Magufuli has a New state of the art security system in East Africa. 🇹🇿🇹🇿

Magufuli has a New state of the art security system in East Africa. 🇹🇿🇹🇿

Sidhani kama Tz mumefikia kuwa na ubavu wa kujihami dhidi ya hao mabwana wa free world. Kumiliki gari zenye aerials haiwezi kuwazuia kuzingua wakidhamiria, mbwembwe kama hizi zipo effective dhidi ya maskini wa kawaida, wakiona zinapita pita wanashabikia lakini sio kwa wale jamaa.
Kumbuka bado mnawategemea hao mabwana kwa hali na mali, hata hizo interests zote wamegundua hao, na ndio maana hata rais wenu alikiri kweli mumekamatwa pabaya, inabidi wachume wao na kuwapa nyie makopo, huwa wanaandika mikataba wenyewe na mlivyo wazembe wa kusoma inabidi mpigwe humo kwenye hayo makaratasi, madini yote yamebaki mahandaki lakini umaskini wenu ni ule ule.
Gesi waligundua wao na wakawekeza kwenye miundo mbinu, Wana Mtwara wakapiga makelele ya chura ila wakatulizwa kwa vibano, maana vinginevyo inabidi muachiwe muendelee ukulima wa mihogo hayo maeneo yaliyovunbuliwa gesi maana hamna utaalam hata wa kunusa tu.
Wewe usijifanye ndio unajua saanaa,kwani hiyo mikataba ya SGR yenu ya Kichina hamkuisoma?
 
Signs of a dictator and dumb citizens. Waafrika na kushabikia vitu vya upuzi hawajambo. In Europe, heads of states and Prime Ministers move around on bicycles and public transport, hapa na umaskini wote unapata watu wanaringa eti security ya president wao ni high class. Juzi juzi mwengine kapost humu eti msururu wa magari wa Magufuli ndio best in Africa. Mitanzania kweli ni bongolala.

This is not Europe its Africa....kuna watu wana husuda mkiwemo nyinyi.....JPM ana maadui wengi sana ndani na nje ikiwemo mimi na wewe tuliotolewa kwa vyeti feki....acha Rais alindwe...he is our icon and pride.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Naona Povu la wakenya wakilitoa. Hii inaonesha ni namna gani walivyo na wivu wa kupindukia.
 
Hawa wanajeshi waliovaa uniform za kaki ni wa nchi gani?
 
You don't see Kenyans opening threads here boasting of the security our president gets - we understand how useless that is and vain. In fact Kenyans are always advocating for reduced expenditure on such useless things while you bongolalas are here boasting how yours is the grandest in Africa. And to think you actually think we are jealousy of such? Pathetic.

We jamaa unapigwa nao sana
 
Your president security is weakest and lamest organization ever, they cannot even secure 🔐 your president's car means anyone can enter and do anything he wants to your statehouse without surveillance detection

Mpaka gari inaibwa na wakora only Tanzania secret services helped you to get it, poorest Kenyan security has nothing to showcase, greedily corrupted in the highest quality

Bila kusahau wanavyojambishwa na alshababy wa somalia! Security ya Kenya poor kabsa!
 
This is too much, inaelekea vitisho vimekuwa vingi sana
 
Huyo ni A.P yaani Administration Police polisi wa utawala. Mwenzako kwa kiherehere chake ameona sare yao ya 'combat' yeye akajua ni mwanajeshi.

Wenzenu huku hakuna kitu tuko sensitive kama usalama,kitendo cha polisi huyo kukutwa amelewa ni fedheha kubwa sana kwa serikali na taifa kwa ujumla,asingetokea mtu yoyote kutetea ati sijui huyu sio mwanajeshi,au sio polisi sijui nini,as amevaa state uniform ni msala kuzidhalilisha.

Ajabu hapa unataka kusema KDF ni wa maana wakati 2014 walinaswa wakiiba katika mall pombe na mikufu,wakati jengo la westgate limetekwa.
 
Wapiiii...Tanzania moja tunayoijua au nyingine, hebu soma hiki kisa cha askari wa JWTZ ambaye anategemewa kwa usalama wa nchi anafumuliwa marinda kizembe na mwendesha bodaboda
P1260002.JPG
 
Wapiiii...Tanzania moja tunayoijua au nyingine, hebu soma hiki kisa cha askari wa JWTZ ambaye anategemewa kwa usalama wa nchi anafumuliwa marinda kizembe na mwendesha bodaboda
P1260002.JPG
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom