Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
aisee English ya mzee lowasa ipo vizuri, tatizo C wtz wengi elimu yeboyebo ndo maana ktk clip hawakumuelewa el ,nimesikiliza na mzee kimataifa hawezi kutuhaibisha,labda mambo mengine lakini C la lugha
Lowassa kuna interview na TV ya Kenya kasema "our people are more poorer"
Nikasema duuh.