Magufuli hata kama alitutesa, bado ni baba yetu ni damu yetu Tanganyika

Siku nyie chadema mkiacha kumhusisha JPM Kwenye haya mambo, nitakuwa na akili timamu.

JPM alipokufa mlishangilia na kusema amekufa katili na mama ameiponya nchi ila sasa hv bado tena mnampa marehemu lawama πŸ—‘οΈ
Kwa upande wangu Magufuli ndiye raisi Bora kuwahi kutokea hapa nchini.

Narudia kusema kuwa wasiompenda magufuli ni watumishi hewa na wale wote waliotoka katika familia za watumishi hewa, wale waliokuwa wanaiba raslimali za nchi wakanyooshwa na magufuli pamoja na wale wote ambao hawajazoea kuambiwa ukweli na magufuli aliwaambia ukweli bila kuangalia sura zao wala pua zoa.

Nyambafu!!
 
JPM ni marehemu ila ukiweka kura hapa kuwashindanisha na walio hai, ni yupi kiongozi bora bado JPM anashinda πŸ˜‚
 
Alitufungua macho kwa viboko. Asante baba Magufuli tutaonana tena. πŸ™
 
Napinga utekaji, utesaji, ufiraji na uminyaji wa demokrasia! Siwaungi mkono wanaotenda hayo!
Ila naunga mkono hoja ya kudai u-Tanganyika!
 
Magulification must go on.


Kwani nchi nzima ina mazuzu?

Haiingii akilini uongo unavyokuwa ukweli.
 
Wakati wa Wakati Magufuli anashirikiana na Intarahamwe wa Nyarwanda kuua viongozi waandamizi wa nchi hii we ulikuwa bado ujaacha kunyonya.?
 
Hivi kwanini mtu akipinga maovu ya Serikali anaitwa Chadema, mfano Mimi sijawahi kuwa wanachama wa Chama chochote, ila ukikosoa tu serikali we Chadema, ukisifia we uvccm.
Sasa hivi watu Wana uelewa sana, nilikuwa kijiwe Cha boda boda hakuna hata mwanachama mmoja wa Chadema au CCM, ila ukiwasikiliza wanaponda maovu ya Serikali, na penye kusifia wanasifia. Na vijana ni wanampenda sana Lissu, hata kama angekuwa yupo Chama kingine, kashajitengenezea Legacy, kama ilivyo Kwa Messi na Ronaldo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…