[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee khaaah, kwani watoto wa shamba hawataki madaraka?CCM ushauri kwenu, najua nyinyi ndio mmeshika jembe, Polisi, NEC na kila kitu ni mali ya chama nawaomba msije kusimamisha tena mtu wa dizaini ile....hakuna alie kamili, kila mtu ana mapungufu ila pale Taifa lililamba garasa.
Yani hadi Mungu mwenyewe amewakumbusha.
Walau basi muweke watoto wa mjini.
Uyu nae vp tena??Huyo picha naye anautaka ubunge kea tiketi ya ccm kisha apewe uwaziri!!! Ajabu kabisa hii nchi!! Yan Nyerere angefufuka angepiga watu vibokoView attachment 1818527
Lowasa alishashiba asingetuibia alitafuta tu legacy.Ben na mzee Msoga ndoo tunawalaum na hatutakaa tukawasamehe,wameturudisha nyuma kama miaka 10 iliyopita.Mwaka 2015 wao waliona mwenda zake ndoo alikuwa anafaa couse alionekana hana harufu ya rushwa na ufisadi kumbe walikuwa wanajidanganya.Sasa kilichokuja kutokea ni mara 7 wangemuweka Edward nchi ikaendelewa kuliwa lakini watu wanaishi vizuri .
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Kuna jirani yangu kila usiku nasikia anapiga hotuba za mwendazake, jana nilisikia ile anagawa laki moja kununua jogoo sijui mama yake atamuoza🐒🤣🤸♂️Hotuba za Nyerere tunaziangalia mpk leo na Zina mafunzo yaani zinaishi.
Hotuba za Magu sijui zitakuja kuangaliwa na nani,hazina mafunzo, hazina maadili yaani ziko ziko tu.
Kama zilivyo za mkapa na kikwete na mwinyi yaani hazipo hata youtube tu. Wengine mpaka wanalazimisha kukumbukwa kwa vitabu japo hata dunia haijuiHotuba za Nyerere tunaziangalia mpk leo na Zina mafunzo yaani zinaishi.
Hotuba za Magu sijui zitakuja kuangaliwa na nani,hazina mafunzo, hazina maadili yaani ziko ziko tu.
Bora wenye kuandika vitabu wameacha legacy ya maana,yule jamaa yeye angeandika kitabu kingekua kimejaa matusi tu.Kama zilivyo za mkapa na kikwete na mwinyi yaani hazipo hata youtube tu. Wengine mpaka wanalazimisha kukumbukwa kwa vitabu japo hata dunia haijui
Nafikiri ilikuwaaje kwa sababu ww ni muuza unga,jambazi ,corrupt .Ilikuaje mpaka Magu akawa RAIS akawazuia kupiga dili.Wakuu
Historia ya nchi ina mapito mengi sana mapito mazuri na mapito mabaya, lakini ilikuaje kama nchi tukapata viongozi aina ya watu waliotajwa hapo juu,
Najaribu kuwaza nashindwa kupata jibu ilitokea nini hadi tukaongozwa na watu wa kariba hiyo natamani vizazi vijavyo visipate kufahamu historia za viongozi wa aina hiyo yaani wasikumbukwe kwa lolote kabisa maana ukihadithiwa ukweli unaweza kujikuta unaanza kulia kwa uchungu jinsi walivotuongoza hawa waliotajwa hapo juu.
Nauliza ilikuaje wakawa viongozi?
Ila mungu anatupenda,nchi zingine madikteta wanatawala Hadi miaka 20 na zaidi ,ila dikteta wetu alipewa muhula mfupi,Wakuu
Historia ya nchi ina mapito mengi sana mapito mazuri na mapito mabaya, lakini ilikuaje kama nchi tukapata viongozi aina ya watu waliotajwa hapo juu,
Najaribu kuwaza nashindwa kupata jibu ilitokea nini hadi tukaongozwa na watu wa kariba hiyo natamani vizazi vijavyo visipate kufahamu historia za viongozi wa aina hiyo yaani wasikumbukwe kwa lolote kabisa maana ukihadithiwa ukweli unaweza kujikuta unaanza kulia kwa uchungu jinsi walivotuongoza hawa waliotajwa hapo juu.
Nauliza ilikuaje wakawa viongozi?
Exactly,kwa upande wa Magu Hana hotuba hata moja ya kuvutia,zaidi ya kufoka foka tu,na kauli Kama bakini na "Mavi yenu majumbani"Hotuba za Nyerere tunaziangalia mpk leo na Zina mafunzo yaani zinaishi.
Hotuba za Magu sijui zitakuja kuangaliwa na nani,hazina mafunzo, hazina maadili yaani ziko ziko tu.
umeongea fact mkuu, ila tusiwalaumu sana,hawakujua Kama mwenzao mental health yake haikuwa poaBen na mzee Msoga ndoo tunawalaum na hatutakaa tukawasamehe,wameturudisha nyuma kama miaka 10 iliyopita.Mwaka 2015 wao waliona mwenda zake ndoo alikuwa anafaa couse alionekana hana harufu ya rushwa na ufisadi kumbe walikuwa wanajidanganya.Sasa kilichokuja kutokea ni mara 7 wangemuweka Edward nchi ikaendelewa kuliwa lakini watu wanaishi vizuri .
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
CCM kimeshakoma kuwa chama cha siasa lilishabaki kuwa genge la wezi.Hakuna kosa tulilowahi kulifanya watanzania kama kuruhusu watu wasio na uwezo kuwa wanasiasa !!!! Hili ndilo limetamalaki kwa sasa ,hasa katika chama cha mapinduzi hilo tuache unafiki ndio lililopo!!! Mtu anajifanya ni mtiifu kwa cha ana foji mpaka cheti cha taaluma ili apate cheo!! Kibaya zaidi eti hata mwanasiasa akifoji vyeti vya taaluma sheria haimgusi kama alivyofanya bashite!! Lakin mtumishi yoyote anaondolewa kazini!!? Kweli hili ni ajabu kabisa!!!
Panatakiwa katiba mpya ili upatikanaji wa viongozi wawe wanafanyiwa usaili,.
Iwe ni wazi kua Kuwa wanaccm sio tiketi ya kupata cheo!!! Cha uwaziri,ukuu wa mkoa,ukuu wa wilaya au u das!! Hivi vyeo watu wenye sifa bila kujali vyama waombe kazi na wapewe usaili!??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui kwanini nimecheka
Duh!Kuna jamaa flan Tanroad alinisimuliaga magu alivyokuwa waziri alikataa kabisa kusijengwe barabara za waenda kwa miguu (sidewalks) eti ni anasa. Wakati yeye alikua akilamba na kukunja 10%
Unaharibu legacy mkuuMkuu hivi ulishajiuliza ilikuajekuaje watu kama hao wakapata dhamana ya kutuongoza sisi wananchi
Yan ukitaka kuonekana hooligan and stupid msifie magu!??? Yan magu na mama wakisimama aneonekana ana PhD ni mama Samia !!! Yan mpaka huwa najiuliza magu alifaulu vipiNafikiri ilikuwaaje kwa sababu ww ni muuza unga,jambazi ,corrupt .Ilikuaje mpaka Magu akawa RAIS akawazuia kupiga dili.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hotuba za Nyerere tunaziangalia mpk leo na Zina mafunzo yaani zinaishi.
Hotuba za Magu sijui zitakuja kuangaliwa na nani,hazina mafunzo, hazina maadili yaani ziko ziko tu.
Kabisa yan!!! Yan imefikia ccm inamhonga pesa mpinzani ili aende ccm kisha anapewa ubunge na uwaziri!!! Ile ilikua ni aibu sana kwa ccm Ila magu hakujua!??CCM kimeshakoma kuwa chama cha siasa lilishabaki kuwa genge la wezi.
Tusitegemee tena kupata viongozi kutoka ccm tutaendelea kupata wezi na saddists.
Hebu angalia kule Bungeni kama utaona Leader material ?
Angalia nje ya bunge kutoka ccm kama utaona leader material?
CCM ilikoma kutengeneza viongozi baada ya Nyerere kuachia madaraka ya mwenyekiti wa chama.
Ndiyo maana ilimlazimu Bashiru na Polepole kufanya kazi ya kusaka viongozi kutoka vyama vingine kwa gharama yoyote.
Na wote aliowanunua polepole na Bashiru ni mawaziri kwenye serikali.