Magufuli aufufua mradi utakaoweza kusambaza umeme Afrika Mashariki nzima!



Aameiruka hata KiloWatt
 
Kuweka ile tatizo la umeme litakuwa historia??
 
Huaga nachoka mm mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hehee, mradi wa 2100 wa kufaidi Afrika mashariki yote? Yaoneka hamyafahamu matumizi ya Kenya
 
Ila kusema kweli mgawo umedhibitiwa sana, sasa naamini ulikuwa mgawo wa kutengeneza. Hongera Jpm
Mbona bado upo.. huku kila jumamos lazima wakate mchana unarudig saa 12 jion mbgl
 
Kwa hiyo unashauri nini.?
 

Si viwanda vyote vitatumia umeme vingine vitatumia gesi.
 
mlisema gas itamaliza tatizo la umeme vip tunarud tena kuzalisha umeme kwa kutegemea maji!
 
Hilo bonde lipo wapi I see
 
Kitu cha heri sana kama Reli ikinyanyuka tena kukawa na usafiri mwingi. Maana wenye mabasi wanafanya chaji bei juu kwa sababu hawana mshindani katika soko
 
Ni umeme wa GAS au HYDRO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…