jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Nadhani tatizo hapa ni zaidi ya kiingereza. Ni suala la weledi na mantiki. Hicho kiingereza ulichokiona ni dalili tu lakini kuna tatizo kubwa zaidi kuhusu uwezo wa kifikra wa viongozi wetu. Lakini kwa kuwa tumeamua kufungia macho ujinga acha twende hivyohivyo kuna siku tutaamka.
Tatizo la uwezo wa kifikra sio la viongozi wetu tu ni la jamii nzima,Na inawezekana limezalishwa na jamii ya waalimu wetu wewe ukiwemo.