Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,951
- 9,977
Mbona kuna watu wanakosea hata kiswahili wakati wanaongea? Kukosea neno tu ndio mongwa, hawa vijana wana shidaKuna mtanzania anajua English? Acheni upuzi huyo ndio rais
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kuna watu wanakosea hata kiswahili wakati wanaongea? Kukosea neno tu ndio mongwa, hawa vijana wana shidaKuna mtanzania anajua English? Acheni upuzi huyo ndio rais
Imenishangaza sana, sijui ile sera namba moja ya ccm kuombaomba kwa wazungu ataitekeleza vipi kama akichaguliwa kuwa rais. sijui atakuwa anaomba kwa kiswahili au atakuwa anatembea na mkalimani kwa kazi maalumu ya kuombaomba
Breaking news: Nasikitika kuwatangazia kifo cha Carlos Valderrama kilichotokea leo asubuhi kutokana na kutimilika kwa ahadi yake ya kujinyonga iwapo angewekewa hotuba ya Mh. Mbowe kwa lugha ya Kiingereza.Ukiweka hotuba ya kiingereza ya Mbowe najinyonga.
Kingereza ni practice atajua tu, kaweza Diamond ashindwe Dr. Magufuri!!!!?
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kukosea na kutojua!Mbona kuna watu wanakosea hata kiswahili wakati wanaongea? Kukosea neno tu ndio mongwa, hawa vijana wana shida
Nakubaliana na wewe huyu hata desertations alifanyiwa aisee hajui kitu kabisa so shame
I am not perturbed by your oldfangled tactics in whatever way. #Magufuli4C
Nimezaliwa enzi za ukoloni kwa hiyo huniambii lolote. Kushadadia Kiingereza ni ujuha na umbumbumbu wa kutupwa. Zinduka.
Kwa Kiingereza hautakuja kunikaribia maishani mwako yote; kamwe. Kujiona una akili eti kwa sababu unaongea Kiingereza ni utumwa wa fikra tu, hakuna lingine. Wewe inaonekana bado hujitambui.Wewe unajionyesha namna gani ulikuw anaingia uvunguni ukiona wazungu ili wasikusemesha kingereza. Hujasoma shule hujui tunachokisema.
Nina mashaka hujui hata maana ya elimu.
Huyu ni mgombea wa uraisi ambaye kikatiba analazimika awe na elimu. Elimu anayodanganya watu kwamba anayo, ilifundishwa kwa kiingereza. Kama hajui hta kiingereza maana yake hajasoma kwa sababu alikuwa hawezi kufahamu nini kinafundishwa.
HATUHITAJI RAISI ALIYEGUSHI VYETI BILA KUSOMA.
Vipi kuhusu push up?!Hivi kuongea kiingereza ndio qualification za kuwa Rais? Ndio maana wachina na wale jamaa wa far east wanatuacha hapa tulipo. Tuendelee kulingia uwezo wetu wa kuongea kiingereza
kAMA ALIANDIKA PHF KWA KIINGEREZA NA MIAKA YOTE MITATU HAKUWEZA KUKIJUA ATAKIJUA LEO UZEENI? SASA HIVI ANATAKIWA AKITUMIE KWENYE KAZI SIO AKAJIFUNZE KIINGERZA! hUYU HATUFAI NI AIBU TUTAONEKANA WATANZANIA WOTW NI MAMBUMBUMBU. Mkumbuke kwa Tanzania kiingereza ni officiallanguage na ni lugha tumekuwa tunaitumia katika shughili za kiserikali kwa muda mrefu. Kwa hiyo huwezi kuifananisha Tanzania na china. China wao hawatumii kingerez kabisa kwenye official business nyumbani kwao. Sisi documents zote za serikali zipo kwa kiingereza. na ni lugha inayofundishwa na kutumika kufundishia primary an sekondari. Hivyo huwezi kutufananisha kabisa na china! maguduli ni bogus! Kule kukariri takwimu tukajua yupo njema kumbe hakuna kitu!