Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Enzi ya ukoloni kulikuwa na elimu ya ukweli sasa hivi CCM imeshusha elimu yetu chini. Hatutaki shule kama za Magufuli akili zake zimejaa ujinga na maguvuguvu utafikiri ikulu anakwenda kupigana kumbe kuna hitajika busara na akili. Huna tofauti na IQ ya Magufuli au Kikwete
Hata yeye sikasoma enzi za Nyerere kichwa kizito anacho