Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,374
- 6,857
Kama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.
Kama hiyo ndo focus ya Chama na Mnamwamini Mama katika Ubora wake, basi mwambieni Zitto atulize mzuka, endeleeni kumpa nafasi huyo Mghirwa hata asipopata mwaka huu aendelee kujifua mwaka 2020 tukiwa wazima apeperushe bendera ya ACT..., Zitto aache kabisa uroho kusema atagombea urais 2020(AZAMTV) while you have a good president material Mghirwa