Magufuli hakuwa rafiki mzuri ndiyo maana familia wapweke

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Raisi Magufuli tatizo lake mmoja hakuwa rafiki mzuri kwa wale watu ambao wamemjua kabla hata ya siasa.

mifano miwili

1. Kuna mtu ambaye yeye ndiye alimshauri Magufuli agombee kwa CCM, yeye ndiye aliyempa teksi ya kwanza kwenda kuchukuwa form ya kugombea miaka hiyo ya mkapa. Mzee yule ambaye alikuwa afisa wa Polisi huwezi kuamini mwaka 1996-1997 huyo huyo Magu ndiye alikuwa wa kwanza kumgomea kumuuzia nyumba aliyokuwa anakaa ya serikali obay wakati yeye mwenyewe alijiuzia nyumba. Huyu mzee hata baba mkwe wake yeye ndiye aliyempandisha cheo Polisi huko kanda ya ziwa!.

2. Charles Kitwana alikuwa rafiki wa kweli wa Magu kuanzia chuo kikuu lakini aliacha hata kumpigia simu baada ya kuwa Raisi!!

Famila sasa inajiuliza marafiki wapo wapi maana kuna marafiki fake walikuja baada ya kuwa Raisi lakini ni yeye ndiye aliwasahau marafiki wa kweli wa zamani. Haya ni mapungufu yake makubwa.

Somo ukipanda na watu watakuwepo pale usipo kuwepo lakini ukipanda mwenyewe utashuka mwenyewe
 
Shida yenu akili zenu hazieleweki kama uchi wa mwanamke.
Leo raisi samia kaendekeza urafiki mzuri kwa familia ya msoga lakn ndio nyinyi mnamtukana.

Magufuli Tangu awali hakupenda kuendekeza urafiki kwasababu marafiki siku zote sio wazuri hasa urafiki wa kisiasa.

Leo hii familia ya Edward lowasa imetengwa. Ogopa sana marafiki hasa marafiki wa kisiasa.
 
Raisi Magufuli tatizo lake mmoja hakuwa rafiki mzuri kwa wale watu ambao wamemjua kabla hata ya siasa.

mifano miwili

1. Kuna mtu ambaye yeye ndiye alimshauri Magufuli agombee kwa CCM, yeye ndiye aliyempa teksi ya kwanza kwenda kuchukuwa form ya kugombea miaka hiyo ya mkapa. Mzee yule ambaye alikuwa afisa wa Polisi huwezi kuamini mwaka 1996-1997 huyo huyo Magu ndiye alikuwa wa kwanza kumgomea kumuuzia nyumba aliyokuwa anakaa ya serikali obay wakati yeye mwenyewe alijiuzia nyumba. Huyu mzee hata baba mkwe wake yeye ndiye aliyempandisha cheo Polisi huko kanda ya ziwa!.

2. Charles Kitwana alikuwa rafiki wa kweli wa Magu kuanzia chuo kikuu lakini aliacha hata kumpigia simu baada ya kuwa Raisi!!

Famila sasa inajiuliza marafiki wapo wapi maana kuna marafiki fake walikuja baada ya kuwa Raisi lakini ni yeye ndiye aliwasahau marafiki wa kweli wa zamani. Haya ni mapungufu yake makubwa.

Somo ukipanda na watu watakuwepo pale usipo kuwepo lakini ukipanda mwenyewe utashuka mwenyewe
A dead man cannot stand trial.
 
Wewe nani kakwambia familia ya Magufuli ni wapweke?
 
Hii hoja kiaina ni kama ya hovyo hivi.

Kwanza urafiki usiofuata miiko ya kiuongozi na maadili ya utumishi wa umma ndiyo moja ya vitu vilivyolea rushwa na utendaji mbovu wa serikali hadi imefika wakati hatujui hata tuanze wapi kusafisha serikali. Mambo hayo yanaharibu dhana nzima ya uwajibikaji.

Magufuli pamoja na mapungufu yake makubwa alijitahidi kupata ujasiri wa kuliondoa hilo tatizo na ndiyo moja ya sababu iliyomjengea maadui wengi.
 
Raisi Magufuli tatizo lake mmoja hakuwa rafiki mzuri kwa wale watu ambao wamemjua kabla hata ya siasa.

mifano miwili

1. Kuna mtu ambaye yeye ndiye alimshauri Magufuli agombee kwa CCM, yeye ndiye aliyempa teksi ya kwanza kwenda kuchukuwa form ya kugombea miaka hiyo ya mkapa. Mzee yule ambaye alikuwa afisa wa Polisi huwezi kuamini mwaka 1996-1997 huyo huyo Magu ndiye alikuwa wa kwanza kumgomea kumuuzia nyumba aliyokuwa anakaa ya serikali obay wakati yeye mwenyewe alijiuzia nyumba. Huyu mzee hata baba mkwe wake yeye ndiye aliyempandisha cheo Polisi huko kanda ya ziwa!.

2. Charles Kitwana alikuwa rafiki wa kweli wa Magu kuanzia chuo kikuu lakini aliacha hata kumpigia simu baada ya kuwa Raisi!!

Famila sasa inajiuliza marafiki wapo wapi maana kuna marafiki fake walikuja baada ya kuwa Raisi lakini ni yeye ndiye aliwasahau marafiki wa kweli wa zamani. Haya ni mapungufu yake makubwa.

Somo ukipanda na watu watakuwepo pale usipo kuwepo lakini ukipanda mwenyewe utashuka mwenyewe
Sijui ulikuwa unaandika nini hapa.

Familia ya Magufuli imetengwa kivipi huku Mtoto wake ni mbuge
 
Waliompa ubunge sio marafiki wa magufuli ni wanasiasa wanaotaka kuwakomba sukuma ganga wakina msoga sio marafiki kabisa wa Magu
 
Wacha upumbavu wewe! Kitwanga aliingia kwenye baraza la kwanza la Magufuli la mawaziri. Kwa hiyo siyo kweli kwamba alipopata urais tu hakumpigia simu tena!
Ee kweli bwana akaingia na Bungeni siku moja akiwa Chicha La VALUU na akajibu Maswali ya Wabunge akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani
 
Raisi Magufuli tatizo lake mmoja hakuwa rafiki mzuri kwa wale watu ambao wamemjua kabla hata ya siasa.

mifano miwili

1. Kuna mtu ambaye yeye ndiye alimshauri Magufuli agombee kwa CCM, yeye ndiye aliyempa teksi ya kwanza kwenda kuchukuwa form ya kugombea miaka hiyo ya mkapa. Mzee yule ambaye alikuwa afisa wa Polisi huwezi kuamini mwaka 1996-1997 huyo huyo Magu ndiye alikuwa wa kwanza kumgomea kumuuzia nyumba aliyokuwa anakaa ya serikali obay wakati yeye mwenyewe alijiuzia nyumba. Huyu mzee hata baba mkwe wake yeye ndiye aliyempandisha cheo Polisi huko kanda ya ziwa!.

2. Charles Kitwana alikuwa rafiki wa kweli wa Magu kuanzia chuo kikuu lakini aliacha hata kumpigia simu baada ya kuwa Raisi!!

Famila sasa inajiuliza marafiki wapo wapi maana kuna marafiki fake walikuja baada ya kuwa Raisi lakini ni yeye ndiye aliwasahau marafiki wa kweli wa zamani. Haya ni mapungufu yake makubwa.

Somo ukipanda na watu watakuwepo pale usipo kuwepo lakini ukipanda mwenyewe utashuka mwenyewe
Bora upande mwenyewe utafanikiwa zaidi kuliko kupandishwa na watu. Mafano: Nicola
Tesla, Steve Job, Michael Dell, Alexander Bell, Michael Faraday, Newton, Fleming. .....
 
Magufuli hamfikii nyerere kwenye kuwasahau marafiki wa zamani!
Raisi Magufuli tatizo lake mmoja hakuwa rafiki mzuri kwa wale watu ambao wamemjua kabla hata ya siasa.

mifano miwili

1. Kuna mtu ambaye yeye ndiye alimshauri Magufuli agombee kwa CCM, yeye ndiye aliyempa teksi ya kwanza kwenda kuchukuwa form ya kugombea miaka hiyo ya mkapa. Mzee yule ambaye alikuwa afisa wa Polisi huwezi kuamini mwaka 1996-1997 huyo huyo Magu ndiye alikuwa wa kwanza kumgomea kumuuzia nyumba aliyokuwa anakaa ya serikali obay wakati yeye mwenyewe alijiuzia nyumba. Huyu mzee hata baba mkwe wake yeye ndiye aliyempandisha cheo Polisi huko kanda ya ziw
 
Hii tabia ya kulipa fadhila kwa marafiki ndo limetufikisha hapa..!!

Hii mitandao ni chimbuko la marafiki wahuni wanaolipana fadhila kwa kulibaka taifa..!!
 
Back
Top Bottom