanya yeye ni kupendekeza ombi lake baada ya kuona gharama ya uendeshaji inaleta shida...kwa kupitia bodi yake ya Tanesco akaamua kupendekeza...then bodi kwa kutoa baraka zake ombi likaenda ewura na ewura nao wakaaprove...

Sasa hapo ilitakiwa Magufuli aanze na regulatory authority ambayo ni ewura kisha aje awaulize tanesco kwann wakitaka wapandishe bei ya umeme.

Na hata ukiangalia barua ambayo muhongo kaandika na kumcopy Rais na makamu na wazir mkuu aliandika kwa mkurugenz mkuu wa ewura na siyo Tanesco.

Juma is Poor Manager.

Tatizo kwa sasa siyo upungufu wa maji au gesi, tatizo ni uchakavu wa mitambo na miundo mbinu ya usambazaji, shirika halina pesa za kununulia spare, njia za usambazaji zimeoza, zinatakiwa zibadilishwe. PESA HAKUNA.

Je serikali itaongeza bei ya umeme?
 
Huyu mramba alishwawai nifukuzisha Kaz pale tanesco sitasahau mchezo walionichezea na meneja raslimali watu ....2016 Ni mkabila sna huyu mrombo
 
Back
Top Bottom