Uchaguzi 2020 Magufuli kakosea sana kampeni zake mkoani Mara. Je, haujui mkoa ule au hapendi watu wake?

Jana nlikuepo kwenye mkutano wake hapa kiabakari kwa kweli alipuyanga tukawa tunamshangaa tu anatuambia sisi habari za ndege wakati anajua fika wilaya yabutiama hakuna hata uwanja wa ndege, shida ya Butiama sio ndege

Ina maana shida za Butiama hazujui?

Ndege zimetusaidia nn mpaka sasa..
 
Ndio anachomaanisha..

Wale waliopo majimbo ya upinzani, anawaadhibu..
 
Tukiwaambia Meko hafai kuongoza nchi hii hawatusikii, hizo kauli anazotoa zinatosha saana kumuangusha, lakini kwa sababu watz tu mazobongo ccm wanachekea tumboni, jamaa ni muongo na tapeli
 
Niko Rorya mbunge aliyemaliza muda wake ni wa ccm lakini wananchi ni masikini kuliko ninavyoweza kueleza. Rais wa ubaguzi hatufai. Aende kwa wasukuma ndio bado unaweza kuwadanganya ebu jiulizeni idadi kubwa ya mabarmaid kwa leo hii ni wasukuma. Ni kwa nini iwe hivi?
 
Hivi kule UTEGI ni Rorya?

Nilipita huko miaka ya 2000.
 
Hivi kule UTEGI ni Rorya?

Nilipita huko miaka ya 2000.
 
Mgombea wa aina hii hatufai wa Tanzania, Hayupo kujenga umoja wa watu bali kubomoa miaka yote CCM imekuwa madarakani waseme ni sehemu gani ndani ya hii nchi inakila kitu
Simple. Ipo Wilaya moja (jina kapuni) ina bustani za wanyama, taa za kuongoza magari, uwanja wa kimataifa wa ndege, barabara za lami, maji na umeme wa uhakika, mabenki n.k ambazo hata makao yake Makuu ya Mkoa hayana.
 
Si naona picha ya ndege pamechangamka?!

Au huko ndani ndani ni ovyo?
Mkuu hali ni tete sana kuna maeneo hata maji hakuna
Mlandiz ndio balaaa tupu
Wananzengo nao shida tupu asubuhi mpaka uchwao ni zogo tuu
 
Simple. Ipo Wilaya moja (jina kapuni) ina bustani za wanyama, taa za kuongoza magari, uwanja wa kimataifa wa ndege, barabara za lami, maji na umeme wa uhakika, mabenki n.k ambazo hata makao yake Makuu ya Mkoa hayana.
Unaongelea kule walikolazimisha kujenga Tawi la Benki ya crdb bila kufuata ushauri wa wataalamu wa kibenki ambao waliwahi kutoa tahadhari kwamba wanaona population haikidhi kufungua tawi hapo lakini wakalzimishwa kujenga tawi na mwisho wake likaja kuonekana halifanyi kazi kwa tija ??
 
Yawezekana. Halafu kwa kujipendekeza wakataka kujenga ofisi za kugombana na wala milungula wakati tayari ilikuwepo!
 
Ongeza na nyumbani kwako hauna choo familia nzima utapia mlo wewe na mkeo pia mna VVU pole sana
 
Ina maana Morogoro pamoja na kuwa na ardhi oevu sana, bado ni maskini?

Si wapo chini ya CCM miaka yote?
Morogoro ni miongoni mwa mikoa michache yenye maji mengi.
Kilimo kwenye maeneo mengi ya mkoa huo hawatumii mbolea maana wana ardhi nzuri sana, lakini kwa sababu ya siasa za ovyo maeneo kadhaa yamebaki masikini, ikiwemo jimbo hilo la Morogoro mashariki ambalo hivi karibuni CCM wamempitisha Hamis Shaaban Taletale kama mgombea wake wa ubunge.
Na bahati mbaya zaidi washindani wake wamefanyiwa figisu na hivyo amepitishwa bila kupingwa
 
Kwa mtizamo mwingine maendeleo yaliyotajwa kufanyika Ni kwa utashi na hisani ya mtu... Kumbe watz wote wanatakiwa kupewa maendeleo sawa kwa kuwa wote Ni walipa kodi...

Hizi siasa za chuki Ni hatari..
Rais wa awamu ya 5 hafai Msikitini wala Kanisani...Kajaa unafiki kujidai eti yeye ni "msemakweli" !!
 
Hao Nungunungu labda tupime Dna mhusika atajulikana. Yaliyotokea Bunda sikuyasikia nisije nikachuma dhambi kuyaongelea.
 
Huyo mzee hana hoja kabisa.anachokifanya ni kutapatapa.Yeye kama mwenye serikali hakutakiwa kupiga kampeni zakizamani hivyo.
 
tafsiri nyepesi ni kua Chama chote cha Mapinduzi kipumzike waje watu wasio na ubaguzi.Lakini hajifunzi kwa watangulizi wake waliofanya maendeleo popote bila kujali kuna mbunge wa chama gani.Huyu jamaa hakupaswa kua Rais.Bado nakumbuka ya Tabora wakati wa Uchaguzi wa Dr.Dalali Kafumu CCM walijichanganya wakampeleka kwenye kampeni akaenda kuharibu hadi ubunge wa Kafumu ukaingia mchanga kwa kauli zake za kibabe na kibaguzi bila kujua wengi wengi tusio registered member wa vyama tunahate sana kauli hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…