- Thread starter
- #21
Sasa hii chagua CCM upate maendeleo inatoka wapi?!....Asilimia 100 ya majimbo yote Tanzania ni masikini wa kutupwa. Sema mengine yamezidi umasikini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hii chagua CCM upate maendeleo inatoka wapi?!....Asilimia 100 ya majimbo yote Tanzania ni masikini wa kutupwa. Sema mengine yamezidi umasikini.
Ktk mkoa wa MARA, BUNDA ndio imechangamka kibiashara, na kodi.Huyo jiwe aulizwe kama kodi za huko hachukui!
Maneno tu hayo .Kama ni hivyo CCM ipo tokea nchi hii ipate uhuru,kwa nini hatuna maendeleo ?Sasa hii chagua CCM upate maendeleo inatoka wapi?!....
Mimi nakwambia BUTIAMA ni CCM, lakini ni fukara sanaWiki juzi nilipita Butiama kwa kweli hauwezi amini kwamba ndiyo nyumbani kwa mhasisi wa Tanzania. Tatizo lingine kwa Butiama (limethibitishwa na wenyeji bila shaka yoyote) ni kwamba mkurugenzi wa halmashauri ya Butiama kashatengeneza makundi miongoni mwa watumishi hivyo kupelekea kazi kutofanyika. Kiufupi nilichongundua halmashauri ya Butiama ilishakufa.
Wale walienda bungeni kulinda masilahi yao si ya wananchi .RORYA...
Kwa Tajiri Lameck Airo, CCM
MASKINI vibaya..
24. KONGWASalaam wana JF...
Jana tarehe 04.09.2020 nikiwa nimetulia sehemu nilibahatika kufungulia TBC1 na kukuta kampeni za JPM akiwa mkoani Mara.
Muda wa alasiri, alikuwa Bunda, badae akapita na kusimama Kiabakari, ni eneo la mnada wilayani Butiama.
Leo najua atakuwa na mkutano Musoma mjini.
Mambo niliyoshangaa kwa JPM:-
1. Aliwaambia wananchi wa Bunda kwamba hakuwafanyia maendeleo yoyote, kwa sababu wao walichagua upinzani.
-Akawauliza "nyinyi hamjiulizi mko karibu na Ziwa lakini hamna maji?"
-Akawauliza "hamuoni wenzenu Lamadi (mpakani mwa Bunda, jimbo Busega) wana taa za barabarani, nyie hamna?!"
- Akawaambia, hata barabara nimeendeleza zinazowazunguka hapa nikawaruka.
Mwisho akaishia kuwaambia mnichagulie mbunge wa CCM, na madiwani wa CCM.
Nilishangaa hakueleza zaidi atawafanyia nn, ila aliwaahidi kuwa mkinichagulia mbunge wa CCM nitakuja kuwashukuru, na siku hiyo ndio ntakuja na mipango yote kuibadilisha Bunda.
Akawasisitiza wasichague maupinzani tena.
ETI HAWEZI KUACHA MTOTO WAKE, AKAMHUDUMIA WA JIRANI.
Nampa pole JPM kwa haya na timu yake ya kampeni.
Inaelekea hajui vizuri watu wa Mara (hasa eneo la Bunda).
-Moja, sio watu wa kutishiwa vitu kabisa. Pole JPM
Kwa hili, Bunda umepoteza.
Wale wamezoea kuishi na upinzani tangu Nyerere akiwa hai.
Unamtishia mwana Bunda (Mwikizu, Msizaki, Mzanaki, Mkurya, n.k) vitu?!!!! Eti ndio akuchague?
UME FAIL....
Hawakuchagui, watasema baki na taa zako za barabarani.
Wale ni kina LadyJaydee hawatishwi na hawapigi magoti.
Sijui huko usukumani labda wanapiga magoti.
- Mbili,
Ni uongo mkubwa kwamba Bunda haina maendeleo kisa kuwa upinzani.
Nikuulize leo upo Musoma mjini, ambayo ipo CCM awamu hii yako ya kwanza;
Mbona Musoma mjini imefubaa kuliko Bunda?, mji umepotea na biashara haziendi mpaka watu wameukimbia?! Mbona huko yupo mbunge wa CCM?
Haya BUTIAMA je?
Mbona siku zote wapo CCM. Tena wanapitaga bila kupingwa. Mbona BUTIAMA imechoka sana.
- BUTIAMA haina maji, lakini ipo CCM.
Mbunge CCM, Madiwani CCM.
- BUTIAMA kampuni yako ya Mayanga imeshindwa kujenga Barabara ya Butiama - Serengeti, na hela walilipwa, Mradi wa kumalizika 2015, mpaka leo umekufa.
Mbunge CCM, Madiwani CCM.
- BUTIAMA haina hospital ya maana, Haina sekondari ya maana, Haina soko la maana.
Mbunge CCM, Madiwani CCM.
ACHA HADAA, HAKUNA CHA CCM.
-HALAFU UNAJIITA KABISA RAIS WA MAENEO YA CCM TU.!!
2. AKIWA KIABAKARI.
Akiwa hapa alisema tatizo kubwa la Jimbo la BUTIAMA, ni ukabila.
Aisee you're very WRONG.
Butiama haina ukabila kabisa.
Ndio maana hata ulivyosema hivyo niliona kila mtu ananyamaza.
Sijui ulimaanishi nini. Ila umedanganywa pakubwa, matatizo ya BUTIAMA ni mengine kabisa.
Nakuhurumia sana.
Halafu mu MSHAURI JPM AACHE KUTISHA WAPIGA KURA kwamba hatawafanyia maendeleo kwa vile wanachagua upinzani.
Ni uongo mkubwa...
Haya ni majimbo ambayo yapo CCM, lakini ni maskini vibaya sana..
1. BUTIAMA
2. BUKOMBE
3. BUSEGA
4. MANYONI
5. MUSOMA VIJIJINI
6. KIBITI
7. RUFIJI
8. MKURANGA
9. MVOMERO
10. UKONGA
11. KAKONKO
12. MAGU
13. IRAMBA
14. MAKETE
15. NEWALA
16. MTAMA
17. KIVUU
18. SUMBAWANGA
19. NZEGA KASKAZINI
20. NZEGA KUSINI
21. SENGEREMA
22. CHATO
23. LONGIDO
24...........
Mwana JF...
Taja MAJIMBO mengine yaliyopo CCM lakini ni maskini vibaya mno...
Comment hapa Chini.....
Geita nayo ni maskini sana. Nilifika Bukombe kwa Dotto waziri wa madini. Pamechalala. Watu hoi..Tunaomba Tindu Lisu akifika geita atembelee wilaya za nyangwale,bukombe,mbongwe na Geita vijijini. Akiwa geita vijiji atembelee vijiji vya Nyamikoma,lwenge na Kamwanga .atapata kura zote kabisa. Wananchi wanasubiri kwa hamu kubwa. Kuna uwezekana hata magari ya VX V8 hayataweza kufikia hivyo vijiji na viko nchi kavu hakuna barabara kabisa.TL karibu mkoa wa Geita
So anamaamisha upinzani si wa Nchi hii siyo???? But anyways I know a rock/stone never has brain nor mental.Salaam wana JF...
Jana tarehe 04.09.2020 nikiwa nimetulia sehemu nilibahatika kufungulia TBC1 na kukuta kampeni za JPM akiwa mkoani Mara.
Muda wa alasiri, alikuwa Bunda, badae akapita na kusimama Kiabakari, ni eneo la mnada wilayani Butiama.
Leo najua atakuwa na mkutano Musoma mjini.
Mambo niliyoshangaa kwa JPM:-
1. Aliwaambia wananchi wa Bunda kwamba hakuwafanyia maendeleo yoyote, kwa sababu wao walichagua upinzani.
-Akawauliza "nyinyi hamjiulizi mko karibu na Ziwa lakini hamna maji?"
-Akawauliza "hamuoni wenzenu Lamadi (mpakani mwa Bunda, jimbo Busega) wana taa za barabarani, nyie hamna?!"
- Akawaambia, hata barabara nimeendeleza zinazowazunguka hapa nikawaruka.
Mwisho akaishia kuwaambia mnichagulie mbunge wa CCM, na madiwani wa CCM.
Nilishangaa hakueleza zaidi atawafanyia nn, ila aliwaahidi kuwa mkinichagulia mbunge wa CCM nitakuja kuwashukuru, na siku hiyo ndio ntakuja na mipango yote kuibadilisha Bunda.
Akawasisitiza wasichague maupinzani tena.
ETI HAWEZI KUACHA MTOTO WAKE, AKAMHUDUMIA WA JIRANI.
Nampa pole JPM kwa haya na timu yake ya kampeni.
Inaelekea hajui vizuri watu wa Mara (hasa eneo la Bunda).
-Moja, sio watu wa kutishiwa vitu kabisa. Pole JPM
Kwa hili, Bunda umepoteza.
Wale wamezoea kuishi na upinzani tangu Nyerere akiwa hai.
Unamtishia mwana Bunda (Mwikizu, Msizaki, Mzanaki, Mkurya, n.k) vitu?!!!! Eti ndio akuchague?
UME FAIL....
Hawakuchagui, watasema baki na taa zako za barabarani.
Wale ni kina LadyJaydee hawatishwi na hawapigi magoti.
Sijui huko usukumani labda wanapiga magoti.
- Mbili,
Ni uongo mkubwa kwamba Bunda haina maendeleo kisa kuwa upinzani.
Nikuulize leo upo Musoma mjini, ambayo ipo CCM awamu hii yako ya kwanza;
Mbona Musoma mjini imefubaa kuliko Bunda?, mji umepotea na biashara haziendi mpaka watu wameukimbia?! Mbona huko yupo mbunge wa CCM?
Haya BUTIAMA je?
Mbona siku zote wapo CCM. Tena wanapitaga bila kupingwa. Mbona BUTIAMA imechoka sana.
- BUTIAMA haina maji, lakini ipo CCM.
Mbunge CCM, Madiwani CCM.
- BUTIAMA kampuni yako ya Mayanga imeshindwa kujenga Barabara ya Butiama - Serengeti, na hela walilipwa, Mradi wa kumalizika 2015, mpaka leo umekufa.
Mbunge CCM, Madiwani CCM.
- BUTIAMA haina hospital ya maana, Haina sekondari ya maana, Haina soko la maana.
Mbunge CCM, Madiwani CCM.
ACHA HADAA, HAKUNA CHA CCM.
-HALAFU UNAJIITA KABISA RAIS WA MAENEO YA CCM TU.!!
2. AKIWA KIABAKARI.
Akiwa hapa alisema tatizo kubwa la Jimbo la BUTIAMA, ni ukabila.
Aisee you're very WRONG.
Butiama haina ukabila kabisa.
Ndio maana hata ulivyosema hivyo niliona kila mtu ananyamaza.
Sijui ulimaanishi nini. Ila umedanganywa pakubwa, matatizo ya BUTIAMA ni mengine kabisa.
Nakuhurumia sana.
Halafu mu MSHAURI JPM AACHE KUTISHA WAPIGA KURA kwamba hatawafanyia maendeleo kwa vile wanachagua upinzani.
Ni uongo mkubwa...
Haya ni majimbo ambayo yapo CCM, lakini ni maskini vibaya sana..
1. BUTIAMA
2. BUKOMBE
3. BUSEGA
4. MANYONI
5. MUSOMA VIJIJINI
6. KIBITI
7. RUFIJI
8. MKURANGA
9. MVOMERO
10. UKONGA
11. KAKONKO
12. MAGU
13. IRAMBA
14. MAKETE
15. NEWALA
16. MTAMA
17. KIVUU
18. SUMBAWANGA
19. NZEGA KASKAZINI
20. NZEGA KUSINI
21. SENGEREMA
22. CHATO
23. LONGIDO
24...........
Mwana JF...
Taja MAJIMBO mengine yaliyopo CCM lakini ni maskini vibaya mno...
Comment hapa Chini.....
Hadi MASASI kwa Mkapa (marehemu) bado ni maskini?24. KONGWA
25. CHEMBA
26. MPWAPWA
27.MASASI
28.KALIUA
29. MANYOVU
30. KIGOMA KUSINI
31.....
Ni kweli kabisa maisha niliyoshuhudia Butiama ni duni sana.Mimi nakwambia BUTIAMA ni CCM, lakini ni fukara sana
Maneno tu hayo .Kama ni hivyo CCM ipo tokea nchi hii ipate uhuru,kwa nini hatuna maendeleo ?
Sanaa Huko Lupaso hali ni tete. Nimeshuhudia umaskini wa kutupwa nilipoenda kwenye mazishi yake juzi juziHadi MASASI kwa Mkapa (marehemu) bado ni maskini?
Eti kwa sababu wamechagua upinzani. Mbona ilitawaliwa na CCM tangu uhuru na hapakuwa na jambo lolote??Geita nayo ni maskini sana. Nilifika Bukombe kwa Dotto waziri wa madini. Pamechalala. Watu hoi..
Ni CCM
Hana sera huyo mzee amechanganyikiwa.Kauli za mgombea huyu ni za ubaguzi na uchochezi wa hali ya juu sana. Hata Rwanda walianza hivi kabla ya kutandikana.
Yaani unagoma kupeleka maendeleo sehemu flani kwa sababu walichagua upinzani? Vitu vingine ni bora kutokuvisema hadharani
Kongwa , kisarawe... Biharamuro ..solwa..nkansi..kalambo...kwela.. Misungwi ..korogweSalaam wana JF...
Jana tarehe 04.09.2020 nikiwa nimetulia sehemu nilibahatika kufungulia TBC1 na kukuta kampeni za Dkt. Magufuli akiwa mkoani Mara.
Muda wa alasiri, alikuwa Bunda, badae akapita na kusimama Kiabakari, ni eneo la mnada wilayani Butiama.
Leo najua atakuwa na mkutano Musoma mjini.
Mambo niliyoshangaa kwa Dkt. Magufuli:-
1. Aliwaambia wananchi wa Bunda kwamba hakuwafanyia maendeleo yoyote, kwa sababu wao walichagua upinzani.
-Akawauliza "nyinyi hamjiulizi mko karibu na Ziwa lakini hamna maji?"
-Akawauliza "hamuoni wenzenu Lamadi (mpakani mwa Bunda, jimbo Busega) wana taa za barabarani, nyie hamna?!"
- Akawaambia, hata barabara nimeendeleza zinazowazunguka hapa nikawaruka.
Mwisho akaishia kuwaambia mnichagulie mbunge wa CCM, na madiwani wa CCM.
Nilishangaa hakueleza zaidi atawafanyia nn, ila aliwaahidi kuwa mkinichagulia mbunge wa CCM nitakuja kuwashukuru, na siku hiyo ndio ntakuja na mipango yote kuibadilisha Bunda.
Akawasisitiza wasichague maupinzani tena.
ETI HAWEZI KUACHA MTOTO WAKE, AKAMHUDUMIA WA JIRANI.
Nampa pole Dkt. Magufuli kwa haya na timu yake ya kampeni.
Inaelekea hajui vizuri watu wa Mara (hasa eneo la Bunda).
-Moja, sio watu wa kutishiwa vitu kabisa. Pole Dkt. Magufuli
Kwa hili, Bunda umepoteza.
Wale wamezoea kuishi na upinzani tangu Nyerere akiwa hai.
Unamtishia mwana Bunda (Mwikizu, Msizaki, Mzanaki, Mkurya, n.k) vitu?!!!! Eti ndio akuchague?
UME FAIL....
Hawakuchagui, watasema baki na taa zako za barabarani.
Wale ni kina LadyJaydee hawatishwi na hawapigi magoti.
Sijui huko usukumani labda wanapiga magoti.
- Mbili,
Ni uongo mkubwa kwamba Bunda haina maendeleo kisa kuwa upinzani.
Nikuulize leo upo Musoma mjini, ambayo ipo CCM awamu hii yako ya kwanza;
Mbona Musoma mjini imefubaa kuliko Bunda?, mji umepotea na biashara haziendi mpaka watu wameukimbia?! Mbona huko yupo mbunge wa CCM?
Haya BUTIAMA je?
Mbona siku zote wapo CCM. Tena wanapitaga bila kupingwa. Mbona BUTIAMA imechoka sana.
- BUTIAMA haina maji, lakini ipo CCM.
Mbunge CCM, Madiwani CCM.
- BUTIAMA kampuni yako ya Mayanga imeshindwa kujenga Barabara ya Butiama - Serengeti, na hela walilipwa, Mradi wa kumalizika 2015, mpaka leo umekufa.
Mbunge CCM, Madiwani CCM.
- BUTIAMA haina hospital ya maana, Haina sekondari ya maana, Haina soko la maana.
Mbunge CCM, Madiwani CCM.
ACHA HADAA, HAKUNA CHA CCM.
-HALAFU UNAJIITA KABISA RAIS WA MAENEO YA CCM TU.!!
2. AKIWA KIABAKARI.
Akiwa hapa alisema tatizo kubwa la Jimbo la BUTIAMA, ni ukabila.
Aisee you're very WRONG.
Butiama haina ukabila kabisa.
Ndio maana hata ulivyosema hivyo niliona kila mtu ananyamaza.
Sijui ulimaanishi nini. Ila umedanganywa pakubwa, matatizo ya BUTIAMA ni mengine kabisa.
Nakuhurumia sana.
Halafu mu MSHAURI JPM AACHE KUTISHA WAPIGA KURA kwamba hatawafanyia maendeleo kwa vile wanachagua upinzani.
Ni uongo mkubwa...
Haya ni majimbo ambayo yapo CCM, lakini ni maskini vibaya sana..
1. BUTIAMA
2. BUKOMBE
3. BUSEGA
4. MANYONI
5. MUSOMA VIJIJINI
6. KIBITI
7. RUFIJI
8. MKURANGA
9. MVOMERO
10. UKONGA
11. KAKONKO
12. MAGU
13. IRAMBA
14. MAKETE
15. NEWALA
16. MTAMA
17. KIVUU
18. SUMBAWANGA
19. NZEGA KASKAZINI
20. NZEGA KUSINI
21. SENGEREMA
22. CHATO
23. LONGIDO
24...........
Mwana JF...
Taja MAJIMBO mengine yaliyopo CCM lakini ni maskini vibaya mno...
Comment hapa Chini.....
Mkuu hicho kibao kimeandikwa " Karibu mkoa wa Mara, Be Strong"Hajajua kuwa Mara ni mkoa wa kina Mura. Hawarembi. Watamfurumusha huko. Alipoingia Mara aliona kibao kimeandikwa "KARIBU MKOA WA MARA"???