Magufuli is getting better and better, he is changing for the better. Hongera sana!

Unapenda miteremko eeh!? Lipeni kodi bila kukweoa hatuhitaji mtu wa kutupa msaada kama tutatimiza wajibu wetu vyema. Acheni kudai nyongeza ya mishahara bila sababu kwani ni moja ya michango yenu kwa taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ha ha ha haa najifunza kiswahili nisiandike lugha ya kabila langu.

Akipewa nafasi namuaminia atakuwa kiongozi mzuri.. kwa kumfahamu na kumsoma ni kwamba anajua sama kusikiliza na haamui kuandika humu kwa kukurupuka.. ana skills nyingi sana sema ndio hazitoi kiuwazi ila anasomeka viziri tu.. eeeh mimi nimeandika kwa sababu nina skills na najua kujua kuzitambua za mtu kama yeye humu kwa maandishi yake. Hata tafuta kiki za kuita kamera kila kona..ataacha Mkulu yoyote juu yake aone matokeo..

Kiuongozi kwa wengi naamini JPM anaishia tu kuachaga siku zipite kwa wengi aliowateua hasa nafasi zisizohitaji elimu za juu.. anawapa nafasi ila wengi hawajigundui kujibadili au kujiongeza hata walio na elimu za juu. Wengi wanafanya mambo bila kukaa na kutafakari.. wanafikiri uongozi ni lelemama.. hawajijengi kuangalia mbele kujiongezea vya kuandika kwa CV zao hawajui umuhimu.. haswa wanaopenda kuona wanashangiliwa.. kuna mengi shaaa na sio ambayo mtu hawezi kujijenga kuwa bora na bora.. wanashinda mitandaoni kutafuta majina yao badala ya kutumia muda kusaka nondo za kujiongeza.. Hawajiweki kwa wananchi kutambulika ki...(namezea) ambayo ni bonus kubwaaaa hata kwa baadae

Go Pascal.. itabidi kuanza kuandika kama RC wa Kilimanjaro aliweka wazi.. natumaini anaendelea vizuri na kujijenga kizaidi. Hakuna kazi duniani ambayo mtu hajifunzi mapya ni kujua ya kufanya tu..

Itabidi nami nianzishe madarasa ya mitandaoni ya one to one kufunza viongozi na wanaotaka uongozi.
Exposure oyeeeeeeeee
 


Kwenye hizi nchi zetu za dunia ya tatu ambazo Mara nyingi sana hatuandai watu kuwa marais, watu wanajifunzia humo humo.

You start as Mr everyting, then you agree with Wahenga kuwa " usione vyaelea vimeundwa"!.

You start becoming wise and taking time to take actions. You become better and better as your time runs out, ( as good as it gets). But you become worse if you overstays.

It is a learning curve for top leaders in most poor African countries.
 
Pascal Mayalla ngoja tumpe muda. Labda atabadilika kama ulivyoandika hapa. Huwa anasema maendeleo hayana chama lakini wabunge wa upinzani huwa wanajiudhulu ili wachaguliwe tena wakiwa CCM ili miradi ya maendeleo itekelezwe maeneo yao.

Juzi tu, tumemkariri Mwenyekiti wa UVCCM akimueleza yule diwani aliyekuwa CHADEMA na kuhamia CCM na kuchaguliwa tena kuwa wakati alipokuwa CHADEMA aliona wakipeleka fedha za miradi. Na sasa yupo CCM na miradi ya eneo lake inatekelezwa.

Sijawahi kumsikia Rais Jakaya Kikwete akiahidi kwa kubagua kulipa malimbikizo ya mishahara kwa watumishi wa umma wa shirika fulani na kuacha madai ya watumishi wengine. Jana alifanya hivi Mwanza kwa watumishi wa wakala wa huduma za meli.

Kifupi nirudie kusema kuwa tumpe muda ili ayafanye hayo yote mema isipokuwa kubadili katiba na kuonhezewa muda wa urais.
 
Ndoto za Mchana hizi Pascal. Hongera kwa mawazo lako lakini!
 
hahaha..kumbe Paskali ilibaki kidogo apate division Zero Form Four?.... Ndio maana nyuzi zake hazieleweki !
 
Kuna mambo matatu.
1. Huenda wiki hizi mbili hajapiga vitu vyake akiwa anapanda jukwaani.
2. Huenda amebadilishiwa dawa za ukichaa(kama aivyojisema yeye ni kichaa)
3. Kubwa zaidi, usikute barua ya wazi toka ubelgiji imesaidia.
 
Nilikuwa nakupuuza tu sababu ya uandishi wako, kwa sasa naamini una pointi ambazo zimejificha kwenye ukada wako.

Nitakuwa na kusoma mara mbili mbili.
 
Sa hapo unaona katenganisha nini wakati kashasema upinzani hamjaja lakini CCM mngekuja wengi hiyo si siasa tayari
 
Nilikuwa nakupuuza tu sababu ya uandishi wako, kwa sasa naamini una pointi ambazo zimejificha kwenye ukada wako.

Nitakuwa na kusoma mara mbili mbili.

🤣🤣🤣🤣
Mimi sio kada
Ni mdau wa JF na mwananchi wa kawaida
 
Hiyo ni kwa mjibu wa vipimo vyako. Sasa inakuwa shida unapofanya vipimo vyako ndio viwe 'standard' na kuvifanya vipimo vinavyokubaliwa na umati wa JF.

Maadam bado hajasemea na kutenda yanayoonekana kukubali kwake kufuata "Utawala wa Sheria" na kufuata bila kukiuka "Katiba ya nchi"' itakuwa vigumu sana kukubali hoja yako uliyoileta.

'Bottom line' ya baadhi yetu: tunakataa vitendo vya kunyanyasa, kuonea, kuumiza waTanzania wenzetu kwa sababu tu ya mawazo yao kuwa tofauti na yale anayoyakubali yeye.

Atafanya mazuri, ndio, tutayaona na mengine tunakubaliana naye kabisa; lakini bila kubadilika kwa dhati ya moyo wake, na kuweka mbele maelewano na umoja wa taifa letu, hatuwezi kukubaliana na hoja yako uliyoiweka hapa.

Kuna wengine wetu pelemende huwa ni chungu! Natumaini utanielewa.
 
Pasco,Magufuli hasn't done any better, and he'll never act any better, kaminya Demokrasia ,ananunua wapinzani ,taifa limegeuka kuwa taifa la uchaguzi,huyu anayedai anataka Tanzania ya viwanda,utaipataje hiyo Tanzania ya viwanda wakati kila uchao anawaza kuua upinzani,matendo yake na kutoshaurika kwake kunaididimiza nchi,ndo maana anawaza hata Ku print pesa nje ya mzunguko halali kiuchumi.
Uzi wako hauna logic pasco,ni dhahiri unatafuta uteuzi tu huna jipya,usitudanganye eti huna chama wakati huwa unapiga kura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…