Wacha upumbavu wewe! Kitwanga aliingia kwenye baraza la kwanza la Magufuli la mawaziri. Kwa hiyo siyo kweli kwamba alipopata urais tu hakumpigia simu tena!Charles Kitwana alikuwa rafiki wa kweli wa Magu kuanzia chuo kikuu lakini aliacha hata kumpigia simu baada ya kuwa Raisi!!
Hapa umemaliza kila kitu mkuu.Leo hii familia ya Edward lowasa imetengwa. Ogopa sana marafiki hasa marafiki wa kisiasa.
A dead man cannot stand trial.Raisi Magufuli tatizo lake mmoja hakuwa rafiki mzuri kwa wale watu ambao wamemjua kabla hata ya siasa.
mifano miwili
1. Kuna mtu ambaye yeye ndiye alimshauri Magufuli agombee kwa CCM, yeye ndiye aliyempa teksi ya kwanza kwenda kuchukuwa form ya kugombea miaka hiyo ya mkapa. Mzee yule ambaye alikuwa afisa wa Polisi huwezi kuamini mwaka 1996-1997 huyo huyo Magu ndiye alikuwa wa kwanza kumgomea kumuuzia nyumba aliyokuwa anakaa ya serikali obay wakati yeye mwenyewe alijiuzia nyumba. Huyu mzee hata baba mkwe wake yeye ndiye aliyempandisha cheo Polisi huko kanda ya ziwa!.
2. Charles Kitwana alikuwa rafiki wa kweli wa Magu kuanzia chuo kikuu lakini aliacha hata kumpigia simu baada ya kuwa Raisi!!
Famila sasa inajiuliza marafiki wapo wapi maana kuna marafiki fake walikuja baada ya kuwa Raisi lakini ni yeye ndiye aliwasahau marafiki wa kweli wa zamani. Haya ni mapungufu yake makubwa.
Somo ukipanda na watu watakuwepo pale usipo kuwepo lakini ukipanda mwenyewe utashuka mwenyewe
Wewe nani kakwambia familia ya Magufuli ni wapweke?Raisi Magufuli tatizo lake mmoja hakuwa rafiki mzuri kwa wale watu ambao wamemjua kabla hata ya siasa.
mifano miwili
1. Kuna mtu ambaye yeye ndiye alimshauri Magufuli agombee kwa CCM, yeye ndiye aliyempa teksi ya kwanza kwenda kuchukuwa form ya kugombea miaka hiyo ya mkapa. Mzee yule ambaye alikuwa afisa wa Polisi huwezi kuamini mwaka 1996-1997 huyo huyo Magu ndiye alikuwa wa kwanza kumgomea kumuuzia nyumba aliyokuwa anakaa ya serikali obay wakati yeye mwenyewe alijiuzia nyumba. Huyu mzee hata baba mkwe wake yeye ndiye aliyempandisha cheo Polisi huko kanda ya ziwa!.
2. Charles Kitwana alikuwa rafiki wa kweli wa Magu kuanzia chuo kikuu lakini aliacha hata kumpigia simu baada ya kuwa Raisi!!
Famila sasa inajiuliza marafiki wapo wapi maana kuna marafiki fake walikuja baada ya kuwa Raisi lakini ni yeye ndiye aliwasahau marafiki wa kweli wa zamani. Haya ni mapungufu yake makubwa.
Somo ukipanda na watu watakuwepo pale usipo kuwepo lakini ukipanda mwenyewe utashuka mwenyewe
Mama janeth amenenepa vile useme nimpweke!!?Wewe nani kakwambia familia ya Magufuli ni wapweke?
Hii hoja kiaina ni kama ya hovyo hivi.Raisi Magufuli tatizo lake mmoja hakuwa rafiki mzuri kwa wale watu ambao wamemjua kabla hata ya siasa.
mifano miwili
1. Kuna mtu ambaye yeye ndiye alimshauri Magufuli agombee kwa CCM, yeye ndiye aliyempa teksi ya kwanza kwenda kuchukuwa form ya kugombea miaka hiyo ya mkapa. Mzee yule ambaye alikuwa afisa wa Polisi huwezi kuamini mwaka 1996-1997 huyo huyo Magu ndiye alikuwa wa kwanza kumgomea kumuuzia nyumba aliyokuwa anakaa ya serikali obay wakati yeye mwenyewe alijiuzia nyumba. Huyu mzee hata baba mkwe wake yeye ndiye aliyempandisha cheo Polisi huko kanda ya ziwa!.
2. Charles Kitwana alikuwa rafiki wa kweli wa Magu kuanzia chuo kikuu lakini aliacha hata kumpigia simu baada ya kuwa Raisi!!
Famila sasa inajiuliza marafiki wapo wapi maana kuna marafiki fake walikuja baada ya kuwa Raisi lakini ni yeye ndiye aliwasahau marafiki wa kweli wa zamani. Haya ni mapungufu yake makubwa.
Somo ukipanda na watu watakuwepo pale usipo kuwepo lakini ukipanda mwenyewe utashuka mwenyewe
Sijui ulikuwa unaandika nini hapa.Raisi Magufuli tatizo lake mmoja hakuwa rafiki mzuri kwa wale watu ambao wamemjua kabla hata ya siasa.
mifano miwili
1. Kuna mtu ambaye yeye ndiye alimshauri Magufuli agombee kwa CCM, yeye ndiye aliyempa teksi ya kwanza kwenda kuchukuwa form ya kugombea miaka hiyo ya mkapa. Mzee yule ambaye alikuwa afisa wa Polisi huwezi kuamini mwaka 1996-1997 huyo huyo Magu ndiye alikuwa wa kwanza kumgomea kumuuzia nyumba aliyokuwa anakaa ya serikali obay wakati yeye mwenyewe alijiuzia nyumba. Huyu mzee hata baba mkwe wake yeye ndiye aliyempandisha cheo Polisi huko kanda ya ziwa!.
2. Charles Kitwana alikuwa rafiki wa kweli wa Magu kuanzia chuo kikuu lakini aliacha hata kumpigia simu baada ya kuwa Raisi!!
Famila sasa inajiuliza marafiki wapo wapi maana kuna marafiki fake walikuja baada ya kuwa Raisi lakini ni yeye ndiye aliwasahau marafiki wa kweli wa zamani. Haya ni mapungufu yake makubwa.
Somo ukipanda na watu watakuwepo pale usipo kuwepo lakini ukipanda mwenyewe utashuka mwenyewe
Sijui ulikuwa unaandika nini hapa.
Familia ya Magufuli imetengwa kivipi huku Mtoto wake ni mbuge
Ee kweli bwana akaingia na Bungeni siku moja akiwa Chicha La VALUU na akajibu Maswali ya Wabunge akiwa Waziri wa Mambo ya NdaniWacha upumbavu wewe! Kitwanga aliingia kwenye baraza la kwanza la Magufuli la mawaziri. Kwa hiyo siyo kweli kwamba alipopata urais tu hakumpigia simu tena!
Ulitaka familia ya Magufuli ifanyiwe nini ndiyo uone siyo wapweke?Waliompa ubunge sio marafiki wa magufuli ni wanasiasa wanaotaka kuwakomba sukuma ganga wakina msoga sio marafiki kabisa wa Magu
Bora upande mwenyewe utafanikiwa zaidi kuliko kupandishwa na watu. Mafano: NicolaRaisi Magufuli tatizo lake mmoja hakuwa rafiki mzuri kwa wale watu ambao wamemjua kabla hata ya siasa.
mifano miwili
1. Kuna mtu ambaye yeye ndiye alimshauri Magufuli agombee kwa CCM, yeye ndiye aliyempa teksi ya kwanza kwenda kuchukuwa form ya kugombea miaka hiyo ya mkapa. Mzee yule ambaye alikuwa afisa wa Polisi huwezi kuamini mwaka 1996-1997 huyo huyo Magu ndiye alikuwa wa kwanza kumgomea kumuuzia nyumba aliyokuwa anakaa ya serikali obay wakati yeye mwenyewe alijiuzia nyumba. Huyu mzee hata baba mkwe wake yeye ndiye aliyempandisha cheo Polisi huko kanda ya ziwa!.
2. Charles Kitwana alikuwa rafiki wa kweli wa Magu kuanzia chuo kikuu lakini aliacha hata kumpigia simu baada ya kuwa Raisi!!
Famila sasa inajiuliza marafiki wapo wapi maana kuna marafiki fake walikuja baada ya kuwa Raisi lakini ni yeye ndiye aliwasahau marafiki wa kweli wa zamani. Haya ni mapungufu yake makubwa.
Somo ukipanda na watu watakuwepo pale usipo kuwepo lakini ukipanda mwenyewe utashuka mwenyewe
Raisi Magufuli tatizo lake mmoja hakuwa rafiki mzuri kwa wale watu ambao wamemjua kabla hata ya siasa.
mifano miwili
1. Kuna mtu ambaye yeye ndiye alimshauri Magufuli agombee kwa CCM, yeye ndiye aliyempa teksi ya kwanza kwenda kuchukuwa form ya kugombea miaka hiyo ya mkapa. Mzee yule ambaye alikuwa afisa wa Polisi huwezi kuamini mwaka 1996-1997 huyo huyo Magu ndiye alikuwa wa kwanza kumgomea kumuuzia nyumba aliyokuwa anakaa ya serikali obay wakati yeye mwenyewe alijiuzia nyumba. Huyu mzee hata baba mkwe wake yeye ndiye aliyempandisha cheo Polisi huko kanda ya ziw
Kwani ilikuwa lazima awe na urafiki na wote?Waliompa ubunge sio marafiki wa magufuli ni wanasiasa wanaotaka kuwakomba sukuma ganga wakina msoga sio marafiki kabisa wa Magu