Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

Nimekupata mkuu, kama wewe ungekuwa Mangu namfahamu vizuri na ule undugu wake na Tundu Lissu.

Usikute vetting yake imepitia mezani kwangu.

Nimepiga sana biashara za ujasirimali Singida.

JF ni sebule ya majadiliano tuondoe personal issues.

😀😀😀
Umemtisha sana chige kwa kueleza kuwa unamfahamu.
Unapokuwa humu jamvini inatakiwa uvumilie yote lugha kali zinatumika sana hasa na wakosoaji, kama hazinjavunja sheria za humu basi hakuna utata.

Hata mimi ni muumini wa lugha kali lakini simvunjii mtu heshima na hakuna ubaya kwenye hilo.

Kwa yanayoendelea sasa serikalini inaonekana wazi lipo tatizo tena kubwa hakuna coordination hata kidogo waziri leo anaeza sema hivi kesho katibu wa wizara akaja na kauli nyingine inayopingana na waziri.

Ni kama ishu ya Dangote mpaka rais anakuja kuingilia lakini tuliskia kauli nyingi zinazopingana kutoka kwa mawaziri.
Hata hili la kupanda kwa bei ya umeme ni hivyohivyo mei naona hii ni michezo tu ya kisiasa tena siasa chafu na hazina tija kwa maendeleo ya taifa.
 
Umemtisha sana chige kwa kueleza kuwa unamfahamu.
Unapokuwa humu jamvini inatakiwa uvumilie yote lugha kali zinatumika sana hasa na wakosoaji, kama hazinjavunja sheria za humu basi hakuna utata.

Hata mimi ni muumini wa lugha kali lakini simvunjii mtu heshima na hakuna ubaya kwenye hilo.

Kwa yanayoendelea sasa serikalini inaonekana wazi lipo tatizo tena kubwa hakuna coordination hata kidogo waziri leo anaeza sema hivi kesho katibu wa wizara akaja na kauli nyingine inayopingana na waziri.

Ni kama ishu ya Dangote mpaka rais anakuja kuingilia lakini tuliskia kauli nyingi zinazopingana kutoka kwa mawaziri.
Hata hili la kupanda kwa bei ya umeme ni hivyohivyo mei naona hii ni michezo tu ya kisiasa tena siasa chafu na hazina tija kwa maendeleo ya taifa.

Hapana hayo yote unayoyaona yanafanywa na "team against" kwa kuwahi kuvujisha barua na zingine kuzitengeneza kabisa.
 
Hiyo ndio kauli mbiu yetu kwa sasa, tunawalinda "wanyonge walioumbwa kwa mfano wa Mungu"; wanaowanyanyasa wameumbwa kwa mfano wa shetani, ni kuwatumbua tu, hakuna namna nyingine!
Teh teh teh! Mada ya leo nzuri sana! Leo nakaa pembeni nijifunze kitu maana kuna watu wanajifanya wajuaji
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Watu mnasherehekea kutumbuliwa kwake kama vile wewe unayefurahi umeongezewa chochote au unapata faida, mnashindwa kufikiria tatizo lipo wap,hivi hizo bei
 
Mkuu, Kheri ya mwaka mpya.

Umeme hauwezi kupanda.

Kwanini gharama za umeme ziwe juu wakati kuna gesi vyanzo vingine ambavyo sasa hivi vimejaa maji kama kule Ruvu?

Unakumbuka raisi JPM alisema kule Ruvu kuna watu walikuwa wakipunguza kina cha maji kwa makusudi?

Hivi mnafikiri raisi JPM hafahamu mambo yalokuwa yakifanywa na mtandao wa mafisadi katika nchi hii?

hahahaha ivi bado mnaotaa kiasi hiki...
 
6de1cf51ae7f623186449748cf49071c.jpg
Tanesco's problem are deep rooted into mismanagement. The current problems are a result of years of neglect up to lower levels. Electric installations are shoddy, materials are stolen or misplaced. The result is constant power disconnections which lead to lower revenue collections -this is all a vicious circle and getting out of it requires strenous efforts. There should be a complete overhaul of Tanesco Management as low as Zonal, Regional and District levels. I am writing this from my own personal experience of paying so much money and later on ended with lower spec cables and terrible installations. My complaints to Management did not bear any fruits. Replacing the MD is not enough, TAKUKURU should also set permanent camps at all Tanesco offices.
 
Ila kuna jambo hapa ambalo sijaelewa... naomba wajuvi wanijuze! Hivi unachomoa vipi Mwalimu wa Chuo kuwa Managing Director wa shirika lenye changamoto lukuki?! Hivi PhD inaweza ku-solve changamoto za TANESCO pasipo na kuwa na uelewa kwa mapana na marefu ya changamoto za TANESCO na energy sector kwa ujumla?! Au Mheshimiwa Daktari alitokea private/public commercial sector kabla hajawa Mhadhiri?
Mramba kabla ya hapo alikuwa nani hadi akapata uzoefu wa kuendesha shirika kama lile.
Ni suala la mda tu kujifunza....!!
 
Umeme ushapanda kabla hajatangaza wanajifanya kuwapumbaza wazembe...kama unanunua umeme utajua kama gharama imepanda au ni ileile...nchi ngumu hii matukio ya kipumbavu mtu anatembea kifua mbele anashangilia anasahau ustaarabu wa nyuma
 
Hivi hayo maombi ya bei za umeme yametolewa gafla au yalitangazwa kwanza,? Na je hao wakuu wa nchi na viongozi wa wizara hiyo hawakuona hayo maombi maana yalitangazwa sana, au tulikua tunasubiri mtu ajichanganye tumtoe coz tulikua hatujapata kosa lakumtoa? Je hiyo ndiyo njia ya kufanya kazi kwa ufanisi? Viongozi wa nchi hii acheni unafiki wa kijinga hatutafika kwa njia hii, mrekebishe mwenzio kabla na si kukimbilia kumtumbua tu, au kwasababu anatoka ile kanda ya kule?Nchi hii naona kipaumbele ni kutumbua na si kujijenga, endeleeni na maigizo yenu siku hazigandi nanyi hamtakua watawala daima, mtatoka tu.
 
Mimi pia kuna mradi wangu wa kuku mahali, nafikiri unit moja inatumika siku 2 makes nine taa tu. nikiweka elfu kumi napata unit 28 tu. hivo nauziwa umeme kwa unit shs 350.
Ndugu kuna kitu labda unatakiwa kukifahamu,katika tangazo la punguzo la umeme ilianishwa kwamba,unit moja itauzwa kwa sh.mia kwa watu wanaotumia chini ya units 75 kwa mwezi,na sh.350 kwa unit moja kwa wenye matumizi zaid ya units 75 kwa mwezi,angalia vzr upo kundi lipi hapo??
 
Nahuyu hataiweza tanesco,ile taasisi haihitaji siasa ni hela ziwekezwe kazi ipigwe Sasa serikali inataka makubwa bila uwekezaji mkubwa na wakutosha. Huu ni uthibitisho kuwa serikali haiwez simamia biashara kubwa
Pale TANESCO kuna jambo kama tulileta mtu mweupe kaburu ausimamie uongozi wa juu wa shirika na hawakufanikiwa sijui aje nani atakayeweza!
 
Tumia akili kufikiri usitumie kipururu chako,nmekwambia tetesi zilkuepo kwenye mitandao hata hapa jf tangu mwezi wa kumi,lakini ewura rasmi wametangaza Jana au hata hujui ewura wametangaza lini ongezeko hilo? Vijana wa ufipa mpo kama misukule hivi
Yan kweli mvivu wa kufuatilia mambo kumbe ndugu yangu ulikiwa na taa
Tumia akili kufikiri usitumie kipururu chako,nmekwambia tetesi zilkuepo kwenye mitandao hata hapa jf tangu mwezi wa kumi,lakini ewura rasmi wametangaza Jana au hata hujui ewura wametangaza lini ongezeko hilo? Vijana wa ufipa mpo kama misukule hivi


Mzee basi ngoja nikusaidie maana naona Mvivu wa kufuatilia mambo umekazana na tetesi za Jamiiforums

Pitia hapa.

http://www.mwananchi.co.tz/habari/T...me-mwakani/1597578-3444658-kkeqsiz/index.html


http://www.ewura.go.tz/wp-content/uploads/2016/11/Tanesco_Public-Notice_Kiswahili_04Nov2016.pdf

Tanesco yaomba kupandisha bei ya umeme

Uwe unasome sio unaleta ujanja ujanja.
 
Hivi wewe hujafahamu mpaka kwenye gesi tumeliwa?
Tumeliwa hatujaliwa watanzania wanachohitaji ni gesi iweze kuzalisha umeme kwa gharama nafuu.

Na Utawala huu ndiyo unajaribu kuyaangalia hayo.
 
Nashangaa wanao tetea wateule wa Rais kutenguliwa, hizi nafasi ni chache na zinanufaisha sana mtu azipatazo.
Wapo wengi wenye uwezo wa kuzifanya hizo kazi acheni nao wapate nafasi huyo nae aendelee na ajira yake ya awali kwan siyo lazma adumu ktk nafasi hiyo.
 
Back
Top Bottom