Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

Kama ni kumwagiliwa maua basi ratiba imebadilishwa.

Ila kama ni kufukua utaratibu wa kuomba kibali upo mbioni.
Oh! Kumbe si kwamba hamna umwagiliaji wa maua bali kilichofanyika ni kubadilishwa kwa ratiba ya umwagiliaji!!

Thanks for the info!
 
Ebu niambie, elimu yako? (sina nia ya dharau, hapana, nielewe please) nataka tuwe na common definition of our terms so that we can make syllogism work. Are you an academician? then tutaelimishana!
Huyo atakuwa mekwa
[emoji12]
 
Oh! Kumbe si kwamba hamna umwagiliaji wa maua bali kilichofanyika ni kubadilishwa kwa ratiba ya umwagiliaji!!

Thanks for the info!

Unapobadilisha ratiba ya umwagiliaji kwa lengo la kuliua hilo ua taratibu, pia unapunguza kiasi cha maji na siku za umwagiliaji.

Mwishowe ua linaanza kunywea taratibu.
 
Huna lolote wewe... eti "I know exactly who you're!"

Unapobishana kwa hoja unatumia lugha kali na isiyo staha na hiyo nimeoiona katika mada nyingi unazochangia.

Lakini kwa watu kama mimi huwezi kunipa shida tutakwenda taratibu kwa sababu nnakufahamu wewe Chige.

Au bado hutaki kukubali hilo?
 
Hv alijiamulia kutangaza bei ya umeme kupanda bila kukaa vikao? Halafu hata Katibu mkuu wake hakumwambia? Yaani kachukua uamuzi kama vile mzee Mengi or bakhersa.Siamini kama alifanya hv
nadhani alikua anwazibia ulaji, bwana mramba hanaga kona kona , ni mkweli na hataki blabla.
 
Mimi pia kuna mradi wangu wa kuku mahali, nafikiri unit moja inatumika siku 2 makes nine taa tu. nikiweka elfu kumi napata unit 28 tu. hivo nauziwa umeme kwa unit shs 350.
 
mmmmh pole sana bwa felichismi ila mwenzio wa ewura nae alipaswa atupwe nje kwa sababu anaenda kiholelea tuu bila kufanya coordination sahihi hata wizara husika haijajua?? na kwa nini umeme upande wakati gesi imegunduliwa na inatumika kwa wingi?? mimi nilitegemea hii nguvu ya maji ipate upinzani kutoka kwa bwana gesi??
 
Mh Rais kama weka usawa kwenye uwajibishaji wako wawajibishe wote kuanzia mwenyekiti bodi ya Tanesco, Mkurugenzi EWURA na mwenyekiti Bodi ya wakurugenzi EWURA maana huko kote ongezeko hilo lilipata baraka. Kama hatafanya hivyo atakuwa hajatenda haki na huku ndiko kukurupuka kunakozungumzwa!
 
It was staged na sarakasi nyingi na walijua tu watamfukuza. Umeme utapanda bei tuu, si tupo humu JF.

God bless you Injinia
Kafara ya kazi gani??? Hawawezi wakawa wanatupandishia umeme ili wao wapate mahela ya kutosha. Acha watumbuliwe maana wamekula vya kutosha. Hakuna watu wanaoishi maishi ya anasa kama wakurugenzi wa tanesco. Imefika wakati mm naanza kuziunga mkono siasa za magu japo zimejaa sifa ila kwa upande mwingine zinalenga kutusaidia
 
Unapobishana kwa hoja unatumia lugha kali na isiyo staha na hiyo nimeoiona katika mada nyingi unazochangia.

Lakini kwa watu kama mimi huwezi kunipa shida tutakwenda taratibu kwa sababu nnakufahamu wewe Chige.

Au bado hutaki kukubali hilo?
Oh!! Kumbe huwa natoa lugha kali sio? Post yangu ya kwanza kwako ni hii hapa:
Tuanze na hilo gas... je, TANESCO nafasi yao ni ipi linapokuja suala la matumizi ya gas? Ni kwamba hawataki tu kutumia gas kwavile they're incompetent, au kivipi?

By the way, hivi unaamini kabisa kwamba as of now Tanzania tuna umeme wa kutosha? Hivi unaamini kabisa kwamba tuna surplus ya umeme?!

Unless you prove otherwise, ninachoamini na ndicho kilichopo ni kwamba bado tuna energy deficit. Kama ndivyo; hivi umeshajiuliza nini kinaweza kutokea endapo matumizi ya umeme yanaongezeka japo kwa 5%? And tell you what... umeme hautoshi wakati watu wanaogopa kutumia majiko na mabirika ya umeme! Ukitaka kugombana na wapangaji wenzako wakugundue kwamba unatumia jiko la umeme!!!

Be informed kwamba wakati mwingine bei inaongezwa just ku-balance matumizi ya umeme! Hata kama ulikuwa unatumia LUKU ya peke yako; bei ya umeme iki-shoot; wala hakuna atakayekuambia rudisha jiko lako la umeme store... wewe mwenyewe ndie utalipeleka store na kutafuta alternatives!

Kwahiyo bei haitapanda only if everything will remain constant or else; it's inevitable unless we want to play politics!!!
Unaweza kuniambia hiyo lugha kali na isiyo na staha hapo ni ipi hata ikakufanya usijibu hayo maswali??

Au let's assume not from that post... je, unaweza kuniwekea any post highlighting hiyo lugha kali na isiyo na staha hata ikakufanya ushindwe kujibu nilichokuuliza?!
 
mmmmh pole sana bwa felichismi ila mwenzio wa ewura nae alipaswa atupwe nje kwa sababu anaenda kiholelea tuu bila kufanya coordination sahihi hata wizara husika haijajua?? na kwa nini umeme upande wakati gesi imegunduliwa na inatumika kwa wingi?? mimi nilitegemea hii nguvu ya maji ipate upinzani kutoka kwa bwana gesi??
Kuchimba gesi is even more expensive kuliko ulivyoaminishwa na wanasiasa bila wewe kufikiri na kulinganisha mafuta na gesi. Huwezi maana unaambiwa cha kufikiri
 
Hivi kosa ni nini?
Maamuzi ya mihemuko mkuu, No reasoning, no consissors, ma hivyo alipanga kwenda kutoa neno Kanisani akapatia cha kusema ili ashangiliwe.

Siasa kwa asiye mwana siasa ili aonekane mwanasiasa mahiri.
 
Nyie n wapingaji tu hamna jema kwenu.Rais wetu fanya kaz baba tumbua majipu kabisa.ndiyo kaz tuliyokutuma achana na wapiga kelele
 
Nilijifanya kuzungumzia sana maswala ya ajira kumbe mwongo nikaanza kugawa vyeo kwahila,hata washauri wangu niliwaweka matahira ikafanya uwongozi wangu kupoteza dira.process j aliona mbali sana katika hii nyimbo
 

Attachments

Back
Top Bottom