Elections 2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

Elections 2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

Kama kawaida yetu, kujua au kutojua kitu kunahusianishwa na uwezo wa mtu kulonga kidhungu. Kidhungu chake kinatosha sana.

Kizungu au kisubi na hyo PhD aliipataje so shame shame kabisa english ni official language na international language.
 


Imenishangaza sana, sijui ile sera namba moja ya ccm kuombaomba kwa wazungu ataitekeleza vipi kama akichaguliwa kuwa rais. sijui atakuwa anaomba kwa kiswahili au atakuwa anatembea na mkalimani kwa kazi maalumu ya kuombaomba

kipau mbele ELIMU,ELIMU,ELIMU.
 
Last edited by a moderator:
Hivi kuongea kiingereza ndio qualification za kuwa Rais? Ndio maana wachina na wale jamaa wa far east wanatuacha hapa tulipo. Tuendelee kulingia uwezo wetu wa kuongea kiingereza

Safi sana naona mmeanza kutoa udhuru. Aah! jamaa yenu majanga kweli kweli.
 
Kumbe nimeelewa kwanini pamoja nakushika nyadhifa mbalimbali serikalini, ameenda nje yanchi mala4 tu.

Mwanzo Ccm waliitumia kama bonge lasifa ila Mungu si Athumani ukweli umejulikana. Alikuwa anaogopa akienda huko nchi zawatu ataongea ligha gani wkt English 0.

Ee Mungu tuepushie hili janga. Maana nchi itauzwa nawajanja wa Lugha. Rais atakua hajui kinachoendelea huku taifa linaangamia.
 
Kizungu au kisubi na hyo PhD aliipataje so shame shame kabisa english ni official language na international language.

Gosh...! Hakuna cha kuonea aibu hapo, angalau mimi sikioni. English ni "second" official language na wala sio lazima mtu uiongee. Swahili ni official language na hata huko AU SUMMITS kinatumika, UN SUMMITS kinatumika, cha zaidi hapo mnahitaji nini.

After all, Magufuli hajasomea political science ama lugha...huyu ni mkemia, lugha haihusiki hapo. Au unadhani desertations zote lazima ukibonge hadi malekchara watikise vichwa...labda nyie mliosomea lugha..
 
Tunamtaka Magufuri kwenye mdahalo wa wagombea Urais utakaofanyika kwa Umombo.

Ukute sasa huo umombo unaotaka aongee wala huuelewi...

Tunataka watanzania milioni 23 wenye kadi za kupigia kura waelewe sera, umombo wako peleka kwa waingereza.
 
kumbe hajui kabisa kiingereza!. Nimeshangaa aliwasilisha vipi reseach zake? Ninaona harufu ya karibu ya degree za mizani aka bao la mkono.

kumbe jasiri haachi asili!. Ccm ni ccm tu wamezoea vya kunyonga!

Du, kweli sikuwah kufikiria. Kumbe ccm walianza zamani kuchakachua!.
we ------ tu unawasilishaje research yake na kiswahili kuwa makini huenda wewe umeishia form four kaa kimya tu maana hauna lololte
 
Kumbe hajui kabisa kiingereza!. Nimeshangaa aliwasilisha vipi reseach zake? Ninaona harufu ya karibu ya degree za mizani aka bao la mkono.

Kumbe jasiri haachi asili!. Ccm ni ccm tu wamezoea vya kunyonga!

Du, kweli sikuwah kufikiria. Kumbe ccm walianza zamani kuchakachua!.
Hahaaa. Wana dhani bado tupo kwenye zama za magome.
 
Tuache porojo.dunia ya sasa kiingereza hakikwepeki. yaani ni muhimu kuliko unavyofikiria
Sawa, lakini kufikiria eti kukijua kiingereza ndio sifa ya kuwa kiongozi wa nchi ni akili ya kitumwa sana. Haya mawazo yanapatikana sana katika nchi zilizotawaliwa na waingereza. Hiyo tunaiita kasumba ya kikoloni. Ni aibu kubwa kwa mwafrika wa leo kuendelea kuwa na mawazo ya kitumwa kwa kiwango hiki. Hebu msikilize Ban Ki Moon (katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa). Unataka kuniambia huyo hafai kuwa na cheo hicho eti kwa sababu tu Kiingereza chake kimepinda? Acheni utani.
 
quote=;14126205]



"i am a politicians". "i dont want to take this time as saying so many political...."

"simple and clear is only congregations to you.."


"to the university korindor... , co... Cor,.. Colimbia univeristy to the assistance we are getting to this hospt"..

bila shaka huyu jamaa anatamani kimatumbi iwe lugha ya kufundishia tanzania.

Kwa kuwa alisoma katika mfumo wa lugha ya kiingereza, na katiba ya nchi inahitaji awe na kiwango sahihi cha elimu, huyu jamaa anayo hiyo elimu?

Kwa harufu ya degree za magumashi, ni dhahri alipishana na wahadhari mlangoni. Kwa mtino huu bado anasifa ya kugombea hata ubunge?

Unapochangia, ulinganishe na "saddam wa libya/kuwait"


linganisha na mgombea wa ukawa
mheshimiwa lowasa.

[/quote]
 
Last edited by a moderator:
Wasaalam wakuu
wagombea wetu mwaka huu wanachekesha sijui wanachapa kizungu cha marekani, Afrika kusini, Uingereza au wapi? Kama yule mwenye Phd yeye ni kuvuruga ligha za watu tu sasa sijui kama ataweza kupresent mambo kama afanyavyo raisi wa Kenya, au ndio atapiga kisukuma chake ?
 
mwaka huu tusidanganyane si ukawa si ccm kati ya hivyo vyama viwili hakuna mgombea maridadi kwenye kuzungumza hayupo? Ikifikia hatua watu wanapiga pish up ili hali watu maelfu wamejumuika wawasikie watawafanyia nini basi ujue kuna walakini huku ukawa nako wetu hawezi zungumza hata kwa nusu saa na anatafuna maneno si mchezo kwenye suala la kujieleza wote hawapo sawa kabisa
 
Back
Top Bottom