MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Soo hao 10000 waliovutwa wataenda wapi... Hapo ndio unaskia crime inaongezeka coz people are jobless
Wengi wa hivyo huishia kuwa wapiga deals maana wanajua mifumo ya serikali, lakini yote tisa Magufuli bado nampa heko kwa hayo maamuzi. Yaani hapo ameamua liwalo na liwe hata kama ataishia wa hatamu moja lakini anyooshe tu. Pamoja na kwamba tuna viongozi Kenya, lakini hakuna hata mmoja ambaye anaweza kufanya maamuzi ya kihivyo, hawa wote wana unafiki na wanapenda show za wana habari tu.