Erick Kaijage
Member
- Aug 9, 2015
- 59
- 23
Hapa kazi tu! Alikuwa anachukua maamuzi pasipo kuwajulisha wakubwa wake was kazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshika mawili..!!Wataendelea na Vipindi kama kawa
Watahimili tu majukumu yote.
Halafu wa UDSM tu ndo wanaula
wabongo kwa sifa bwana! mbona hukusema kabla?alikuwa anamlia timing tu mie nilikuwa najua huyu jamaa hachomoki,
Mhhh utumbuaji huu ila wa ewura naona kapona
huyu wa ewura nae tafadhali atimuliwe nae maana hawa jamaa wametukandamiza sana.Ila mbona jamaaa namuonaga anapiga kaz kisomi sana mramba ...ila duh hizi drama ...
Na wa ewura nae mbona kaachwa
Deklani Mhaiki ameshafariki na how unashauri Rubani ndio akawe boss wa Tanesco (UMEME)Kwa ufupi anachokifanya huyu Juma Poor Manager ni kuharibu na kuboronga tuh
Let say he is right kachukizwa na maamuz ya kupandishwa kwa bei ya umeme ni obvious kwamba Mramba hawez kufanya hivyo bila baraka ya bodi..sasa anaiachaje bodi na kumuondoa mramba.
Pili shirika kama Tanesco linahitaji taaluma ya uendeshaji na siyo kuchukua intruder ambae hata hafaham na hana taaluma hiyo na wala hana experience ya uendeshaji
Mfano Dr Idrisa Rashid ilimchukua muda sana hadi kuja kumaster challanges na kusonga mbele
Wapo watu hapo Tanesco wenye uwezo mkubwa tuh kama Engineer Nazir Kachwamba...Engineer Deklan Mhaiki...na kadhalika ambao may be wangeweza kumrith mramba
Sasa kukimbilia kufanya maamuz ya mlipuko kama hayo ni kutuaminisha kwamba kuna watu wake alishawaandaa na anawatafutia kazi...ma kututhibitishia kwamba katika awamu hii wachaga na waislam ni watu wa kuogopwa kama ukoma
Aliandika mpita njia,Kwani alivyotengeliwa wa kabla yake barua aliandika nani??
Tanesco is synonyms to Serikali unless you tell me otherwise. Nitashukuru kama utajibu hoja zangu zote kwani ndio tutaeleweshana more holistically.Mkuu, kheri ya Mwaka Mpya.
Mramba hajaonewa ila naona huna facts kuhusu khasa kilichomtoa hapo Tanesco.
Inawezekana likawa ni suala la EWURA au pia tangu mwezi may alipoagizwa asitishe mazungumzo na Symbion kuhusu PPA (power production agreement) na serikali.
Lakini pia inawezekana na gharama kubwa ambazo Tanesco inalipa kwa IPP independent power producers.
Utakumbuka hotuba ya bajeti ya profesa Muhongo bungeni mwezi Juni alisema kwamba serikali ipo kwenye mchakato wa kuondokana na IPPs kwa kuwa sasa tuna hata gesi kutoka Mtwara.
Mramba ameagizwa na serikali kuangalai mikataba ambayo Tanesco ilisaini na hawa IPPs na khasa ule wa Symbion ambao wanalipwa kiasi cha dola bilioni 5 kwa mwezi kwa kuwauzia umeme Tanesco kwenye mikoa ya Dar, Arusha na Dodoma.
Jambo baya kabisa kuhusu huu mkataba wa PPA ni kwamba iwe umeme upo au hakuna lazima Tanesco wawalipe Symbion kasi hicho cha fedha kila mwezi.
Na tatizo Mramba alisaini mkataba huo harakaharaka kabla ya raisi JPM kuingia, hivyo unategemea nini hapo?
Acheni kuwa vigeu geu nyieeHuyu alikuwa mmoja wa watu waadilifu kwenye hii nchi. Na uchafu wa wakina muhongo nashangaa hawa watendaji wanawezaje kufanya kazi
Hatari gani wewe chaliii yangu nchi mshaambiwa ya viwanda hala mnapandisha bei ya umeme na mablablaaa mengi huyo mwekezaji mtampatia wapi kwanini wasiende kujifunza nchi za wengine wanafanyaje umeme unakuwa mzuri watu tunaishi roho juu juu kama digi digi asante sana Rais Magufuli usisite kutumbua pale unapoona kuna mtu analeta masihara na uchumi wa nchi.Hii hatari sasa
UNASHIDA YA KUTOTAMBUA UWAJIBIKAJI UNATAKAAENDELEE NA MAKOSA ? KAMA HANA MAKOSA SI AENDE MAHAKAMANI KUDAI HAKI YAKE ? USIONYESHE CHUKI ZAKO BINAFSI KWENYE PUBLIC !Duh...... Yaani siku ya kwanza tu ya mwaka 2017, tayari Magu kauanza kwa kutumbua mtu!
Basi tutarajie mwaka huu utakuwa wa utumbuaji wa kutisha zaidi .......
Mhhh utumbuaji huu ila wa ewura naona kapona
Mheshimiwa Raisi ungeenda mbali zaidi ya hapo na kuitupia uzito wa pekee hii EWURA,haiwezekani na haiingii akilini kwa taasisi nyeti kama EWURA kutumika kama muhuri wa kuhalalisha bei kandamizi kwa wananchi.Ikumbukwe wananchi tunailipa EWURA fedha nyingi sana kwa ajili ya kututetea,yaani kuhakikisha tunalipa tozo stahiki kutokana na gharama stahiki na si vinginevyo.Rais Magufuli leo ametengua rasmi uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini(TANESCO), Eng. Felchesmi Mramba.
Aidha Rais amemteua Dkt. Tito Esau Mwinuka kukaimu nafasi hiyo. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Mwinuka alikuwa mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM).
NDIYO HAPA KAZI TU !Hatari gani wewe chaliii yangu nchi mshaambiwa ya viwanda hala mnapandisha bei ya umeme na mablablaaa mwengi huyo mwekezaji mtampatia wapi kwanini wasiende kujifunza nchi za wengine wanafanyaje umeme unakuwa mzuri watu tunaishi roho juu juu kama digi digi asante sana Rais Magufuli usisite kutumbua pale unapoona kuna mtu analeta masihara na uchumi wa nchi.
Kama manunuzi ya ndege anayafanya yy hata kuandika barua za uteuzi ataandaa tuKwan Msigwa atakapo tenguliwa,press release ataandaa nan?
Teh,nko nawaza tu.
BILA RESEARCH USISEME HAYO NI MAONI YAKO TU YA BILA UCHUNGUZI WA KINA, MHE.RAIS HAKURUPUKI !Mheshimiwa Raisi ungeenda mbali zaidi ya hapo na kuitupia uzito wa pekee hii EWURA,haiwezekani na haiingii akilini kwa taasisi nyeti kama EWURA kutumika kama muhuri wa kuhalalisha bei kandamizi kwa wananchi.Ikumbukwe wananchi tunailipa EWURA fedha nyingi sana kwa ajili ya kututetea,yaani kuhakikisha tunalipa tozo stahiki kutokana na gharama stahiki na si vinginevyo.
Kwa maantiki hiyo ni dhahiri EWURA wamekosa uhalali wa kuwa mtetezi wetu,hivyo ingekuwa ni busara hii taasisi yaani EWURA ingefutiliwa mbali au viongozi wake waandamizi kutumbuliwa.
Tanesco is synonyms to Serikali unless you tell me otherwise. Nitashukuru kama utajibu hoja zangu zote kwani ndio tutaeleweshana more holistically.
"Wakuu wa TANESCO hawapaswi kulipana bonus kila mwisho wa mwaka kiasi cha kufikia Tzs. 60m/- kwa mtu mmoja wakati shirika linashindwa kujiendesha isipokuwa kwa kupandisha bei ya Umeme."Rais Magufuli leo ametengua rasmi uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini(TANESCO), Eng. Felchesmi Mramba.
Aidha Rais amemteua Dkt. Tito Esau Mwinuka kukaimu nafasi hiyo. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Mwinuka alikuwa mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM).