Magufuli City yaiva huko Dodoma, wasiompenda kuteseka maisha yao yote

Magufuli City yaiva huko Dodoma, wasiompenda kuteseka maisha yao yote

Elitwege

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
5,294
Reaction score
10,970
Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake.

Sasa mji huo umefikia asilimia 70 ya ujenzi wake na huduma zote muhimu kama barabara,maji na umeme zimeshafika. Bila shaka kukamilika kwa mji huo itakuwa mateso makubwa kwa wasiompenda hayati Magufuli kwani sasa watalazimika kupandia mabasi stendi ya Magufuli, au SGR ya Magufuli au ndege za Magufuli hapa kazi tu na kwenda Magufuli City Dodoma.

20210616_111622.jpg

Wamuite tu vyovyote ila uhalisia utabaki ndiye rais aliyekuwa mkatili kuliko marais wote Tanzania.

Aliua alitesa na kupoteza watu

Hata apakwe mafuta vipi atabaki kwenye historia hiyo.

Hata umchole kwenye choo yako ili ukienda kunya uwe unamsalimia historia haitabadilika!!
 
Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake...
Ndugu yangu Elitweege, Etweege tangu lini ukasikia jiji ndani ya jiji. Na mbona silioni.
 
Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake...
Mbona pakawaida sana
 
Majizi na majambazi huu uzi utawakera. Ila kwa sasa hakuna jina la kiongozi lenye mvuto na bahati zaid ya jpm.

Si unaona na humu ukianzisha uzi ukaandika jina magufuli basi kila mtu anataka kujua habari zake.

Nb. Wasiompenda jpm wako mitandaoni tu.
 
Nanyi mmeanza lini kuwacheka wafu, as if mna guarantee ya immortality!???

Wewe huyajui haya?

Habari ndiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom