Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Sasa hilo linatusaidia nini wananchi? Kuna mtu ambaye hajui kuwa atakufa?Mkuu,Mimi siongelei kuhusu Urais wake,namuongelea at a personal level kuhusu kuambiwa ugonjwa wake kwamba utamuua na hakupanick, hayo ya kaifanyia Nchi Nini Sina la kusema kwa leo
Unataka unipangie Cha kuandika Mkuu ? Yani wewe na utu uzima ulionao bado unategemea Mimi nije niandike humu kitu Cha kukusaidia kwenye Maisha yako ?, Au serikali ikusaidieSasa hilo linatusaidia nini wananchi? Kuna mtu ambaye hajui kuwa atakufa?
Nani aliyesimamia ukweli? Angesimamia ukweli angefungulia vyombo vya habari ili vimulike anayoyafanya na kuandika. Sasa Kama alizima vyombo vya habari sisi tutajuaje Kama yeye hakuwa fisadi mkubwa kwa kuficha asisemwe. We unafanya issues gizani halafu unatakana tuamini kila kitu kiko sawa!!Mafisadi kwa JPM Walitulizwa wakatulia wahuni na wajanja wajanja walinyoosha mikono waliteseka na walinyanyasika na sababu kubwa ni wizi wao
Magufuli aliogopeka kwa majizi na maharamia ya nchi hii kuanzia kwa wenye vyeti feki mpaka Mafisadi wakubwa
Wazalendo msihofu majizi na mafisadi yanatumana kuharibu image ya Magufuli lakini yanaonekana majinga maana huwezi kupingana na mtu aliyesimamia ukweli
Jinsi ya kuondoa rushwa ni kuviacha vyombo vya habari kuwa huru na kuibua uozo wote ikibidi hata raisi aandikwe uozo wake siyo kuvifungia na kuvifanya vikusifu tu. Ndo Mana hujaona uozo wa jpm Mana alifunga vyombo vya habari kuandika chochoteRushwa ni adui wa haki. Nikiamini wewe ni mmoja wa wadai haki.
Je, jinsi gani ya kuiondoa rushwa pasipo kutumia nguvu ya ziada ikiwa ni pamoja na kuwaua hadharani kwa risasi!
Yeye mwenyewe alikuwa jambazi sema aliwachukia majambazi waliomtangulia ujanjaMafisadi kwa JPM Walitulizwa wakatulia wahuni na wajanja wajanja walinyoosha mikono waliteseka na walinyanyasika na sababu kubwa ni wizi wao
Magufuli aliogopeka kwa majizi na maharamia ya nchi hii kuanzia kwa wenye vyeti feki mpaka Mafisadi wakubwa
Wazalendo msihofu majizi na mafisadi yanatumana kuharibu image ya Magufuli lakini yanaonekana majinga maana huwezi kupingana na mtu aliyesimamia ukweli
Sikupangii cha kuandika ila hili ni jukwaa la wazi ukiandika pumba zitajibiwa tu..kama hutaji kujibiwa baki tu msomajiUnataka unipangie Cha kuandika Mkuu ? Yani wewe na utu uzima ulionao bado unategemea Mimi nije niandike humu kitu Cha kukusaidia kwenye Maisha yako ?, Au serikali ikusaidie
Huyo Nyerere unayemsema alitimiza majukumu yake Kama Baba kwa kusomesha na kuwatunza wanae na kumuandalia mkewe Maisha mazuri mpaka leo,that was his sore responsibility
Nyerere hakuwa na jukumu la kukuandalia wewe Maisha Bora,pambana wewe Kama wewe so it was with Magufuli,haya mawazo yako ndio yanafanya unakuwa na makasiriko humu
Hata Biblia imekataza muache kuwategemea wanadamu,we pambana uwaandalie wanao future nzuri achana na kulaumu wanasiasa
Mfano Mwigulu japo tunamchukia kwa upuuzi anaongea Mara anataka kuleta Kodi kwa vijana lakini ukitafakari utaona Mwigulu si baba yako Wala mama yako,yupo pale kwa ajili ya kuwapambania wanae tu na sio sisi wananchi
Samia anajua wamasai Wanauliwa lakini umemuona anaongea ? Hana muda na hayo,yeye anajali familia yake na amepambana na Maisha Hadi kufikia cheo hiko ili aishi vizuri
Yeye Magufuli alikuwa ndiye FISADI Concord, je angewezaje kuwaogopa mafisadi wadogo? Hakuna kiongozi toka tupate uhuru mwaka 1961 ambaye amewahi kukutwa na ufisadi mkubwa kumzidi Magufuli. Taarifa za CAG report za kuanzia 2017 hadi 2021 zipo mtandaoni. Zaidi ya Tsh 2.4 Trillion ni ufisadi wa Magufuli kuanzia 2016-21Mafisadi kwa JPM Walitulizwa wakatulia wahuni na wajanja wajanja walinyoosha mikono waliteseka na walinyanyasika na sababu kubwa ni wizi wao
Magufuli aliogopeka kwa majizi na maharamia ya nchi hii kuanzia kwa wenye vyeti feki mpaka Mafisadi wakubwa
Wazalendo msihofu majizi na mafisadi yanatumana kuharibu image ya Magufuli lakini yanaonekana majinga maana huwezi kupingana na mtu aliyesimamia ukweli
Sheria ya PCCB ya 2007 kama sikosei ni miongoni mwa sheria mbaya kwa taasisi ile. Wanaruhusiwa kupeleka mahakamani case moja tu. Nyingine mpaka DPP aslruhusu.Mafisadi kwa JPM Walitulizwa wakatulia wahuni na wajanja wajanja walinyoosha mikono waliteseka na walinyanyasika na sababu kubwa ni wizi wao