Magufuli aufufua mradi utakaoweza kusambaza umeme Afrika Mashariki nzima!

Karne hii bado anawaza umeme wa maji..dah kweli ujinga kitu kibaya sana ..anaenda ku invest hela nyingi hapo hakuna la maana..si walisema gesi inakwenda kumaliza tatizo la umeme au
Mkuu fanya utafiti kidogo tu utapata majibu ya hoja yako.

Hii ni link ya mradi mkubwa wa karibuni tu ambao mataifa yaliyoendelea yamewekeza pesa zao.

Three Gorges Dam - Wikipedia
 
Tuliambiwa mradi Wa Kinyerezi ungeondoa tatizo LA umeme. Mbona sioni matunda na mmeanza na kiki Nyingine ?

Kinyerezi haujaisha wote, wa mwanzo tu umepunguza tatizo kwa kiasi kikubwa sana.

Toka Kinyerezi I imefunguliwa mgao umekuwa hadithi. Ikikamilika III na IV ndiyo kabisa na backup tutakuwa nayo.
 
Umesahau na smelter ya mchanga wa dhahabu nasikia inakula MW 1000 yenyewe tu. Hapo bado treni la umeme Dar-Moro!
 
Umesahau na smelter ya mchanga wa dhahabu nasikia inakula MW 1000 yenyewe tu. Hapo bado treni la umeme Dar-Moro!
Nani huyo alikudanganya smelter ya dhahabu inakula mw1000? Smeltel ya kiwanda cha cement inakula umeme mwingi kuliko ya dhahabu. Labda kidogo ungesema smelter ya copper. Hiyo ya copper haija fikia ata robo ya mw 1000. Ulikuwa mwenye vijiwe vya kahawa.
 
JK alituambia mradi wa gesi ya Mtwara-Dar ukiisha Tanzania itaanza kusambaza umeme Africa mashariki.

Sijui huu mradi haujaisha au tayari?
 
Teh teh teh.!
Sasa hivi unampenda Magufuli eeh?
 
JK alituambia mradi wa gesi ya Mtwara-Dar ukiisha Tanzania itaanza kusambaza umeme Africa mashariki.

Sijui huu mradi haujaisha au tayari?
Mbona maswali ya namna hii yanajirudiarudia?
Mnataka mjibiwe Mara ngapi?
 
Karne hii bado anawaza umeme wa maji..dah kweli ujinga kitu kibaya sana ..anaenda ku invest hela nyingi hapo hakuna la maana..si walisema gesi inakwenda kumaliza tatizo la umeme au
Ni kweli ujinga kitu kibaya, na hapa umeonesha ujinga wako
 
Jombaa wato wanaongelea MEGAWATT sio WATT.....

Kaka afadhali usaidie wenye akili ndogo maana MTU kasomea ualimu wa historian nae anataka kuleta challenge ya utalaamu wa sayansi....sasa ona anakurupuka na WATT bila kujua ukubwa wa WATT 2100 ni balbu 20 tuu za aina ya yai za sh mia tano....ukimuuliza ukubwa was megawatt no ngapi jicho linamtoka kama kala pilipili mbuzi,,,nae ana challenge et bado tunazalisha WATT,,,Akili ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…