Magufuli, CAG, Ndugai, Lissu, Makonda na Nape pitia hapa

HII NAYO NI MUHIMU MNO

1. Magufuli udikteta wako haisaidii maana Sisi sote ni Nyama ipo siku utaondoka tena yawezekana hujamaliza muhula ujao kwakuwa Hakuna anayejua ya Mungu

2. Rejesha pesa za Watanzania unazoficha visiwa vya seashells tunaijua, Maana ukifa wote watakukana.

3. Professa Assad usiumie Sana kisa nafasi uliyopokonywa kwa kuwa Magufuli kathubutu Kuonesha udhaifu wa Bunge kwa kumpelekea Maelezo Ndugai akushughulikie, Na mtashangaa anayekuja kumwajibisha ni Rais atakaye kuwa dhaifu! Hata kama hatakuwa Magufuli Na Ndugai ipo siku atakuja Rais atumie chama amuondoe spika kinyume

4.Nape Usiulize maswali yenye ukakasi kama vile haukuwa kwa kabinet ila tulia CCM inawataka Kama ninyi ipo siku utaendelea Na Uwaziri Ama kwa Magufuli Au kwa Rais Mwingine ajaye Hee bado kazi

5. Mbowe na Lissu Msionekane mmelegea wakati hii mkaja kukaza Siku Dikteta Magufuli kaondoka itaonekana mnaogopa baadhi ya Viongozi wenye misimamo mikali,

6. Mkienda mahali na rafiki yako zako we Makamba usiwaamini wote Maana anayewarekodi ni mtu wako wa Karibu Mwenye macho makubwa

7. Magufuli Kubaliana na mitazamo tofauti kumbuka 6 kwako inaweza kuwa 9 kwa aliyekaa upande mwingine. Mawazo ya ziada ni mbadala mzuri. Ukishaondoa wengine watakupinga hujamaliza hata robo ya pension au Kama Ni mapendekezo ya Mungu hutakuwa hata hujaharibika kwenye Nyumba ya Milele

8. Makonda Usiwakatishe watu wanapokuwa kwenye mazungumzo yao mfano kwenye kundi kubwa la watu juzi ukiwaambia kwamba hata wafanye bado hawawezi badili mawazo ya Rais

9. Ndugai pole kwa ugonjwa Ila pia Sina Imani kama tutamaliza Uongozi huu Na mtu anaitwa Spika Ndugai ni Ama utakuwa umefukuzwa kama Rais atabadilika Au kama ni Meko Majaliwa mengine Ni ya Mungu

10.Samia Sema Asante mtu anapokusaidia jambo lolote.maana akina Makonda, Polepole Na Sabaya wanakusimanga sana kwa Meko we Nyamaza maana ya Mungu Mengi ipo siku watakuona umuhimu Ama kuwatetea kwa Meko Au kupewa mamlaka zaidi Na meko wakakuheshimu

11.Msifie Mtu hadharani, mpinge faraghani wewe Una tabia hiyo Kigwangalla

12. Watanzania wamechoka sana kwa ahadi zenu fake

13. Vipi ikitokea Samia akawa Rais kwa meko kunanii kulingana na katiba?

14 . Mwisho acheni Rushwa

Edited By britanicca

Britannica
Bro bro bro heee uliyoyasema yametokea tena pale ulipomalizia kwa Mama Samia mhhh
 
Sikuwahi waza kumbe tuna wajinga kiasi hiki. JAmaa nae ako normal. Au yuko out of his mind.

Wewe kibabu britanicca bure kabisa. Kumbe tunao mpaka wazee wa hovyo.

Mxieew
 
Muongezee hii Ndungai;

"Treat every part of your towel nicely because the part that wipes your buttocks today might wipe your face tomorrow "
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] Mbona hvyooooo!! sababu ya kusema nchi itauzwa kwa madeni au
 
Umejuaje kama amen edit mkuu!
Type darasa itasaidia
Ukianzisha uzi, mtu akakuquote, halafu baadae ukaja kuedit,
Kule alikokuquote panabaki vivlevile.

Nenda page number kwenye reply ya mtu anaitwa "kaziutumishi" utajionea.
 
Sawa Mkuu Asante kwa ufunuo huu
 
HII NAYO NI MUHIMU MNO

1. Magufuli udikteta wako haisaidii maana Sisi sote ni Nyama ipo siku utaondoka tena yawezekana hujamaliza muhula ujao kwakuwa Hakuna anayejua ya Mungu

2. Rejesha pesa za Watanzania unazoficha visiwa vya seashells tunaijua, Maana ukifa wote watakukana.

3. Professa Assad usiumie Sana kisa nafasi uliyopokonywa kwa kuwa Magufuli kathubutu Kuonesha udhaifu wa Bunge kwa kumpelekea Maelezo Ndugai akushughulikie, Na mtashangaa anayekuja kumwajibisha ni Rais atakaye kuwa dhaifu! Hata kama hatakuwa Magufuli Na Ndugai ipo siku atakuja Rais atumie chama amuondoe spika kinyume

4.Nape Usiulize maswali yenye ukakasi kama vile haukuwa kwa kabinet ila tulia CCM inawataka Kama ninyi ipo siku utaendelea Na Uwaziri Ama kwa Magufuli Au kwa Rais Mwingine ajaye Hee bado kazi

5. Mbowe na Lissu Msionekane mmelegea wakati hii mkaja kukaza Siku Dikteta Magufuli kaondoka itaonekana mnaogopa baadhi ya Viongozi wenye misimamo mikali,

6. Mkienda mahali na rafiki yako zako we Makamba usiwaamini wote Maana anayewarekodi ni mtu wako wa Karibu Mwenye macho makubwa

7. Magufuli Kubaliana na mitazamo tofauti kumbuka 6 kwako inaweza kuwa 9 kwa aliyekaa upande mwingine. Mawazo ya ziada ni mbadala mzuri. Ukishaondoa wengine watakupinga hujamaliza hata robo ya pension au Kama Ni mapendekezo ya Mungu hutakuwa hata hujaharibika kwenye Nyumba ya Milele

8. Makonda Usiwakatishe watu wanapokuwa kwenye mazungumzo yao mfano kwenye kundi kubwa la watu juzi ukiwaambia kwamba hata wafanye bado hawawezi badili mawazo ya Rais

9. Ndugai pole kwa ugonjwa Ila pia Sina Imani kama tutamaliza Uongozi huu Na mtu anaitwa Spika Ndugai ni Ama utakuwa umefukuzwa kama Rais atabadilika Au kama ni Meko Majaliwa mengine Ni ya Mungu

10.Samia Sema Asante mtu anapokusaidia jambo lolote.maana akina Makonda, Polepole Na Sabaya wanakusimanga sana kwa Meko we Nyamaza maana ya Mungu Mengi ipo siku watakuona umuhimu Ama kuwatetea kwa Meko Au kupewa mamlaka zaidi Na meko wakakuheshimu

11.Msifie Mtu hadharani, mpinge faraghani wewe Una tabia hiyo Kigwangalla

12. Watanzania wamechoka sana kwa ahadi zenu fake

13. Vipi ikitokea Samia akawa Rais kwa meko kunanii kulingana na katiba?

14 . Mwisho acheni Rushwa

Edited By britanicca

Britannica
Mmmh
 
Back
Top Bottom