Elections 2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

Elections 2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

Bado kiingereza sio priority at all. Tutaangalia vigezo vingine ila sio yai

Kwa sababu ni tatizo la taifa.

Sasa hivi hata ukitaka rais anayejua kiingereza cha yai kati ya hao wawili ulionao huna.

Lowassa anasema "our people are more poorer", Magufuli anaongea kiingereza cha Malampaka.

Kwa hiyo hata kiingereza kingekuwa priority, huna uchaguzi, kwa sababu ni tatizo la kitaifa.

Kuanzia presidential candidates mpaka housegirls.

Na utabeza umuhimu wa kiingwreza mpaka hapo rais wako atakapoenda Davos na mkalimani na kupoteza deals jwa kuwa kitu kimekuwa lost in translation.

Au kufanya gaffe itakayotufanya tuwe laughingstock of the world.
 
Tatizo lingine kubwa Makufuli hata kiswahil hakiwezi vizuri.Hajui tofauti ya R na L
raha=laha
a stick kisukuma na apewe mkalimani
 
mwaka huu tusidanganyane si ukawa si ccm kati ya hivyo vyama viwili hakuna mgombea maridadi kwenye kuzungumza hayupo? Ikifikia hatua watu wanapiga pish up ili hali watu maelfu wamejumuika wawasikie watawafanyia nini basi ujue kuna walakini huku ukawa nako wetu hawezi zungumza hata kwa nusu saa na anatafuna maneno si mchezo kwenye suala la kujieleza wote hawapo sawa kabisa

God bless you mkuu kwa kuwa mkweli
 
Mkuu, kwani huwa "wanafikiri" Kwa kutumia lugha Gani? Kama kwenye kufikiri wanatumia kiingereza basis tuna tatizo kubwa. Ila kama ni Kwa kiswahili sioni tatizo.
Duh hapa kweli ipo shida,kufikiri kwa kingereza halafu unaongea kiswahili !!
 
Yeye MforChange hajachukua Phd ya lugha. Kabobea kwenye kemia. Upo hapo mtu wangu. Magufuli ushindi lazima by hooks and crooks. Mbinu za kisayansi ziko ccm.
 
Kuna mgombea mmoja kiswahili hajui kingereza hajui,tabu tupu.
 
Kama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.

Weledi unaupimaje haswa?profesa usiwe mshabiki!!
 
Hahahahahahahahahahahahhahahahahhahahahahhahhaahhahahahahahahahhahahahhahahahahhahahhhahaahahhahahahhahahahahahahahahahahhahahahhahhahahahhahahhahhahahhahahahahahahahahhahahahahahhahahah
 
Makomeo hizi PHD za kupeana hiziii...mtu kwanza form three alifukuzwa seminari..
 
Kama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.

Profesa with all due respect....nyie ndio wa kulaumiwa! I can bet huyo magufuli hawezi kupata phD popote pale duniani kwa ung'eng'e huo isipokuwa phD ya UDSM tu!

So, tuseme wasomi wetu tunaowaamini wanauza hadi phD ?????? Maana tayari mtaani kwetu kuna kamsemo tunasemaga degree za vyupi!

Sina tatizo na lugha, ila nina tatizo na lugha kwa ulinganisho wa elimu kubwa aliyonayo! phD!!!!!!
 
Kuna mgombea mmoja kiswahili hajui kingereza hajui,tabu tupu.

Jamani sasa huo mdahalo ambao wanajidai walipeleka barua ya kuthibitisha kushiriki mgombea wao angetumia lugha gani??
 
Back
Top Bottom