Magufuli lala salama!

Magufuli lala salama!

Tulikuzoea tuu kuwa unatuambiga tuu ukweli licha kwamba ulikuwa unatuumizaga sana ukweli huo

Ulisemaga mengi, naomba nikunukuu maneno machache hapa

"Mfanyakazi anayeona mshahara hautoshi, aache kazi, kwani nje kuna wahitimu kibao hawana kazi. Wafanyakazi nawaomba tuchape kazi, ili miradi yetu ikianza kutapika, tutaongeza mishahara"

Na hatimaye miaka yako yote ikaisha bila kuongeza mishahara, Ila maisha yalikuwa chini, mfumko wa bei ulikuwa chini

Leo tumeongezwa mishahara bhana! Utadhani hatujaongezwa tuu! Hatujawahi kuridhika,

Wewe bhana JPM, ulale salama, ulituambia ukweli bila kupekecha macho!
Kama vipi acha kazi kama unaona maisha magumu
 
Unyonge unaendana na umaskini na roho mbaya. Leo Kuna watu wameamka na furaha! Kisa? Ongezeko sio asilimia 23% kwa kila mtumishi.
Pushgang, Mama ni jasiri na amejitahidi. Sie tunashukuru. Mwendazake hakuwahi kujaribu kuongeza mishahara Wala ajira miaka sita! Fikiria kama angejaribu hata alichofanya Mama kwa kila mwaka kwa kipindi Cha miaka sita (55000x6=330000) sasa hivi tungekuwa mbali.

Hamkusema neno.
Ww ni mjinga Magufuli alipunguza kodi kwenye mishahara kwa asilimia kubwa. Na hakukuwa na mfumuko wa bei kipindi chake lkn mtu mwenye akili fupi kama ww huwezi elewa
 
Braza' hata ajira huna, alafu ukaaminishwa ule uongo ' Magufuli awajaza mapesa wafanyakazi' ile payee aliyopunguza kwa kima cha chini kwa asilimia 2% mwaka 2016 effect yake kwenye mshahara haikuzidi hata sh. 10,000. Samia alipunguza asilimia 1% mwaka 2021 kwa kima cha chini na na mwaka huu akaongeza asilimia 23% kwenye mishahara yao (Ni kama amefuta Kodi yote ya kima Cha chini (8%) na kuwaongezea fedha katika mishahara yao (15%)

Labda nikufafanulie

Katika ngazi na viwango vya mishahara serikalini mwenye kima na kiwango cha chini kabisa cha mshahara ni yule mwenye kiwango cha TGOS-A na TGTS-A

JAKAYA 2015
TGOS-A
Mshahara 300,000
Kodi(Payee 11%) Tsh. 33,000/=

TGTS-A
Mshahara 310,000
Kodi (Payee 11%) Tsh.34,100/=

MAGUFULI 2016/2021
TGOS-A
Mshahara 300,000
Kodi (Payee 9%) Tsh. 27,000
Nafuu ya Kodi: Tsh.6,000
Ongezeko: 00

TGTS-A
Mshahara 310,000
Kodi (Payee 9%) Tsh.27,900/=
Nafuu ya Kodi: Tsh.6,200
Ongezeko: 00

MAMA SAMIA 2021/2022
TGOS-A
Mshahara 300,000
Kodi (Payee 8%) Tsh. 24,000
Nafuu ya Kodi: Tsh.3,000
Ongezeko: 00

TGTS-A
Mshahara 310,000
Kodi (Payee 8%) Tsh.24,800/=
Nafuu ya Kodi: Tsh.4,900
Ongezeko: 00

MAMA SAMIA 2022/2023
TGOS-A
Mshahara 370,000
Kodi (Payee 8%) Tsh. 29,600
Nafuu ya Kodi:
Ongezeko: 70,000

TGTS-A
Mshahara 380,000
Kodi (Payee 8%) Tsh.30,400/=
Nafuu ya Kodi:
Ongezeko: 70,000

Sasa sijui mimi na wewe nani mjinga! Labda kwa kuwa wewe ulidanganywa. Soma hapa https://nuktaafrica.co.tz/contact-us/
 
Tulikuzoea tuu kuwa unatuambiga tuu ukweli licha kwamba ulikuwa unatuumizaga sana ukweli huo

Ulisemaga mengi, naomba nikunukuu maneno machache hapa

"Mfanyakazi anayeona mshahara hautoshi, aache kazi, kwani nje kuna wahitimu kibao hawana kazi. Wafanyakazi nawaomba tuchape kazi, ili miradi yetu ikianza kutapika, tutaongeza mishahara"

Na hatimaye miaka yako yote ikaisha bila kuongeza mishahara, Ila maisha yalikuwa chini, mfumko wa bei ulikuwa chini

Leo tumeongezwa mishahara bhana! Utadhani hatujaongezwa tuu! Hatujawahi kuridhika,

Wewe bhana JPM, ulale salama, ulituambia ukweli bila kupekecha macho!
HATA AKIAMKA
 
Naona kwenye mjadala huu wanakwambia "wewe ni mjinga"..nimejizuia kuamini hivyo kuwa u mjinga, ila kadri navyozidi kusoma unachoandika nasadiki hayo wanayokwambia
 
Inawezekana mko sahihi kabisa kwa kuwa kumuwelesha mjinga aliyefunga akili ni kazi! Unahitaji ujivike ujinga wake!

Anyway nitajaribu niwape details/data (samahani nimetumia neno la Kiingereza, Kiswahili chake kimenitoka)

Labda nikufafanulie

Katika ngazi na viwango vya mishahara serikalini mwenye kima na kiwango cha chini kabisa cha mshahara ni yule mwenye kiwango cha TGOS-A na TGTS-A

JAKAYA 2015
TGOS-A
Mshahara 300,000
Kodi(Payee 11%) Tsh. 33,000/=

TGTS-A
Mshahara 310,000
Kodi (Payee 11%) Tsh.34,100/=

MAGUFULI 2016/2021
TGOS-A
Mshahara 300,000
Kodi (Payee 9%) Tsh. 27,000
Nafuu ya Kodi: Tsh.6,000
Ongezeko: 00

TGTS-A
Mshahara 310,000
Kodi (Payee 9%) Tsh.27,900/=
Nafuu ya Kodi: Tsh.6,200
Ongezeko: 00

MAMA SAMIA 2021/2022
TGOS-A
Mshahara 300,000
Kodi (Payee 8%) Tsh. 24,000
Nafuu ya Kodi: Tsh.3,000
Ongezeko: 00

TGTS-A
Mshahara 310,000
Kodi (Payee 8%) Tsh.24,800/=
Nafuu ya Kodi: Tsh.4,900
Ongezeko: 00

MAMA SAMIA 2022/2023
TGOS-A
Mshahara 370,000
Kodi (Payee 8%) Tsh. 29,600
Nafuu ya Kodi:
Ongezeko: 70,000

TGTS-A
Mshahara 380,000
Kodi (Payee 8%) Tsh.30,400/=
Nafuu ya Kodi:
Ongezeko: 70,000
 
Braza' hata ajira huna, alafu ukaaminishwa ule uongo ' Magufuli awajaza mapesa wafanyakazi' ile payee aliyopunguza kwa kima cha chini kwa asilimia 2% mwaka 2016 effect yake kwenye mshahara haikuzidi hata sh. 10,000. Samia alipunguza asilimia 1% mwaka 2021 kwa kima cha chini na na mwaka huu akaongeza asilimia 23% kwenye mishahara yao (Ni kama amefuta Kodi yote ya kima Cha chini (8%) na kuwaongezea fedha katika mishahara yao (15%)

Labda nikufafanulie

Katika ngazi na viwango vya mishahara serikalini mwenye kima na kiwango cha chini kabisa cha mshahara ni yule mwenye kiwango cha TGOS-A na TGTS-A

JAKAYA 2015
TGOS-A
Mshahara 300,000
Kodi(Payee 11%) Tsh. 33,000/=

TGTS-A
Mshahara 310,000
Kodi (Payee 11%) Tsh.34,100/=

MAGUFULI 2016/2021
TGOS-A
Mshahara 300,000
Kodi (Payee 9%) Tsh. 27,000
Nafuu ya Kodi: Tsh.6,000
Ongezeko: 00

TGTS-A
Mshahara 310,000
Kodi (Payee 9%) Tsh.27,900/=
Nafuu ya Kodi: Tsh.6,200
Ongezeko: 00

MAMA SAMIA 2021/2022
TGOS-A
Mshahara 300,000
Kodi (Payee 8%) Tsh. 24,000
Nafuu ya Kodi: Tsh.3,000
Ongezeko: 00

TGTS-A
Mshahara 310,000
Kodi (Payee 8%) Tsh.24,800/=
Nafuu ya Kodi: Tsh.4,900
Ongezeko: 00

MAMA SAMIA 2022/2023
TGOS-A
Mshahara 370,000
Kodi (Payee 8%) Tsh. 29,600
Nafuu ya Kodi:
Ongezeko: 70,000

TGTS-A
Mshahara 380,000
Kodi (Payee 8%) Tsh.30,400/=
Nafuu ya Kodi:a
Ongezeko: 70,000

Sasa sijui mimi na wewe nani mjinga! Labda kwa kuwa wewe ulidanganywa. Soma hapa https://nuktaafrica.co.tz/contact-us/
We ni mpuuzi, hilo ongezeko linafaa nini kama Makato ya simu ni mara 2, unalipa 18% VAT na Tozo ambayo ni zaidi ya kiwango cha VAT. Jambo ambalo halikuwepo kabla ya Miss Utalii.

Ongezeko linafaa nini kama mfuko wa mbolea uliokuwa unauzwa 52,OOO kwa sasa unauzwa 1OO,OOO+?

Ongezeko lafaa nini iwapo bei ya mafuta ya gari yameongezeka kwa 5O% toka bei aliotuachia Magufuli?

Bei za vyakula na nafaka huoni, au sababu unakula kwa wazazi wako.
 
'Mwerevu' kuhusu tozo, kila uamuzi una manufaa na maumivu. Maumivu ya tozo wote yanatugusa so as the benefits!

Mafuta na mbolea kupanda na kushuka bei, sababu ni zilezile! Vurugu za Dunia! Yalishuka kwa sababu yalikosa soko, Dunia ilikuwa imefungiwa (lockdown) na covid1-9. Sote tulinufaika! Kanuni inayoongoza soko inasema, mahitaji yanapopungua bei inashuka,mahitaji yakiongezeka bei inapanda. Mzlishaji namba tatu yuko vitani,wenzake wamemuwekea vikwazo. Wazalishaji wachache na watumiaji ni wengi. Kumbuka pia Russia ndiye mzalishaji mbolea.

I thought you were wise enough to know this!
 
Tulikuzoea tuu kuwa unatuambiga tuu ukweli licha kwamba ulikuwa unatuumizaga sana ukweli huo

Ulisemaga mengi, naomba nikunukuu maneno machache hapa

"Mfanyakazi anayeona mshahara hautoshi, aache kazi, kwani nje kuna wahitimu kibao hawana kazi. Wafanyakazi nawaomba tuchape kazi, ili miradi yetu ikianza kutapika, tutaongeza mishahara"

Na hatimaye miaka yako yote ikaisha bila kuongeza mishahara, Ila maisha yalikuwa chini, mfumko wa bei ulikuwa chini

Leo tumeongezwa mishahara bhana! Utadhani hatujaongezwa tuu! Hatujawahi kuridhika,

Wewe bhana JPM, ulale salama, ulituambia ukweli bila kupekecha macho!
Heri yako wewe unayeweza kuongea wafu.
 
Mungu alituletea lulu tukaambiwa ni takataoa nasi tukakubali tukaipiga mateke sasa hatunayo tunaikumbuka

Lala salama Magufuli Mungu akuepushe na adhabu ya kaburi Amen!
Ameeen
 
We ni mpuuzi, hilo ongezeko linafaa nini kama Makato ya simu ni mara 2, unalipa 18% VAT na Tozo ambayo ni zaidi ya kiwango cha VAT. Jambo ambalo halikuwepo kabla ya Miss Utalii.

Ongezeko linafaa nini kama mfuko wa mbolea uliokuwa unauzwa 52,OOO kwa sasa unauzwa 1OO,OOO+?

Ongezeko lafaa nini iwapo bei ya mafuta ya gari yameongezeka kwa 5O% toka bei aliotuachia Magufuli?

Bei za vyakula na nafaka huoni, au sababu unakula kwa wazazi wako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tangu nikufahamu hapa JF, ndo leo naona umekasirika, najuaga wee ni Mr smile tyuuh.

Duuuh
 
Kwa kipindi hiki cha uchumi wote wa dunia,
Tutajieni nchi ambayo hakujatokea mfumuko wa wa bei na kupanda kwa gharama za maisha?????
Mbona hata kwa mabeberu watu wanalia, lakini hawalaumu serikali zao, ije kuwa kiinchi kinachotemegemea misaada ya 40% ya bajeti ya nchi????
Acheni kulialia, kama vipi acha kazi , wahitimu wako wengi mtaani watazijaza hizo nafasi...
Mafuta na Ngano ndio uchumi wa dunia nzima
Endeleeni kumshangilia Putini aendelee kuwachape Ukraini ili mfumuko uongezeke zaidi....
.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tangu nikufahamu hapa JF, ndo leo naona umekasirika, najuaga wee ni Mr smile tyuuh.

Duuuh
Kuna muda flani nakereka na watu wanaojizima data kama huyo kibwengo. Yani sawa na mtu akukanyage na tairi ya gari kisha awe ana smile kana kwamba ana ku massage kumbe anakuumiza vidole vya mguuni.
 
Back
Top Bottom