Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Bado kiingereza sio priority at all. Tutaangalia vigezo vingine ila sio yai
Kwa sababu ni tatizo la taifa.
Sasa hivi hata ukitaka rais anayejua kiingereza cha yai kati ya hao wawili ulionao huna.
Lowassa anasema "our people are more poorer", Magufuli anaongea kiingereza cha Malampaka.
Kwa hiyo hata kiingereza kingekuwa priority, huna uchaguzi, kwa sababu ni tatizo la kitaifa.
Kuanzia presidential candidates mpaka housegirls.
Na utabeza umuhimu wa kiingwreza mpaka hapo rais wako atakapoenda Davos na mkalimani na kupoteza deals jwa kuwa kitu kimekuwa lost in translation.
Au kufanya gaffe itakayotufanya tuwe laughingstock of the world.