Magufuli hakika ulijitolea maisha yako kwa ajili ya Watanzania

Familia gani mm na familia yangu pamoja na ukoo wangu hakujitolea kwajili yetu.
Asante
 
Rais alie ona kesho ya ya Tanzania akaitengeneza usiku na mchana lakini hakuiona. Legacy yake italitikisa Taifa
 
Unaongea kwa mihemko sana. Miradi yote inayoendelea hapa nchini hasa mikubwa ni Magufuli aliianzisha karibia kwenye kila sekta na yote ikikamilika wewe mwenyewe na familia yako utanufaika.

Kuhusu watu kukosa ajira nikuambie tu hakuna siku wahitimu wote watapata ajira. Kwani sasa hvi wote wameajiriwa? Je hao ambao wameajiriwa ni wengi kuliko wasioajiriwa?
 
Miaka mitano bila Wahitimu kuajiriwa je huo ni uwekezaji au kuua uchumi?
 
Baada ya huyu Mzee kufa hatujasikia tena watu kutekwa wala kuokota maiti kwenye viroba..Hakika alikuwa ni........
 
Jibu hoja
 
Bado hujakomaa, na bado hujajua na kuona mengi. Umeona mambo ya kawaida sana. Hayo uliyoyataja ni ya kawaida mno kwa wabobezi na wajuvi wa aina yetu.
Endeleza mazungumzo na wenzako wenye uwezo wa kawaida wa kutumia akili.
Ni mambo ya kawaida kwa wapumbavu
 
Hey, usituaribie Uzi.
Tumia lugha za stara naona umekazania neno "pumbavu". Hapa sio kilabuni, kama unashindwa kubishana kwa hoja usitukane watu.
Upumbavu ni kuujua ukweli
Kuuona ukweli
Lakini kuamini na kutaka kuaminisha watu uongo.
Upumbavu ni mjinga asiyejitambua kuwa ni mjinga.
Huu uzi ni wa kipumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…