ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Mkuu, nimeshindwa kuamua nikupe kitufe kipi kati ya vilivyopo (like, love, laugh...); kwa sababu huwa sipendi kubaguana.Ndio, ni Bora kuteswa na Mtanganyika labda tutasema amekengeuka, kuliko kuteswa na watu kutoka nchi nyingine ambayo hawana asili na Tanganyika, nikimaanisha wakoloni.
Baba hata akiwatesa lakini atalinda rasilimali za nyumbani, Magufuli sijawahi kusikia ana ndugu zake wajomba na mashangazi nchi za uarabuni, Bali ndugu zake wapo chato, aliiba na kupeleka pesa chato, aligawa tenda Kwa watu wa chato, hakuenda kugawa pesa na rasilimali ,a nchi uarabuni. Hakununua majumba uarabuni Kwa wajomba.
Maraisi wote wa nchi walikuwa Wana makabila ya asili, Sasa ukiona raisi Hana kabila analowakilisha lazima ujiulize mara mbili na ukimbie
Naipenda nchi yangu, Gen Z
Hata sijui alifikiria kitu gani, alipomchagua huyu mtu.Ila ndio katuletea shida yote hii
Tatizo lako ni dogo sana.Ndio, ni Bora kuteswa na Mtanganyika labda tutasema amekengeuka, kuliko kuteswa na watu kutoka nchi nyingine ambayo hawana asili na Tanganyika, nikimaanisha wakoloni.
Baba hata akiwatesa lakini atalinda rasilimali za nyumbani, Magufuli sijawahi kusikia ana ndugu zake wajomba na mashangazi nchi za uarabuni, Bali ndugu zake wapo chato, aliiba na kupeleka pesa chato, aligawa tenda Kwa watu wa chato, hakuenda kugawa pesa na rasilimali ,a nchi uarabuni. Hakununua majumba uarabuni Kwa wajomba.
Maraisi wote wa nchi walikuwa Wana makabila ya asili, Sasa ukiona raisi Hana kabila analowakilisha lazima ujiulize mara mbili na ukimbie
Naipenda nchi yangu, Gen Z
alikuwa na uchungu sana na Tanganyika, sio kama wengine wenye uchungu na mahali pengine.Ndio, ni Bora kuteswa na Mtanganyika labda tutasema amekengeuka, kuliko kuteswa na watu kutoka nchi nyingine ambayo hawana asili na Tanganyika, nikimaanisha wakoloni.
Baba hata akiwatesa lakini atalinda rasilimali za nyumbani, Magufuli sijawahi kusikia ana ndugu zake wajomba na mashangazi nchi za uarabuni, Bali ndugu zake wapo chato, aliiba na kupeleka pesa chato, aligawa tenda Kwa watu wa chato, hakuenda kugawa pesa na rasilimali ,a nchi uarabuni. Hakununua majumba uarabuni Kwa wajomba.
Maraisi wote wa nchi walikuwa Wana makabila ya asili, Sasa ukiona raisi Hana kabila analowakilisha lazima ujiulize mara mbili na ukimbie
Naipenda nchi yangu, Gen Z
Unamuonea! Samia kaletwa na JKIla ndio katuletea shida yote hii
Siku nyie chadema mkiacha kumhusisha JPM Kwenye haya mambo, mtakuwa na akili timamu.Ila ndio katuletea shida yote hii
Hawa watu huwa siwaelewi kabisa awali walisema samia ni jembe ameiponya nchi na alipewa sijui kitu gani na bawacha kule mkoa wa kilimanjaro !mambo yamevurugikaSi mlikuwa mnasema ni murundi ...kenge nyie🐼
Naunga Mkono, hata Mzee Jomo Kenyatta baada ya kugundua viongozi au wasaidizi wake ni wala Rushwa na Wana mashiko , aliwaambia , Hilo ni kosa lakini lingejuwa Baya zaidi wangewekeza nje ya nchi , yaani utoroshaji WA mitaji na kuimarisha uchumi wa nchi nyingineNdio, ni Bora kuteswa na Mtanganyika labda tutasema amekengeuka, kuliko kuteswa na watu kutoka nchi nyingine ambayo hawana asili na Tanganyika, nikimaanisha wakoloni.
Baba hata akiwatesa lakini atalinda rasilimali za nyumbani, Magufuli sijawahi kusikia ana ndugu zake wajomba na mashangazi nchi za uarabuni, Bali ndugu zake wapo chato, aliiba na kupeleka pesa chato, aligawa tenda Kwa watu wa chato, hakuenda kugawa pesa na rasilimali ,a nchi uarabuni. Hakununua majumba uarabuni Kwa wajomba.
Maraisi wote wa nchi walikuwa Wana makabila ya asili, Sasa ukiona raisi Hana kabila analowakilisha lazima ujiulize mara mbili na ukimbie
Naipenda nchi yangu, Gen Z
Huyu mama wakati anaingia madarakani alionekana kuchukia matendo ya hovyo ya Magufuli, kama utekaji na task forces za wakati huo. Lkn sasa amekuwa kinara wa utekaji tena wa hovyoSiku nyie chadema mkiacha kumhusisha JPM Kwenye haya mambo, nitakuwa na akili timamu.
JPM alipokufa mlishangilia na kusema amekufa katili na mama ameiponya nchi ila sasa hv bado tena mnampa marehemu lawama 🗑️
Oh, kumbe shida Yako ni Uislamu? Usijali, akitoka Samia 2030 tutachagua maraisi ambao wana jamaa ulaya tu na Marekani Ili nafsi zenu za kibaguzi zitulie.Ndio, ni Bora kuteswa na Mtanganyika labda tutasema amekengeuka, kuliko kuteswa na watu kutoka nchi nyingine ambayo hawana asili na Tanganyika, nikimaanisha wakoloni.
Baba hata akiwatesa lakini atalinda rasilimali za nyumbani, Magufuli sijawahi kusikia ana ndugu zake wajomba na mashangazi nchi za uarabuni, Bali ndugu zake wapo chato, aliiba na kupeleka pesa chato, aligawa tenda Kwa watu wa chato, hakuenda kugawa pesa na rasilimali ,a nchi uarabuni. Hakununua majumba uarabuni Kwa wajomba.
Maraisi wote wa nchi walikuwa Wana makabila ya asili, Sasa ukiona raisi Hana kabila analowakilisha lazima ujiulize mara mbili na ukimbie
Naipenda nchi yangu, Gen Z
Uwe na adabu!,hakuiba bali alichukua!,huwezi kuiba kitu ambacho ni chako,ni unachukua!。Magufuli ana ndugu zake wajomba na ndugu zake wapo Chato, aliiba na kupeleka pesa Chato, aligawa tenda Kwa watu wa Chato,
Naipenda nchi yangu, Gen Z