Uchaguzi 2020 Magufuli kakosea sana kampeni zake mkoani Mara. Je, haujui mkoa ule au hapendi watu wake?

Jaman wa tz tunachagua Rais, Mbunge, Diwani, ombi wasibaguane Kwani hata tukisema tisibaguane huku Mambo hayato enda
 
Mimi nakwambia BUTIAMA ni CCM, lakini ni fukara sana
 
24. KONGWA
25. CHEMBA
26. MPWAPWA
27.MASASI
28.KALIUA
29. MANYOVU
30. KIGOMA KUSINI
31.....
 
Geita nayo ni maskini sana. Nilifika Bukombe kwa Dotto waziri wa madini. Pamechalala. Watu hoi..

Ni CCM
 
So anamaamisha upinzani si wa Nchi hii siyo???? But anyways I know a rock/stone never has brain nor mental.
 
Kauli za mgombea huyu ni za ubaguzi na uchochezi wa hali ya juu sana. Hata Rwanda walianza hivi kabla ya kutandikana.

Yaani unagoma kupeleka maendeleo sehemu flani kwa sababu walichagua upinzani? Vitu vingine ni bora kutokuvisema hadharani
 
Kauli za mgombea huyu ni za ubaguzi na uchochezi wa hali ya juu sana. Hata Rwanda walianza hivi kabla ya kutandikana.

Yaani unagoma kupeleka maendeleo sehemu flani kwa sababu walichagua upinzani? Vitu vingine ni bora kutokuvisema hadharani
Hana sera huyo mzee amechanganyikiwa.

Anataka kuhamisha tatizo lake kwa wapinzani kwamba hwakupata maendeleo kwa sababu ya wapinzani.

Ameishiwa huyo mzee
 
Kongwa , kisarawe... Biharamuro ..solwa..nkansi..kalambo...kwela.. Misungwi ..korogwe
 
Hajajua kuwa Mara ni mkoa wa kina Mura. Hawarembi. Watamfurumusha huko. Alipoingia Mara aliona kibao kimeandikwa "KARIBU MKOA WA MARA"???
Mkuu hicho kibao kimeandikwa " Karibu mkoa wa Mara, Be Strong"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…