Soo hao 10000 waliovutwa wataenda wapi... Hapo ndio unaskia crime inaongezeka coz people are jobless
Na itarudisha nidhamu some how.Hapo nampa hongera, kafanya kweli na maamuzi magumu, lakini mbona kawaacha wakubwa akina Bashite si naskia bado wanapeta. Bora hilo shoka lingewaangukia wote, wakubwa kwa wadogo, ila kwa yote nampa hongera maana itawapa uwoga watu wanaotumia vyeti fake.
Kila goverment haswa za africa. Wako wafanyakazi walio forge vyeti. Hapa tz ni 10000 . hata kenya wapo .. uganda wapo. Hakuna anaejua idadi halisi.Lakini Wabongo, huwa mnatuita wezi.....hivi hao wote walikua na vyeti feki ndani ya serikali???? Najua hata Kenya wamo, lakini a freaking 10,000 civil servants with fake certificate and you still call yourself the most honest society.
So unasema kenyatta suala la rushwa na upendeleo hajatilia mkazo?kwa mambo ya maendeleo, nampa Kenyatta tick...ila ikija kwa mambo ya ufisadi na mambo ya ukabila, nepotism and favoritism, nampa Fail...
Ana ubora gani? Mchueni aje kwenu baada ya mwaka mmoja tupe mrejesho wa ubora wake!!!Magufuli ni raisi bora barani africa
I think they prefer to call us cons because they know by calling us aggressive they will be praising usgood question...when they call kenyans wakora you will think that tz hakuna corruption
Mkitaka hata bure tutawapa.Wengi wa hivyo huishia kuwa wapiga deals maana wanajua mifumo ya serikali, lakini yote tisa Magufuli bado nampa heko kwa hayo maamuzi. Yaani hapo ameamua liwalo na liwe hata kama ataishia wa hatamu moja lakini anyooshe tu. Pamoja na kwamba tuna viongozi Kenya, lakini hakuna hata mmoja ambaye anaweza kufanya maamuzi ya kihivyo, hawa wote wana unafiki na wanapenda show za wana habari tu.
We mama wewe, unataka tumtoe Magu tubaki na fisadi EL au muuza sura JK ?Mkitaka hata bure tutawapa.
Double standards ni unafkiWe mama wewe, unataka tumtoe Magu tubaki na fisadi EL au muuza sura JK ?
Lakini Wabongo, huwa mnatuita wezi.....hivi hao wote walikua na vyeti feki ndani ya serikali???? Najua hata Kenya wamo, lakini a freaking 10,000 civil servants with fake certificate and you still call yourself the most honest society.
wakubwa hawaguswi,huenda ndo walimchaguaHapo nampa hongera, kafanya kweli na maamuzi magumu, lakini mbona kawaacha wakubwa akina Bashite si naskia bado wanapeta. Bora hilo shoka lingewaangukia wote, wakubwa kwa wadogo, ila kwa yote nampa hongera maana itawapa uwoga watu wanaotumia vyeti fake.
Odinga alikuwa waziri Tena mwenye Dhamana kubwa
Uhuru niwakati wake huu
Lakini Ame dunda kwenye Rushwa na ufisadi
Magufuli ni mnafiki tu kama atamwacha bashite. Nakura yangu 2020 haipati ng'o..!!Hapo nampa hongera, kafanya kweli na maamuzi magumu, lakini mbona kawaacha wakubwa akina Bashite si naskia bado wanapeta. Bora hilo shoka lingewaangukia wote, wakubwa kwa wadogo, ila kwa yote nampa hongera maana itawapa uwoga watu wanaotumia vyeti fake.
ngoja tukusikilize, give us a suggestion.... ulitaka afanyeje au we ungefanyeje?Soo hao 10000 waliovutwa wataenda wapi... Hapo ndio unaskia crime inaongezeka coz people are jobless
Usishangae nyie mkifanya mkawa na more than that!Tz always claim ati wakenya ni wakora.imagine kukuwa na wakora 10000 ilhali kuna wengine wamebaki huko ndani.Hongera kwa Magufuli hiki ni kitendo cha ujasiri
Kama waliweza ku forge vyeti wataweza kuforge na maishaSoo hao 10000 waliovutwa wataenda wapi... Hapo ndio unaskia crime inaongezeka coz people are jobless
Not sure if Raila can match JPM, kitendo cha kua karibu na wauza unga akina Joho na the Armenia brothers kinanipa shaka sana na huyu bwana na JPM yeye alisema hakuna mfanyabiashara mwenye jeuri ya kumdai favour eti kamwazesha kuingia Ikulu...sasa huyu Raila hao wafanyabiashara wamejipanga kuchanga kumuweka Ikulu ili baadae wavune...sio Kenyatta wala Uhuru mwenye kua na udhubutu wa Raisi Magufuli...Odinga ni aina ya kina Magufuli.... Please our bro and sis from Kenya dont let this opportunity go. Chagua Raila kwa maendeleo na fight against grafting.