Huko kusilimia ni nini na hayo makanda ndio madude gani ndugu?JK anawasilimia makanda anasema yeye yupo kawamiss sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko kusilimia ni nini na hayo makanda ndio madude gani ndugu?JK anawasilimia makanda anasema yeye yupo kawamiss sana.
Mchagga?Hivi kosa ni nini?
Anything is possible! Could be true or not! We are not guided by principle in our doings!Mchagga?
Umemtisha sana chige kwa kueleza kuwa unamfahamu.Nimekupata mkuu, kama wewe ungekuwa Mangu namfahamu vizuri na ule undugu wake na Tundu Lissu.
Usikute vetting yake imepitia mezani kwangu.
Nimepiga sana biashara za ujasirimali Singida.
JF ni sebule ya majadiliano tuondoe personal issues.
😀😀😀
Umemtisha sana chige kwa kueleza kuwa unamfahamu.
Unapokuwa humu jamvini inatakiwa uvumilie yote lugha kali zinatumika sana hasa na wakosoaji, kama hazinjavunja sheria za humu basi hakuna utata.
Hata mimi ni muumini wa lugha kali lakini simvunjii mtu heshima na hakuna ubaya kwenye hilo.
Kwa yanayoendelea sasa serikalini inaonekana wazi lipo tatizo tena kubwa hakuna coordination hata kidogo waziri leo anaeza sema hivi kesho katibu wa wizara akaja na kauli nyingine inayopingana na waziri.
Ni kama ishu ya Dangote mpaka rais anakuja kuingilia lakini tuliskia kauli nyingi zinazopingana kutoka kwa mawaziri.
Hata hili la kupanda kwa bei ya umeme ni hivyohivyo mei naona hii ni michezo tu ya kisiasa tena siasa chafu na hazina tija kwa maendeleo ya taifa.
Teh teh teh! Mada ya leo nzuri sana! Leo nakaa pembeni nijifunze kitu maana kuna watu wanajifanya wajuajiHiyo ndio kauli mbiu yetu kwa sasa, tunawalinda "wanyonge walioumbwa kwa mfano wa Mungu"; wanaowanyanyasa wameumbwa kwa mfano wa shetani, ni kuwatumbua tu, hakuna namna nyingine!
Hakuna ujuaji hapa, tutawanyorosa mpaka wanyooke kwa nguvu ya hoja tu, ni kutumbua kwa kwenda mbele design ya Duterte wa Philipines!Teh teh teh! Mada ya leo nzuri sana! Leo nakaa pembeni nijifunze kitu maana kuna watu wanajifanya wajuaji
Mkuu, Kheri ya mwaka mpya.
Umeme hauwezi kupanda.
Kwanini gharama za umeme ziwe juu wakati kuna gesi vyanzo vingine ambavyo sasa hivi vimejaa maji kama kule Ruvu?
Unakumbuka raisi JPM alisema kule Ruvu kuna watu walikuwa wakipunguza kina cha maji kwa makusudi?
Hivi mnafikiri raisi JPM hafahamu mambo yalokuwa yakifanywa na mtandao wa mafisadi katika nchi hii?
Tanesco's problem are deep rooted into mismanagement. The current problems are a result of years of neglect up to lower levels. Electric installations are shoddy, materials are stolen or misplaced. The result is constant power disconnections which lead to lower revenue collections -this is all a vicious circle and getting out of it requires strenous efforts. There should be a complete overhaul of Tanesco Management as low as Zonal, Regional and District levels. I am writing this from my own personal experience of paying so much money and later on ended with lower spec cables and terrible installations. My complaints to Management did not bear any fruits. Replacing the MD is not enough, TAKUKURU should also set permanent camps at all Tanesco offices.
Sio kupandisha umeme tu....ni namna shirika linavyoendeshwaKosa ni kwanini amependekeze kupandisha umeme??
Mramba kabla ya hapo alikuwa nani hadi akapata uzoefu wa kuendesha shirika kama lile.Ila kuna jambo hapa ambalo sijaelewa... naomba wajuvi wanijuze! Hivi unachomoa vipi Mwalimu wa Chuo kuwa Managing Director wa shirika lenye changamoto lukuki?! Hivi PhD inaweza ku-solve changamoto za TANESCO pasipo na kuwa na uelewa kwa mapana na marefu ya changamoto za TANESCO na energy sector kwa ujumla?! Au Mheshimiwa Daktari alitokea private/public commercial sector kabla hajawa Mhadhiri?
Ndugu kuna kitu labda unatakiwa kukifahamu,katika tangazo la punguzo la umeme ilianishwa kwamba,unit moja itauzwa kwa sh.mia kwa watu wanaotumia chini ya units 75 kwa mwezi,na sh.350 kwa unit moja kwa wenye matumizi zaid ya units 75 kwa mwezi,angalia vzr upo kundi lipi hapo??Mimi pia kuna mradi wangu wa kuku mahali, nafikiri unit moja inatumika siku 2 makes nine taa tu. nikiweka elfu kumi napata unit 28 tu. hivo nauziwa umeme kwa unit shs 350.
Pale TANESCO kuna jambo kama tulileta mtu mweupe kaburu ausimamie uongozi wa juu wa shirika na hawakufanikiwa sijui aje nani atakayeweza!Nahuyu hataiweza tanesco,ile taasisi haihitaji siasa ni hela ziwekezwe kazi ipigwe Sasa serikali inataka makubwa bila uwekezaji mkubwa na wakutosha. Huu ni uthibitisho kuwa serikali haiwez simamia biashara kubwa
Yan kweli mvivu wa kufuatilia mambo kumbe ndugu yangu ulikiwa na taaTumia akili kufikiri usitumie kipururu chako,nmekwambia tetesi zilkuepo kwenye mitandao hata hapa jf tangu mwezi wa kumi,lakini ewura rasmi wametangaza Jana au hata hujui ewura wametangaza lini ongezeko hilo? Vijana wa ufipa mpo kama misukule hivi
Tumia akili kufikiri usitumie kipururu chako,nmekwambia tetesi zilkuepo kwenye mitandao hata hapa jf tangu mwezi wa kumi,lakini ewura rasmi wametangaza Jana au hata hujui ewura wametangaza lini ongezeko hilo? Vijana wa ufipa mpo kama misukule hivi
Tumeliwa hatujaliwa watanzania wanachohitaji ni gesi iweze kuzalisha umeme kwa gharama nafuu.Hivi wewe hujafahamu mpaka kwenye gesi tumeliwa?