Magufuli City yaiva huko Dodoma, wasiompenda kuteseka maisha yao yote

Hapa Kazi & Kasi Tu!!!

^Nani Kiboko!??? John Pombe kiboko yao!!!

^Nani Kiboko!??? John Pombe kiboko yao!!!

^Amefanya mengi, hata sisi sote tunayaona!!!^ (TOT)
hapo mnafurahi wenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚ ila mataga bna
 
Wanaompenda ndio watateseka maana hayupo tena.
 
Ndiyo atafufuka?
 

Toa ushahidi bhas
 
Hao unaowaita watateseka kodi zao hazitumiki hapo ?

Awamu ya Tano imeleta uwao na sisi ambao hauna maana kabisa (Wamevunja kabisa umoja wetu tuliokuwa tunatembea kifua mbele Afrika na Dunia nzima)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…