Magufuli hata kama alitutesa, bado ni baba yetu ni damu yetu Tanganyika

Siku nyie chadema mkiacha kumhusisha JPM Kwenye haya mambo, nitakuwa na akili timamu.

JPM alipokufa mlishangilia na kusema amekufa katili na mama ameiponya nchi ila sasa hv bado tena mnampa marehemu lawama 🗑️
Kwa upande wangu Magufuli ndiye raisi Bora kuwahi kutokea hapa nchini.

Narudia kusema kuwa wasiompenda magufuli ni watumishi hewa na wale wote waliotoka katika familia za watumishi hewa, wale waliokuwa wanaiba raslimali za nchi wakanyooshwa na magufuli pamoja na wale wote ambao hawajazoea kuambiwa ukweli na magufuli aliwaambia ukweli bila kuangalia sura zao wala pua zoa.

Nyambafu!!
 
JPM ni marehemu ila ukiweka kura hapa kuwashindanisha na walio hai, ni yupi kiongozi bora bado JPM anashinda 😂
 
Ndio, ni Bora kuteswa na Mtanganyika labda tutasema amekengeuka, kuliko kuteswa na watu kutoka nchi nyingine ambayo hawana asili na Tanganyika, nikimaanisha wakoloni.

Baba hata akiwatesa lakini atalinda rasilimali za nyumbani, Magufuli sijawahi kusikia ana ndugu zake wajomba na mashangazi nchi za uarabuni, Bali ndugu zake wapo chato, aliiba na kupeleka pesa chato, aligawa tenda Kwa watu wa chato, hakuenda kugawa pesa na rasilimali ,a nchi uarabuni. Hakununua majumba uarabuni Kwa wajomba.

Maraisi wote wa nchi walikuwa Wana makabila ya asili, Sasa ukiona raisi Hana kabila analowakilisha lazima ujiulize mara mbili na ukimbie

Naipenda nchi yangu, Gen Z
Alitufungua macho kwa viboko. Asante baba Magufuli tutaonana tena. 🙏
 
Ndio, ni Bora kuteswa na Mtanganyika labda tutasema amekengeuka, kuliko kuteswa na watu kutoka nchi nyingine ambayo hawana asili na Tanganyika, nikimaanisha wakoloni.

Baba hata akiwatesa lakini atalinda rasilimali za nyumbani, Magufuli sijawahi kusikia ana ndugu zake wajomba na mashangazi nchi za uarabuni, Bali ndugu zake wapo chato, aliiba na kupeleka pesa chato, aligawa tenda Kwa watu wa chato, hakuenda kugawa pesa na rasilimali ,a nchi uarabuni. Hakununua majumba uarabuni Kwa wajomba.

Maraisi wote wa nchi walikuwa Wana makabila ya asili, Sasa ukiona raisi Hana kabila analowakilisha lazima ujiulize mara mbili na ukimbie

Naipenda nchi yangu, Gen Z
Napinga utekaji, utesaji, ufiraji na uminyaji wa demokrasia! Siwaungi mkono wanaotenda hayo!
Ila naunga mkono hoja ya kudai u-Tanganyika!
 
Magulification must go on.

Kwani nchi nzima ina mazuzu?

Haiingii akilini uongo unavyokuwa ukweli.
 
Ndio, ni Bora kuteswa na Mtanganyika labda tutasema amekengeuka, kuliko kuteswa na watu kutoka nchi nyingine ambayo hawana asili na Tanganyika, nikimaanisha wakoloni.

Baba hata akiwatesa lakini atalinda rasilimali za nyumbani, Magufuli sijawahi kusikia ana ndugu zake wajomba na mashangazi nchi za uarabuni, Bali ndugu zake wapo chato, aliiba na kupeleka pesa chato, aligawa tenda Kwa watu wa chato, hakuenda kugawa pesa na rasilimali ,a nchi uarabuni. Hakununua majumba uarabuni Kwa wajomba.

Maraisi wote wa nchi walikuwa Wana makabila ya asili, Sasa ukiona raisi Hana kabila analowakilisha lazima ujiulize mara mbili na ukimbie

Naipenda nchi yangu, Gen Z
Wakati wa

Wakati Magufuli anashirikiana na Intarahamwe wa Nyarwanda kuua viongozi waandamizi wa nchi hii we ulikuwa bado ujaacha kunyonya.?
 
Hivi kwanini mtu akipinga maovu ya Serikali anaitwa Chadema, mfano Mimi sijawahi kuwa wanachama wa Chama chochote, ila ukikosoa tu serikali we Chadema, ukisifia we uvccm.
Sasa hivi watu Wana uelewa sana, nilikuwa kijiwe Cha boda boda hakuna hata mwanachama mmoja wa Chadema au CCM, ila ukiwasikiliza wanaponda maovu ya Serikali, na penye kusifia wanasifia. Na vijana ni wanampenda sana Lissu, hata kama angekuwa yupo Chama kingine, kashajitengenezea Legacy, kama ilivyo Kwa Messi na Ronaldo
 
Back
Top Bottom