Oh! Kumbe si kwamba hamna umwagiliaji wa maua bali kilichofanyika ni kubadilishwa kwa ratiba ya umwagiliaji!!Kama ni kumwagiliwa maua basi ratiba imebadilishwa.
Ila kama ni kufukua utaratibu wa kuomba kibali upo mbioni.
Thanks for the info!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oh! Kumbe si kwamba hamna umwagiliaji wa maua bali kilichofanyika ni kubadilishwa kwa ratiba ya umwagiliaji!!Kama ni kumwagiliwa maua basi ratiba imebadilishwa.
Ila kama ni kufukua utaratibu wa kuomba kibali upo mbioni.
Huna lolote wewe... eti "I know exactly who you're!"I know exactly who you are, but lets not get into that route.
We are just passers by.
Huyo atakuwa mekwaEbu niambie, elimu yako? (sina nia ya dharau, hapana, nielewe please) nataka tuwe na common definition of our terms so that we can make syllogism work. Are you an academician? then tutaelimishana!
Oh! Kumbe si kwamba hamna umwagiliaji wa maua bali kilichofanyika ni kubadilishwa kwa ratiba ya umwagiliaji!!
Thanks for the info!
Huna lolote wewe... eti "I know exactly who you're!"
Wivu tu unakusumbuasafi magufuli mramba alikuwa anapwaya sana
huwezi gawa unit 700 bure bure kwa shirika linalopata hasara...
Mchawi wa Tanesco ni Tanesco mwenyewe... Magufuli Hajaliona hili?
mramba ni jipu kubwa sana
nadhani alikua anwazibia ulaji, bwana mramba hanaga kona kona , ni mkweli na hataki blabla.Hv alijiamulia kutangaza bei ya umeme kupanda bila kukaa vikao? Halafu hata Katibu mkuu wake hakumwambia? Yaani kachukua uamuzi kama vile mzee Mengi or bakhersa.Siamini kama alifanya hv
Sioni kosa mtu kutoa proposal! You can reject his proposal and move on! Nambie kosa ni lipi? Anyway, sijui nabishana na mtu wa namna gani education-wise!Wewe unaona si kosa?
Kafara ya kazi gani??? Hawawezi wakawa wanatupandishia umeme ili wao wapate mahela ya kutosha. Acha watumbuliwe maana wamekula vya kutosha. Hakuna watu wanaoishi maishi ya anasa kama wakurugenzi wa tanesco. Imefika wakati mm naanza kuziunga mkono siasa za magu japo zimejaa sifa ila kwa upande mwingine zinalenga kutusaidiaIt was staged na sarakasi nyingi na walijua tu watamfukuza. Umeme utapanda bei tuu, si tupo humu JF.
God bless you Injinia
Oh!! Kumbe huwa natoa lugha kali sio? Post yangu ya kwanza kwako ni hii hapa:Unapobishana kwa hoja unatumia lugha kali na isiyo staha na hiyo nimeoiona katika mada nyingi unazochangia.
Lakini kwa watu kama mimi huwezi kunipa shida tutakwenda taratibu kwa sababu nnakufahamu wewe Chige.
Au bado hutaki kukubali hilo?
Unaweza kuniambia hiyo lugha kali na isiyo na staha hapo ni ipi hata ikakufanya usijibu hayo maswali??Tuanze na hilo gas... je, TANESCO nafasi yao ni ipi linapokuja suala la matumizi ya gas? Ni kwamba hawataki tu kutumia gas kwavile they're incompetent, au kivipi?
By the way, hivi unaamini kabisa kwamba as of now Tanzania tuna umeme wa kutosha? Hivi unaamini kabisa kwamba tuna surplus ya umeme?!
Unless you prove otherwise, ninachoamini na ndicho kilichopo ni kwamba bado tuna energy deficit. Kama ndivyo; hivi umeshajiuliza nini kinaweza kutokea endapo matumizi ya umeme yanaongezeka japo kwa 5%? And tell you what... umeme hautoshi wakati watu wanaogopa kutumia majiko na mabirika ya umeme! Ukitaka kugombana na wapangaji wenzako wakugundue kwamba unatumia jiko la umeme!!!
Be informed kwamba wakati mwingine bei inaongezwa just ku-balance matumizi ya umeme! Hata kama ulikuwa unatumia LUKU ya peke yako; bei ya umeme iki-shoot; wala hakuna atakayekuambia rudisha jiko lako la umeme store... wewe mwenyewe ndie utalipeleka store na kutafuta alternatives!
Kwahiyo bei haitapanda only if everything will remain constant or else; it's inevitable unless we want to play politics!!!
Kuchimba gesi is even more expensive kuliko ulivyoaminishwa na wanasiasa bila wewe kufikiri na kulinganisha mafuta na gesi. Huwezi maana unaambiwa cha kufikirimmmmh pole sana bwa felichismi ila mwenzio wa ewura nae alipaswa atupwe nje kwa sababu anaenda kiholelea tuu bila kufanya coordination sahihi hata wizara husika haijajua?? na kwa nini umeme upande wakati gesi imegunduliwa na inatumika kwa wingi?? mimi nilitegemea hii nguvu ya maji ipate upinzani kutoka kwa bwana gesi??
Maamuzi ya mihemuko mkuu, No reasoning, no consissors, ma hivyo alipanga kwenda kutoa neno Kanisani akapatia cha kusema ili ashangiliwe.Hivi kosa ni nini?