Magufuli has a New state of the art security system in East Africa. 🇹🇿🇹🇿

Amani ni tunda la haki. Ukiongoza kwa haki, huwezi kuhitaji ulinzi "excessive" namna hiyo.
True but not true
Wapo watu uichukia hiyo haki
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Our president ni mtu anayeongea sana ukweli.. Na ukiongea ukweli lazima uchukiwe na watu wengi watakua maadui na watatfuta njia wakukuangamiza... Juzi tu katoka kuwasema mabepari.. So lazima alindwe.. Cause anaongea ukweli sana
 
JPM disrupts the establishments of capitalistic exploitation in Tz and Africa in general.History teaches us that, whoever goes against the interests of the "free world" ends in untimely death.

The way the President has overturned the tables especially in natural resources and tendering processes has made a lot of powerful enemies,his security should be constantly upgraded to ensure maximum well being of the head of state of URT.
 
But you are always bragging yourselves for bigger milliary budget in the region, once upon time, you were here praising the bullet proof car and mine detecting special vehicles that Kenya bought for Uhuru Kenyatta.

When is done in Kenya always is OK but outside Kenya is not, that is where your problem is.
Ni jealous tu, hamna kingine.
 
JPM disrupts the establishments of capitalistic exploitation in Tz and Africa in general.History teaches us that, whoever goes against the interests of the "free world" ends in untimely death.

The way the President has overturned the tables especially in natural resources and tendering processes has made a lot of powerful enemies,his security should be constantly upgraded to ensure maximum well being of the head of state of URT.

Sidhani kama Tz mumefikia kuwa na ubavu wa kujihami dhidi ya hao mabwana wa free world. Kumiliki gari zenye aerials haiwezi kuwazuia kuzingua wakidhamiria, mbwembwe kama hizi zipo effective dhidi ya maskini wa kawaida, wakiona zinapita pita wanashabikia lakini sio kwa wale jamaa.
Kumbuka bado mnawategemea hao mabwana kwa hali na mali, hata hizo interests zote wamegundua hao, na ndio maana hata rais wenu alikiri kweli mumekamatwa pabaya, inabidi wachume wao na kuwapa nyie makopo, huwa wanaandika mikataba wenyewe na mlivyo wazembe wa kusoma inabidi mpigwe humo kwenye hayo makaratasi, madini yote yamebaki mahandaki lakini umaskini wenu ni ule ule.
Gesi waligundua wao na wakawekeza kwenye miundo mbinu, Wana Mtwara wakapiga makelele ya chura ila wakatulizwa kwa vibano, maana vinginevyo inabidi muachiwe muendelee ukulima wa mihogo hayo maeneo yaliyovunbuliwa gesi maana hamna utaalam hata wa kunusa tu.
 
😁 😁 😁 👏👏👏👏🙌
Wakenya mtapata hii akili lini?
 
Yote hii kwa ajili ya nini kwa nchi maskini ndani ya LDC, jameni viongozi wa Kiafrika duh!
Haya kuhusu pambana na m.a.v.i yenu kwenye plastic, imbecile wa head walahi!
 
😁 😁 😁 👏👏👏👏🙌
Wakenya mtapata hii akili lini?
Impossible walahi!
Wasubiri vurugu ya mashamba kama Zimbabwe walahi!
Kenya is doom forever walahi!
 
Sidhani kama Tz mumefikia kuwa na ubavu wa kujihami dhidi ya hao mabwana wa free world. Kumiliki gari zenye aerials haiwezi kuwazuia kuzingua wakidhamiria, mbwembwe kama hizi zipo effective dhidi ya maskini wa kawaida, wakiona zinapita pita wanashabikia lakini sio kwa wale jamaa.
Kumbuka bado mnawategemea hao mabwana kwa hali na mali, hata hizo interests zote wamegundua hao, na ndio maana hata rais wenu alikiri kweli mumekamatwa pabaya, inabidi wachume wao na kuwapa nyie makopo, huwa wanaandika mikataba wenyewe na mlivyo wazembe wa kusoma inabidi mpigwe humo kwenye hayo makaratasi, madini yote yamebaki mahandaki lakini umaskini wenu ni ule ule.
Gesi waligundua wao na wakawekeza kwenye miundo mbinu, Wana Mtwara wakapiga makelele ya chura ila wakatulizwa kwa vibano, maana vinginevyo inabidi muachiwe muendelee ukulima wa mihogo hayo maeneo yaliyovunbuliwa gesi maana hamna utaalam hata wa kunusa tu.
Sad news to you ni kwamba only 20% ya general accumulation of our known total mineral wealth is unearthed.

Na hakuna mkataba wa madini ambao upo legally legitimacy after the new mineral law of 2017 ndio maana mpaka kesho Acacia hawatoi makinikia nje ya Tanzania 🇹🇿, mind you walikua wakisafirisha zaidi ya containers 200/3 weeks of mineral concentrates lakini sasa ni big no entry 🛑
 
Pumba yote hii ya nini!!
 
This system uses Direct Digital Synthesis Sweep and dedicated software to maximize its effectiveness. This high powered jamming system vehicle enables the operator to swiftly program the unit via laptop or USB stick, to adapt to any given threat scenario or to use the system as a tactical jammer. The unit‘s purpose is to be carried in an escort vehicle of a VVIP or military convoy, protecting the surrounding vehicles from all RCIED threats that may occur
View attachment 860752
View attachment 860753

The Van on the left has another state of the art security system with a drone capable of giving the X-Rayed image. It's purpose is to X-Ray the crowd surrounding the president.
Thus anything metallic even if hidden in your pockets can be seen using the VAN which has the screen inside it. It is capable also of displaying a thermo image.View attachment 860803View attachment 860804
Sasa ukimpa mwafrika kwanza hao walinzi, hi-tech gadgets kama hii, ilhali yeye alianguka sayansi shuleni na ndio maana akawa bodyguard wa Magufuli, si basi huyo bodyguard atafinya kibonyezi cha kilipuzi halafu atalipua umati wa watu bila kujua kibonyezi ipi ndio ipi. Jameni bidhaa kama hizi msiweke kwa mikono ya watu waliopata D shuleni.
 
Sidhani kama Tz mumefikia kuwa na ubavu wa kujihami dhidi ya hao mabwana wa free world. Kumiliki gari zenye aerials haiwezi kuwazuia kuzingua wakidhamiria, mbwembwe kama hizi zipo effective dhidi ya maskini wa kawaida, wakiona zinapita pita wanashabikia lakini sio kwa wale jamaa.
Kumbuka bado mnawategemea hao mabwana kwa hali na mali, hata hizo interests zote wamegundua hao, na ndio maana hata rais wenu alikiri kweli mumekamatwa pabaya, inabidi wachume wao na kuwapa nyie makopo, huwa wanaandika mikataba wenyewe na mlivyo wazembe wa kusoma inabidi mpigwe humo kwenye hayo makaratasi, madini yote yamebaki mahandaki lakini umaskini wenu ni ule ule.
Gesi waligundua wao na wakawekeza kwenye miundo mbinu, Wana Mtwara wakapiga makelele ya chura ila wakatulizwa kwa vibano, maana vinginevyo inabidi muachiwe muendelee ukulima wa mihogo hayo maeneo yaliyovunbuliwa gesi maana hamna utaalam hata wa kunusa tu.
Swala la gas according to mikataba iliwekwa wazi na mbunge zitto kule twitter.. Gas inavyopatikana nying kwenye uchimbaji ndo profit ya Tz inaongezeka kuna kipengele cha hadi wote kugawana 50% tho kuna kipengele cha wao kuchukua hadi 85% so it depends na gas inayopatikana kwa wingi cause wanachimba kwa cost yao.. Hyo 30% ni asilimia ambayo pipline ya gas inatumika mpka sasa.. Na sio ukweli kwamba 70% of all gas inachukuliwa na companies
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Sad news to you ni kwamba only 20% ya general accumulation of our known total mineral wealth is unearthed.

Na hakuna mkataba wa madini ambao upo legally legitimacy after the new mineral law of 2017 ndio maana mpaka kesho Acacia hawatoi makinikia nje ya Tanzania 🇹🇿, mind you walikua wakisafirisha zaidi ya containers 200/3 weeks of mineral concentrates lakini sasa ni big no entry 🛑
Yup
Totally true!
 
Back
Top Bottom