Wee bi-dada Mtanga sio eura ni EwuraHapo sasa ndipo siasa inapokuwa tamu ukigusa umeme umeme umemgusa kila mtanzania kila siku mwasema mmegundua gesi huku umeme mwataka kupandisha mimi ningekuwa rais ningefuta hii kitu eura
Kaka Big Show huu ni ukabila tuu, vyeo vyote anavibadilisha kuvipeleka Kaskazini, sisi tunaotoka mtwara, Ruvuma huwa tunakumbukwa wakati wa uchaguzi tuu, Leo amri imetolewa Tanesco Na Mhaiki katolewa sijui naye kapandisha umeme. Full purge mtindo mmojaYou are right...
Alipaswa kusikilizwa...naskia kuna group liko nyuma ya hii kadhia ambayo hawakuwa wanampenda mramba aendelee kuwepo pale
Mramba ni mtu wa mungu na mwenye iman kali sana ya kilokole...
Therefore magumashi na madeal kwake ni Big No...
Hata kwenye seke seke la Escrow alitafutwa sana ili alambishwe ngawira ila akachomoa na kubaki salama na smart kama alivyo
Infact Mramba kaikuta Tanesco ya hovyo ile iliyoachwa na kina Mhando lakin akajitahid kuirekebisha na kuifanya angalau iwe na nafuu kuliko huko awali.
Juma Poor Manager ameendeleza maamuz yake ya mlipuko...
Hizo kazi hua ni za mkataba na sio permanent and pensionable, mkqtaba ukiisha au ukisitishwa anatafta kazi nyingine. Kazi zote za ukurugenzi wa mashirika ya umma sio parmanent
Huyu jamaa ameafanya kazi tanesco muda mrefu ndio akateuliwa kuwa mkurugenzi , kuteuliwa kuwa mkurugenzi hakusimamisha ajira yako ya kudumu ulikuwa nayo na kazi ya kuteuliwa ukitenguliwa unarudi kwenye utumishi wako kama kawa labda uwe ulliiiba ukafukuzwa kazi na utumishi. Huyu atapelekwwazirani au apangiwe kazi nyingine ila hadi hapo mshahara unatiririka kama kawa kwa akaunti banki....
After all mramba kama mkurugenz mkuu wa shirika alichokifanya yeye ni kupendekeza ombi lake baada ya kuona gharama ya uendeshaji inaleta shida...kwa kupitia bodi yake ya Tanesco akaamua kupendekeza...then bodi kwa kutoa baraka zake ombi likaenda ewura na ewura nao wakaaprove...
Sasa hapo ilitakiwa Magufuli aanze na regulatory authority ambayo ni ewura kisha aje awaulize tanesco kwann wakitaka wapandishe bei ya umeme.
Na hata ukiangalia barua ambayo muhongo kaandika na kumcopy Rais na makamu na wazir mkuu aliandika kwa mkurugenz mkuu wa ewura na siyo Tanesco.
Juma is Poor Manager.
Mwanuka ndo nani mkuuMwanuka ni mwenyeji wa wapi? samahani lakini ...
Atakuwa mnyarwanda mwenzake.Mwanuka ni mwenyeji wa wapi? samahani lakini ...
Ha..ha..haaa (uchochezi)Atakuwa mnyarwanda mwenzake.
kWELI BANA, MANAKE ATAKAYEMTEUA LAZIMA ATATOKA UDSM NA ATAKUWA MHADHIRI, MARK MY WORDS
Safi sana
Muda ni Hakimu, Mungu hamtupi mtumishi wakeHuyu alikuwa mmoja wa watu waadilifu kwenye hii nchi. Na uchafu wa wakina muhongo nashangaa hawa watendaji wanawezaje kufanya kazi