Magufuli aufufua mradi utakaoweza kusambaza umeme Afrika Mashariki nzima!

Analysis yako inaweza kuwa nzuri, lakini umeharibu tu kuwa na emotions na kuonyesha kuwa tz tunaenda kuzalisha umeme ambao hatutaweza kuutumia!

Tuna miradi mikubwa sana ambayo inahitaji umeme mwingi,

Tunahitaji kujenga train ya umeme
Tunahitaji kujenga smelter ya kuchenjua madini
Bado tunaendelea kusambaza umeme vijijini
Viwanda zaidi ya 200 vinaenda kujengwa pwani na vingine maeneo mengine

Hivi ni lazima tuwe na plan ya kuhakikisha kuwa haya mambo yakifikia completion hatuhitaji kuwa na shida ya umeme
 
JK alituambia mradi wa gesi ya Mtwara-Dar ukiisha Tanzania itaanza kusambaza umeme Africa mashariki.

Sijui huu mradi haujaisha au tayari?
Mkuu tulishaondoka kwenye zama za porojo,hizi ni zama za kazi kwa vitendo,,tafadhali muacha Mzee wa Msoga apumzike!
 
Mkuu tulishaondoka kwenye zama za porojo,hizi ni zama za kazi kwa vitendo,,tafadhali muacha Mzee wa Msoga apumzike!
Wewe na nani mkuu?
Serikali ya Tanzania bado ipo kwenye porojo ya kupeleka 34% ya bajeti yake!
 
A reason there is East Africa n Southern Africa power pool grid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…