Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alifundisha 2H2 + O2=2H20..Hicho tu ndo akijuacho mengineyo mweupe.Nimejaribu kufuatilia uwezo na uelewa na mwenzetu huyu katika arena za kimataifa ni zero na uwenda akafanya vituko kama vya ndugu Mulugo aliyekuwa naibu waziri wa elimu kuwa Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe.
Hiyo ilitokana na kushindwa ngeli na kubaki kukariri tu.Upungufu huu wa exposure kimatiafa na lugha ni tatizo na dnio maana watu wasio na uwezo kama akina Makamba wanajitia kimbelembele kama wapiga zomari kwa makufuli huku wakinyendea nafsi kama washuri wake akibahatika kuwa raisi kama shetani atabariki.Mungu yupo upande wa Legwanani the Great.
Hivi kama alikuwa mwalimu alifundisahaje huko natafuta wanafunzi wake angalau nipate expreience ya huyu ndg yetu mapadlock
Ni nani alikudanganya kuwa Magufuli "lugha hiyo" inampiga chenga?
Lowassa hana ujanja kwa Magufuli, Lowassa ana ujanja kwa wachagga tu na ujanja wake ni mdogo sana, pesa.
Aliyetuletea hii thread na nyie mnaomtetea ndiyo mnatufanya tuamini hivyo!!!
I wish Christine Amanpour angetusaidia kumaliza huu utata!!!
Kwanza kabisa kujuwa Kingereza si kigezo cha kuwa Rais, ni Marais wangapi duniani wanajivunia lugha zao za Taifa na huwasikii hata mara moja wakiongea Kingereza.
Kwani anaenda kutawala Uingereza?
Kukumbusha tu, masomo aliyochukuwa chuo kikuu hakuna hata moja linalofundishwa Kiswahili.
Huna point. Kwa hali hiyo Wakurya wote nao hawajui Kiswahili kwa vile wana shida ya kutofautisha r na l? Na Wachagga wanaposema nji badala ya nchi? Au Wahaya wanapohangaishwa na irabu za Kiswahili na h? Mf. Hunasema nini badala ya unasema nini? Kila mmoja hata wewe hapo umeathirika na mfumo wa lugha mama na unahamishia mfumo huu katika lugha zingine. Ndiyo maana mpaka kufa kwako hutakaa uongee Kiingereza kama Waingereza wenyewe. Isitoshe umuduji wa lugha ni psychological approximation tu na hata ubobee namna gani huwezi kufikia kilele cha umuduji. Hata wewe hapo si ajabu sentensi moja tu ya Kiswahili mtu tayari anaweza kujua kabila lako.Makufuli hata kiswahili hajui,hajui tofauti ya R na L.Mara kwa mara raha anatamka laha.Kenyatta na Museveni wanamshinda,labda akienda UN atahutbia kwa kisukuma
eg.Nataka kuwaambi=nawaambi
Nataka kusema=nasema
ni mshamba tu
Nimejaribu kufuatilia uwezo na uelewa na mwenzetu huyu katika arena za kimataifa ni zero na uwenda akafanya vituko kama vya ndugu Mulugo aliyekuwa naibu waziri wa elimu kuwa Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe.
Hiyo ilitokana na kushindwa ngeli na kubaki kukariri tu.Upungufu huu wa exposure kimatiafa na lugha ni tatizo na dnio maana watu wasio na uwezo kama akina Makamba wanajitia kimbelembele kama wapiga zomari kwa makufuli huku wakinyendea nafsi kama washuri wake akibahatika kuwa raisi kama shetani atabariki.Mungu yupo upande wa Legwanani the Great.
Hivi kama alikuwa mwalimu alifundisahaje huko natafuta wanafunzi wake angalau nipate expreience ya huyu ndg yetu mapadlock
Ukitaka lugha za kulemba mfate JK na Membe
Nimejaribu kufuatilia uwezo na uelewa na mwenzetu huyu katika arena za kimataifa ni zero na uwenda akafanya vituko kama vya ndugu Mulugo aliyekuwa naibu waziri wa elimu kuwa Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe.
Hiyo ilitokana na kushindwa ngeli na kubaki kukariri tu.Upungufu huu wa exposure kimatiafa na lugha ni tatizo na dnio maana watu wasio na uwezo kama akina Makamba wanajitia kimbelembele kama wapiga zomari kwa makufuli huku wakinyendea nafsi kama washuri wake akibahatika kuwa raisi kama shetani atabariki.Mungu yupo upande wa Legwanani the Great.
Hivi kama alikuwa mwalimu alifundisahaje huko natafuta wanafunzi wake angalau nipate expreience ya huyu ndg yetu mapadlock
Kwanza kabisa kujuwa Kingereza si kigezo cha kuwa Rais, ni Marais wangapi duniani wanajivunia lugha zao za Taifa na huwasikii hata mara moja wakiongea Kingereza.
Kwani anaenda kutawala Uingereza?
Kukumbusha tu, masomo aliyochukuwa chuo kikuu hakuna hata moja linalofundishwa Kiswahili.
Kwani magufuli anajua kiswahili?
Wakiitwa wanaojua kiswahili na magufulili atajitokeza?
Mbumbumbu Wa lugha
Magufuli hata ukimuangalia appereance yake tu hastahili hata kuwa diwani, cjui uwaziri aliupataje huyu mzee? Yaani magufuli hawezi kuwa rais yupoyupo tu hana mvuto kabisa.
Kwani magufuli anajua kiswahili?
Wakiitwa wanaojua kiswahili na magufulili atajitokeza?
Mbumbumbu Wa lugha
Hiv rais wa china anajua hata english kweli?... mi nadhqn hiyo siyo ushu hasa kwa wazalendo...labda kuwe na sababu nyingine.....hasa yenye mashiko
Kumbe hajui kabisa kiingereza!. Nimeshangaa aliwasilisha vipi reseach zake? Ninaona harufu ya karibu ya degree za mizani aka bao la mkono.
Kumbe jasiri haachi asili!. Ccm ni ccm tu wamezoea vya kunyonga!
Du, kweli sikuwah kufikiria. Kumbe ccm walianza zamani kuchakachua!.