Uchaguzi 2020 Magufuli kakosea sana kampeni zake mkoani Mara. Je, haujui mkoa ule au hapendi watu wake?

Duuh, sehemu ilitakiwa iwe na utajiri kwa kilimo. Ila bado fukara..
 
24. KONGWA
25. CHEMBA
26. MPWAPWA
27.MASASI
28.KALIUA
29. MANYOVU
30. KIGOMA KUSINI
31.....
Morogoro...shenzy kbs hawa
Moro mjini Kuna baadhi ya sehem hakuna maji...yaan kutoka hapa had mjini ni 15min hakuna maji..akachambe kule
 
Ongeza na nyumbani kwako hauna choo familia nzima utapia mlo wewe na mkeo pia mna VVU pole sana
Mimi ni tajiri. Nina nyumba bora, mke mzuri, watoto wazuri.

Mimi natumia system za vyoo, sio choo.

Sina maukimwi kama huko CCM.

NAMSHUKURU MUNGU NINA AKILI ZANGU, SIO ZAKO ZA KUSHIKIWA.
 
Unadhani jamaa anajielewa? Mie nadhani Watanzania ndio wakupimwa akili, iweje tuna shindwa kumtambua mtu ambaye dish limecheza?
Watanzani sisi ni wajinga mno jamani..hatujielewi..sijui hii Damu ya nani
 
Mh. Zitto kumbe unafuatilia kampeni za Rais wetu mpendwa Magufuli? Asante sana pia usisahau kufuatilia Kampeni za Lissu na Membe naona zimedoda!
 
KISARAWE


Mimi ni mkazi wa huko, nakumbuka nimewahi kupigania eneo fulani liko jirani kabisa na kibaha mjini 0 kilometre linatenganishwa na mto tu, hilo eneo linawakazi wengi, liko karibu na waziri mkuu wa zamani wa nchi hii, halina maji, halina umeme, miundombinu duni.....


Imefika hatua kukawa na ule umeme wa Rea ukapita na ukaliacha eneo kimya hivyo hivyo, watu wananunua solar panels ili waweza kujipatia umeme very sad, na nguzo za umeme ziko zero kilometre zimepita kwa muheshimiwa waziri mkuu wa zamani......


Jafo na wenzio mmegeuza siasa tu kulifikia eneo hilo


Useless kabisa
 
Tatizo mbunge wao anapinga kila kitu bungeni..wao waendelee tu kubaki na mbunge.. na kura zao magu hazihitaji..hii ni win win situation.
 
Haya yapo sehemu nyingi.

Butiama kuna vijiji wameambiwa hawapitishiwi umeme wa REA, eti nyumba zipo mbalimbali.

Hadi zikaribiane. Hahaha 😂

Yani Ma CCM ni malaghai hatari
 


Aisee Kuna Kero hapa nchini had hasira ..Ila shida iko kqetu
 
Aisee Kuna Kero hapa nchini had hasira ..Ila shida iko kqetu
Hivi unajua mimi kwenda kwa waziri mkuu wa zamani wa nchi hii ni 5minutes? Kila kitu kipo kwake ila wananchi majirani hakuna kitu......

Nikabahatika kuwa Rais nchi hii nilishaapaga, waliowahi kuwa viongozi nchi hii na familia zao watakuwa masikini wakutupa duniani hakuna......


Waendelee kusali nisiingie kwenye siasa
 
Amesema ukweli sasa ulutaka akudanganye?
Shida hapa sio ukweli
Shida ni chuki, ubaguzi, visasi na ukomavu wa kisiasa wa huyu mwenyekiti wenu

Anajua kwamba pesa ya barabara na maji hatoi mfukoni mwake na sio za ccm ni kodi za wananchi wa Bunda, Tarime, Rombo,Moshi, Arusha,Tunduma,Mbeya,Tunduru, Kongwa, Nachingwea nk

Maji na barabara ni haki yao kwa mujibu wa sheria na wananchi wamewachagua wakasimamie matakwa yao(wananchi) na sio matumbo yao,ubinafsi wao chuki sao na ubaguzi wa kipumbavu..!!
 
Kauli za mgombea huyu ni za ubaguzi na uchochezi wa hali ya juu sana. Hata Rwanda walianza hivi kabla ya kutandikana.

Yaani unagoma kupeleka maendeleo sehemu flani kwa sababu walichagua upinzani? Vitu vingine ni bora kutokuvisema hadharani
Acha bangi uchochezi au ukweli, ulitaka wapakwe mafuta kwa mgongo wa chupa.Hakuna kubembeleza kwanza wana bunda na Mara wamulewa sana Magu na watampa kura nyingi tu. Wewe endelea kushadadia ubaguzi wako
 
Huyo wazuri ndo yule mwenye maskio..? Hivi Hawa wanatuonaje Hawa?
 
Acha bangi uchochezi au ukweli, ulitaka wapakwe mafuta kwa mgongo wa chupa.Hakuna kubembeleza kwanza wana bunda na Mara wamulewa sana Magu na watampa kura nyingi tu. Wewe endelea kushadadia ubaguzi wako
Huwajui Wana Mara wewe. Wale huwa siamini Kama ni watz...nasema huwajui shut-up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…