Magufuli is getting better and better, he is changing for the better. Hongera sana!

Pascal wataanza kukuelewa na mwisho watashindwa kukuvumilia, sio kwamba hawana akili kabisa. Anyway lugha ina utamu wake
 
Yah right. What goes around ... comes around.
 
Huwezi jua, kufikia 2025, President Magufuli might end up being the best president, this country had ever had,
Yes indeed, the best one who ever attempted to assassinate Tundu Lissu! Au sijakuelewa kaka? Mimi imani yangu imenifundisha dhambi kama hiyo haisameheki!
 
Walio huru uraiani hawakumbuki wanaonyea ndoo mahabusu/gerezani.

Nimeona umevaa viatu vyao na kwa unyenyekevu mkubwa umemuomba baba mwenye nyumba awafikirie na afanye jambo kwa uliowataja kupitia DP.

Ombeni nanyi mtapewa, bisheni hodi nanyi mtafunguliwa na tafuteni mtapata.

Andiko hili na liwe sala/dua kwa wote wanaotumikia kifungo.
Amina. Amina. Amina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kichaa chako kinafanana na changu CHAPA KAZI ila hakuna uteuzi
 
getting better kwa kuwalinda wakwepa kodi? Makonda na kind lake
 
Pascal nimekuelewa sana. Wewe ni philosophical figure. Nilikuwa nataka kuharubu na kiments kadhaa ila nikabaini busara ndani ya huu uzi. Nami nijifanye mwanafalsafa kidogo. Tutegemee mema. Rais anaanza kutambua sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sarcasm at its best............mumuelewe vizuri Pachal na aina ya uwasilishaji wake ili anendelee kuandika bila kukwaruzana na mamlaka.
Kazi nzuri bro
 
KILA SIKU MAANDIKO YAKO NI YA KUSIFU MAGUFULI TANGU UTOKE KUHOJIWA BUNGENI. MKUU WEWE NA TUMBO LAKO NA YA WATOTO WAKO MBAKI NAYO...TANZNAIA NI NCHI...OF COURSE SIO KILA MTU LAZIMA AWE MWANDISHI..ILA USITUMIKE KUPOTOSHA UMMA. RUBBISH KABISA...NILIKUWA NAKUHESHIMU SNAA
 
Kwani kutokuwa na chama kunazuia ww kusaka uteuzi au mteuwaji kutokukuteuwa na hasa ikitokea ww una viwango vya juu vya unafiki au kujitoa fahamu na kusifu kila kitu ata ujinga. Utateuliwa tu. TATIZO BW KAKA PASKALI WW NI VUGUVUGU, SI MOTO SI BARIDI. Na kwa siasa za kibongo lazima watu watake kujua umesimamia wapi, ww ni mwenzetu au si mwenzetu. ILA SIKU UKICHUKUA UPANDE UTASHIBISHWA ILA UTAPATA TABU SANA. Kwa sababu utakua na option mbili tu kukosoa tu au kujitoa fahamu na kushangilia kila kitu. Hakika utapata tabu japo sijui viwango vyako vya unafiki. Hahahaaa...
 
na sisi Watanzania katika umoja wetu, tukamlilia aendelee na kufanya maandamano nchi nzima kushinikiza katiba ibadilishwe, kipengele cha ukomo kieondolewe!.
Mkuu Mayalla tafadhali njoo ufafanue hapo kwenye kipengele cha ukomo kuondolewa ulikua na maana gani?
 
Huy

Huyo ndiyo Rais mzuri asiyetabirika, siyo kama aliyetangulia unajua hata kabla hajasema kitu. Big up JPM, keep people on suspense
Unpredictability is a good thing however this guy has a disposition of insanity!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…