Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

Safii sana , amtumbue na DG wa EWURA
Tusishangilie tu huu utumbuaji, je umewahi kujiuliza swali kuwa unafuata taratibu zake au mtu kajiamulia tu? maana mchakato wa kuongeza bei ya umeme ulianza mieza kadhaa iliyopita kwa nini hakuwekewa zulio?
EWURA na TANESCO yote ni mashirika ya serikali sasa kwa nini yangombane yenyewe?
Wizara ina uwezo kisheria kuzuia TANESCO au EWURA,mbona wakati wa wa kuondoa service charge hatukumsikia waziri?
Tafakari kwanza
 
Ulikuwa ukitafutiwa sababu ya kung'oka hapo Tanesco kwa muda mrefu hatimaee muda umewadia.
Ilikuwa inashangaza inakuajee Mtu wa kule mpaka sasa upo kwenye nafasi hiyo katika awamu hii?

Wenzio wote mnaotoka kule walishang'olewa kwenye nafasi zao, kilichokuwa kinakubebaa zaidi ni ufanisi wako na waziri kukuteteaa. Lkn Bado roho ya Mukulu haikusuuzika na alitafuta mbinu ya kila namna na hatimae imetimiaa.

Kipindi Tanesco wanaomba kupandisha bei ya umeme waziri na Mukulu walikuwepo nchini na walilisikia hili. Unajiuliza kwanini hawakuzuia kutokea kabla ya maombi au kipindi cha mchakato wa Maombi hayaa?

Kwanini iwe ni wewe tu na sio bosi wa EWURA? Hivi aliyepandisha bei ni Tanesco au EWURA?

Pole sana Mramba kwa mkasa huu. Ila bado tunahesabu muda, Muda utasema.
 
Ni kwa Kuwa Magufuli anavita na Chuki za Ukabila hakuna Lingine, Felichism Mramba Kosa lake nini? KUWA MCHAGGA AU KUTOKEA KASKAZINI? It is Sad to say but what I see, I see a Trend of Magufulification of CCM, and Sukumalizing Tanzania. Aje mtu hapa Abishe.
 
Na wewe ni Pro nani?
 

Umepotea kabisa punguza hasira Mwache Daud apambane na Goliath. Wasukuma wanaingiaje hapa, Hosea wa Takukuru alikuwa mchaga, kitwanga ni mkibosho. Acha hiyo ya kitoto, tends haki acha mkuu anyooshe mapito
 
Huhitaji PhD ya umeme kuongoza shirika la umeme, you need strong management skills (strategic planning, corporate Management, nk) kuongoza makampuni kama hayo. Huendi pale kufunga umeme, unaenda pale kutengeneza direction ya kampuni for the next 5, 10, 20 years.
 
Daaaaaah!......nchi ishaharibiwa sasa hapa.kazi ipo
 
Aliyofanya Mramba na Mgt yake sio kosa kabisa, alifuata taratibu zote kama inavyotakiwa. Alitafutwa muda mrefu sana sasa kapatiwa sababu! Pole sana Mramba ulifanya kazi kwa weledi na utumishi wako ulitukuka.
 
Kiliochompoza Mramba pamoja na uchapa kazi wake ni kitu kimoja tu nacho ni...................
 
 
Ondoa povu mdomoni
Waache watu wafanye kazi
Hizo kazi hua ni za mkataba na sio permanent and pensionable, mkqtaba ukiisha au ukisitishwa anatafta kazi nyingine. Kazi zote za ukurugenzi wa mashirika ya umma sio parmanent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…