Magufuli fires nearly 10,000 civil servants

Soo hao 10000 waliovutwa wataenda wapi... Hapo ndio unaskia crime inaongezeka coz people are jobless

Wengi wa hivyo huishia kuwa wapiga deals maana wanajua mifumo ya serikali, lakini yote tisa Magufuli bado nampa heko kwa hayo maamuzi. Yaani hapo ameamua liwalo na liwe hata kama ataishia wa hatamu moja lakini anyooshe tu. Pamoja na kwamba tuna viongozi Kenya, lakini hakuna hata mmoja ambaye anaweza kufanya maamuzi ya kihivyo, hawa wote wana unafiki na wanapenda show za wana habari tu.
 
Hapo nampa hongera, kafanya kweli na maamuzi magumu, lakini mbona kawaacha wakubwa akina Bashite si naskia bado wanapeta. Bora hilo shoka lingewaangukia wote, wakubwa kwa wadogo, ila kwa yote nampa hongera maana itawapa uwoga watu wanaotumia vyeti fake.
Na itarudisha nidhamu some how.
 
Lakini Wabongo, huwa mnatuita wezi.....hivi hao wote walikua na vyeti feki ndani ya serikali???? Najua hata Kenya wamo, lakini a freaking 10,000 civil servants with fake certificate and you still call yourself the most honest society.
Kila goverment haswa za africa. Wako wafanyakazi walio forge vyeti. Hapa tz ni 10000 . hata kenya wapo .. uganda wapo. Hakuna anaejua idadi halisi.
 
kwa mambo ya maendeleo, nampa Kenyatta tick...ila ikija kwa mambo ya ufisadi na mambo ya ukabila, nepotism and favoritism, nampa Fail...
So unasema kenyatta suala la rushwa na upendeleo hajatilia mkazo?
 
Hapo safi,waondolewe wote,ww haukupigwa umande ulikimbia shule alafu unachukua nafasi za watu.kila mtu atakula kwa jasho lake,watu walikua washaanza kudharau elimu kwa kua wakihonga tu wanapata kazi bila ya elimu.hapo safi saaaaana.Magufuli wanyooshe hawa vilaza.wakalime huko
 
Wengi wa hivyo huishia kuwa wapiga deals maana wanajua mifumo ya serikali, lakini yote tisa Magufuli bado nampa heko kwa hayo maamuzi. Yaani hapo ameamua liwalo na liwe hata kama ataishia wa hatamu moja lakini anyooshe tu. Pamoja na kwamba tuna viongozi Kenya, lakini hakuna hata mmoja ambaye anaweza kufanya maamuzi ya kihivyo, hawa wote wana unafiki na wanapenda show za wana habari tu.
Mkitaka hata bure tutawapa.
 
Lakini Wabongo, huwa mnatuita wezi.....hivi hao wote walikua na vyeti feki ndani ya serikali???? Najua hata Kenya wamo, lakini a freaking 10,000 civil servants with fake certificate and you still call yourself the most honest society.

Even us, we didn't think that could have such number of public servants with fake certificates.
So if you want to know facts on ground imitate what JPM did.
 
Hapo nampa hongera, kafanya kweli na maamuzi magumu, lakini mbona kawaacha wakubwa akina Bashite si naskia bado wanapeta. Bora hilo shoka lingewaangukia wote, wakubwa kwa wadogo, ila kwa yote nampa hongera maana itawapa uwoga watu wanaotumia vyeti fake.
wakubwa hawaguswi,huenda ndo walimchagua
 
Odinga alikuwa waziri Tena mwenye Dhamana kubwa
Uhuru niwakati wake huu
Lakini Ame dunda kwenye Rushwa na ufisadi

Ondinga ni jembe. Wakitaka ufisadi Kenya uondoke kwa kiwango kikubwa basi Raila is the best.
 
Hapo nampa hongera, kafanya kweli na maamuzi magumu, lakini mbona kawaacha wakubwa akina Bashite si naskia bado wanapeta. Bora hilo shoka lingewaangukia wote, wakubwa kwa wadogo, ila kwa yote nampa hongera maana itawapa uwoga watu wanaotumia vyeti fake.
Magufuli ni mnafiki tu kama atamwacha bashite. Nakura yangu 2020 haipati ng'o..!!
 
Tz always claim ati wakenya ni wakora.imagine kukuwa na wakora 10000 ilhali kuna wengine wamebaki huko ndani.Hongera kwa Magufuli hiki ni kitendo cha ujasiri
 
T
Soo hao 10000 waliovutwa wataenda wapi... Hapo ndio unaskia crime inaongezeka coz people are jobless
ngoja tukusikilize, give us a suggestion.... ulitaka afanyeje au we ungefanyeje?
 
Tz always claim ati wakenya ni wakora.imagine kukuwa na wakora 10000 ilhali kuna wengine wamebaki huko ndani.Hongera kwa Magufuli hiki ni kitendo cha ujasiri
Usishangae nyie mkifanya mkawa na more than that!
South Africa tu wenyewe wanafanya kidogo kidogo na wanapata mob!
 
Soo hao 10000 waliovutwa wataenda wapi... Hapo ndio unaskia crime inaongezeka coz people are jobless
Kama waliweza ku forge vyeti wataweza kuforge na maisha
 
Odinga ni aina ya kina Magufuli.... Please our bro and sis from Kenya dont let this opportunity go. Chagua Raila kwa maendeleo na fight against grafting.
Not sure if Raila can match JPM, kitendo cha kua karibu na wauza unga akina Joho na the Armenia brothers kinanipa shaka sana na huyu bwana na JPM yeye alisema hakuna mfanyabiashara mwenye jeuri ya kumdai favour eti kamwazesha kuingia Ikulu...sasa huyu Raila hao wafanyabiashara wamejipanga kuchanga kumuweka Ikulu ili baadae wavune...sio Kenyatta wala Uhuru mwenye kua na udhubutu wa Raisi Magufuli...
 
Back
Top Bottom