mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Wapiiii...Tanzania moja tunayoijua au nyingine, hebu soma hiki kisa cha askari wa JWTZ ambaye anategemewa kwa usalama wa nchi anafumuliwa marinda kizembe na mwendesha bodaboda
![]()
Wewe huko sawa kichwani.
Sasa hapo cha ajabu ni nini!!!!mwanamke kubakwa!!