Magufuli, CAG, Ndugai, Lissu, Makonda na Nape pitia hapa

Sijui ni Mungu katufumba sijui ni shetani,akili zetu na ufahamu wetu ungewekwa wazi huu ni unabii tosha wa kumponya mtu kabla hayajamfika ya kumfika.
 
Duuh wangejua kusoma na kuelewa wangepona Ila hakuona wala kusikia maskni ya Mungu😭😭😭😭
 
mhh!! mamaa britanicca mrembo kama wewe kwanini unakuwa mwizi, mwongo na tapeli la hovyohovyo, hivi wewe hata huko kwa mumeo siunampa tabu sana? na kama huna mume siku ukiolewa siutamsumbua sana? matokeo yake ni kuivunja ndoa yako mwenyewe na kuwa single maza.

Moderator mshughulikieni huyu dada anaejiita britanicca ni mdada muongo muongo asiyefaa, hawa ndo majizi ya kike. Moderator mpeni ban hata ya mwezi sio mbaya.
 
Sasa si ungeanzisha uz mpya!!, Mods nanyny mbona mnakuwa vilaza!?, mtu anaedit uz wa siku nyngi kwa tarehe ya siku zlizopita halafu anaandika Mambo ya Sasa ambayo hakuyaongelea kabisaaa tar za nyuma za Uzi wake, hii inaleta picha yaalitabiri kumbe ni ame edit bandiko kwa tar ya zamani. Futa Uzi,na apewe ban ya miezi 3,iwe fundisho kwa wengine,jf ni jukwaa linalo heshimika na sio litumiwe vibaya!!
 

Heshima kwako banaaas daaaaadaaaaa
 
Aah kwa vile iko edited basi,nilitaka kusifia!
 

Aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…