- Thread starter
- #201
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkoa wa Mbeya wilaya ya Chunya mkuu.LUPA...
Ipo mkoa gani mkuu?
HAISalaam wana JF...
Jana tarehe 04.09.2020 nikiwa nimetulia sehemu nilibahatika kufungulia TBC1 na kukuta kampeni za Dkt. Magufuli akiwa mkoani Mara.
Muda wa alasiri, alikuwa Bunda, badae akapita na kusimama Kiabakari, ni eneo la mnada wilayani Butiama.
Leo najua atakuwa na mkutano Musoma mjini.
Mambo niliyoshangaa kwa Dkt. Magufuli:-
1. Aliwaambia wananchi wa Bunda kwamba hakuwafanyia maendeleo yoyote, kwa sababu wao walichagua upinzani.
-Akawauliza "nyinyi hamjiulizi mko karibu na Ziwa lakini hamna maji?"
-Akawauliza "hamuoni wenzenu Lamadi (mpakani mwa Bunda, jimbo Busega) wana taa za barabarani, nyie hamna?!"
- Akawaambia, hata barabara nimeendeleza zinazowazunguka hapa nikawaruka.
Mwisho akaishia kuwaambia mnichagulie mbunge wa CCM, na madiwani wa CCM.
Nilishangaa hakueleza zaidi atawafanyia nn, ila aliwaahidi kuwa mkinichagulia mbunge wa CCM nitakuja kuwashukuru, na siku hiyo ndio ntakuja na mipango yote kuibadilisha Bunda.
Akawasisitiza wasichague maupinzani tena.
ETI HAWEZI KUACHA MTOTO WAKE, AKAMHUDUMIA WA JIRANI.
Nampa pole Dkt. Magufuli kwa haya na timu yake ya kampeni.
Inaelekea hajui vizuri watu wa Mara (hasa eneo la Bunda).
-Moja, sio watu wa kutishiwa vitu kabisa. Pole Dkt. Magufuli
Kwa hili, Bunda umepoteza.
Wale wamezoea kuishi na upinzani tangu Nyerere akiwa hai.
Unamtishia mwana Bunda (Mwikizu, Msizaki, Mzanaki, Mkurya, n.k) vitu?!!!! Eti ndio akuchague?
UME FAIL....
Hawakuchagui, watasema baki na taa zako za barabarani.
Wale ni kina LadyJaydee hawatishwi na hawapigi magoti.
Sijui huko usukumani labda wanapiga magoti.
- Mbili,
Ni uongo mkubwa kwamba Bunda haina maendeleo kisa kuwa upinzani.
Nikuulize leo upo Musoma mjini, ambayo ipo CCM awamu hii yako ya kwanza;
Mbona Musoma mjini imefubaa kuliko Bunda?, mji umepotea na biashara haziendi mpaka watu wameukimbia?! Mbona huko yupo mbunge wa CCM?
Haya BUTIAMA je?
Mbona siku zote wapo CCM. Tena wanapitaga bila kupingwa. Mbona BUTIAMA imechoka sana.
- BUTIAMA haina maji, lakini ipo CCM.
Mbunge CCM, Madiwani CCM.
- BUTIAMA kampuni yako ya Mayanga imeshindwa kujenga Barabara ya Butiama - Serengeti, na hela walilipwa, Mradi wa kumalizika 2015, mpaka leo umekufa.
Mbunge CCM, Madiwani CCM.
- BUTIAMA haina hospital ya maana, Haina sekondari ya maana, Haina soko la maana.
Mbunge CCM, Madiwani CCM.
ACHA HADAA, HAKUNA CHA CCM.
-HALAFU UNAJIITA KABISA RAIS WA MAENEO YA CCM TU.!!
2. AKIWA KIABAKARI.
Akiwa hapa alisema tatizo kubwa la Jimbo la BUTIAMA, ni ukabila.
Aisee you're very WRONG.
Butiama haina ukabila kabisa.
Ndio maana hata ulivyosema hivyo niliona kila mtu ananyamaza.
Sijui ulimaanishi nini. Ila umedanganywa pakubwa, matatizo ya BUTIAMA ni mengine kabisa.
Nakuhurumia sana.
Halafu mu MSHAURI JPM AACHE KUTISHA WAPIGA KURA kwamba hatawafanyia maendeleo kwa vile wanachagua upinzani.
Ni uongo mkubwa...
Haya ni majimbo ambayo yapo CCM, lakini ni maskini vibaya sana..
1. BUTIAMA
2. BUKOMBE
3. BUSEGA
4. MANYONI
5. MUSOMA VIJIJINI
6. KIBITI
7. RUFIJI
8. MKURANGA
9. MVOMERO
10. UKONGA
11. KAKONKO
12. MAGU
13. IRAMBA
14. MAKETE
15. NEWALA
16. MTAMA
17. KIVUU
18. SUMBAWANGA
19. NZEGA KASKAZINI
20. NZEGA KUSINI
21. SENGEREMA
22. CHATO
23. LONGIDO
24...........
Mwana JF...
Taja MAJIMBO mengine yaliyopo CCM lakini ni maskini vibaya mno...
Comment hapa Chini.....
Watendee mema watu wote lakini hasan wale wa nyumba ya Imani, wagalatia 6.10
..Aiseee dahh ts just shocking kusikia hizi kauli.,
Maendeleo yana vyama kwani jmn?.au wa vyama vingine kodi hawalipi .?nimejiskia vibaya kusikia haya
Huyo DED aliyepo Butiama humjui vizuri. Ebu nenda Ukerewe alipokuwa Katibu Tarafa ukapate habari zake ndio utajua kwanini alipewa ukurugenzi.Wiki juzi nilipita Butiama kwa kweli hauwezi amini kwamba ndiyo nyumbani kwa mhasisi wa Tanzania. Tatizo lingine kwa Butiama (limethibitishwa na wenyeji bila shaka yoyote) ni kwamba mkurugenzi wa halmashauri ya Butiama kashatengeneza makundi miongoni mwa watumishi hivyo kupelekea kazi kutofanyika. Kiufupi nilichongundua halmashauri ya Butiama ilishakufa.
.....
Ili kunusuru hizi kampeni lazima awarudishe kina Mzee Makamba na Kinana, Jakaya and Co wazunguke naye.
Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
24. KONGWA
25. CHEMBA
26. MPWAPWA
27.MASASI
28.KALIUA
29. MANYOVU
30. KIGOMA KUSINI
31.....
Mungu akubariki sana mkuu CWR2016.Salaam wana JF...
Jana tarehe 04.09.2020 nikiwa nimetulia sehemu nilibahatika kufungulia TBC1 na kukuta kampeni za Dkt. Magufuli akiwa mkoani Mara.
Muda wa alasiri, alikuwa Bunda, badae akapita na kusimama Kiabakari, ni eneo la mnada wilayani Butiama.
Leo najua atakuwa na mkutano Musoma mjini.
Mambo niliyoshangaa kwa Dkt. Magufuli:-
1. Aliwaambia wananchi wa Bunda kwamba hakuwafanyia maendeleo yoyote, kwa sababu wao walichagua upinzani.
-Akawauliza "nyinyi hamjiulizi mko karibu na Ziwa lakini hamna maji?"
-Akawauliza "hamuoni wenzenu Lamadi (mpakani mwa Bunda, jimbo Busega) wana taa za barabarani, nyie hamna?!"
- Akawaambia, hata barabara nimeendeleza zinazowazunguka hapa nikawaruka.
Mwisho akaishia kuwaambia mnichagulie mbunge wa CCM, na madiwani wa CCM.
Nilishangaa hakueleza zaidi atawafanyia nn, ila aliwaahidi kuwa mkinichagulia mbunge wa CCM nitakuja kuwashukuru, na siku hiyo ndio ntakuja na mipango yote kuibadilisha Bunda.
Akawasisitiza wasichague maupinzani tena.
ETI HAWEZI KUACHA MTOTO WAKE, AKAMHUDUMIA WA JIRANI.
Nampa pole Dkt. Magufuli kwa haya na timu yake ya kampeni.
Inaelekea hajui vizuri watu wa Mara (hasa eneo la Bunda).
-Moja, sio watu wa kutishiwa vitu kabisa. Pole Dkt. Magufuli
Kwa hili, Bunda umepoteza.
Wale wamezoea kuishi na upinzani tangu Nyerere akiwa hai.
Unamtishia mwana Bunda (Mwikizu, Msizaki, Mzanaki, Mkurya, n.k) vitu?!!!! Eti ndio akuchague?
UME FAIL....
Hawakuchagui, watasema baki na taa zako za barabarani.
Wale ni kina LadyJaydee hawatishwi na hawapigi magoti.
Sijui huko usukumani labda wanapiga magoti.
- Mbili,
Ni uongo mkubwa kwamba Bunda haina maendeleo kisa kuwa upinzani.
Nikuulize leo upo Musoma mjini, ambayo ipo CCM awamu hii yako ya kwanza;
Mbona Musoma mjini imefubaa kuliko Bunda?, mji umepotea na biashara haziendi mpaka watu wameukimbia?! Mbona huko yupo mbunge wa CCM?
Haya BUTIAMA je?
Mbona siku zote wapo CCM. Tena wanapitaga bila kupingwa. Mbona BUTIAMA imechoka sana.
- BUTIAMA haina maji, lakini ipo CCM.
Mbunge CCM, Madiwani CCM.
- BUTIAMA kampuni yako ya Mayanga imeshindwa kujenga Barabara ya Butiama - Serengeti, na hela walilipwa, Mradi wa kumalizika 2015, mpaka leo umekufa.
Mbunge CCM, Madiwani CCM.
- BUTIAMA haina hospital ya maana, Haina sekondari ya maana, Haina soko la maana.
Mbunge CCM, Madiwani CCM.
ACHA HADAA, HAKUNA CHA CCM.
-HALAFU UNAJIITA KABISA RAIS WA MAENEO YA CCM TU.!!
2. AKIWA KIABAKARI.
Akiwa hapa alisema tatizo kubwa la Jimbo la BUTIAMA, ni ukabila.
Aisee you're very WRONG.
Butiama haina ukabila kabisa.
Ndio maana hata ulivyosema hivyo niliona kila mtu ananyamaza.
Sijui ulimaanishi nini. Ila umedanganywa pakubwa, matatizo ya BUTIAMA ni mengine kabisa.
Nakuhurumia sana.
Halafu mu MSHAURI JPM AACHE KUTISHA WAPIGA KURA kwamba hatawafanyia maendeleo kwa vile wanachagua upinzani.
Ni uongo mkubwa...
Haya ni majimbo ambayo yapo CCM, lakini ni maskini vibaya sana..
1. BUTIAMA
2. BUKOMBE
3. BUSEGA
4. MANYONI
5. MUSOMA VIJIJINI
6. KIBITI
7. RUFIJI
8. MKURANGA
9. MVOMERO
10. UKONGA
11. KAKONKO
12. MAGU
13. IRAMBA
14. MAKETE
15. NEWALA
16. MTAMA
17. KIVUU
18. SUMBAWANGA
19. NZEGA KASKAZINI
20. NZEGA KUSINI
21. SENGEREMA
22. CHATO
23. LONGIDO
24...........
Mwana JF...
Taja MAJIMBO mengine yaliyopo CCM lakini ni maskini vibaya mno...
Comment hapa Chini.....
Kwani umewahi kuamini maneno ya huyu mtu?Halafu anasema maendeleo hayana vyama! Sasa tumueleweje?
Haijui Dar..Dsm yote nimetembea.
Ukonga ndio jimbo lililofubaa hatari.
Nenda Majohe, Mwanagati, Kipunguni, huko bombambili, n.k
Hakuna barabara, kuna njia za ng'ombe..
Umeme wengi hawana, walionao unatoka kisarawe.
Maji ya Dawasco hayajafika.
Wanachimba visima, wanaoga na kunywa ya chumvi.
Nimeishi huko najua..
Wenje atamfurahisha.. Leo mpaka amejaa mdomoni mwa MagufuliJimbo la Rorya nalo maendeleo ni zero
UTOPO HUUHajajua kuwa Mara ni mkoa wa kina Mura. Hawarembi. Watamfurumusha huko. Alipoingia Mara aliona kibao kimeandikwa "KARIBU MKOA WA MARA"???
magufuli ni jeshi la mtu mmoja, hakuna kitu hasichoweza kukifanya.ile team kampeni mwaka huu imeenda wapi? au wamemtenga mkuu mwaka huu