Ni heri nionekane nina roho mbaya na kauzu kuliko kufadhili binadamu, binadamu hajawahi kuwa na shukrani hata siku moja ( ni wachache mno). Magufuli alijitoa sana kwa wananchi wa Tanzania alifanya kazi usiku na mchana, aligusa kila nyanja na hakuna kipindi chochote watanzania tulichoshuhudia maendeleo ya haraka kama kipindi cha JPM. Wengi mlioshupaza shingo kutaka kuharibu legacy ya Magu wengi wenu ni wezi, majambazi, wala rushwa, wapinzani msiojielewa au watu msiolitakia mema taifa letu.
NB: mtu kama kikwete anaonekana ndio kipenzi cha wengi kwa sasa ni kwasababu alikua ni kiongozi dhaifu sana, watu walipiga sana hela hali ya kuwa yeye mwenyewe yupo bize akipiga picha na Marais wa dunia. Zaidi na zaidi Magu pia ni binadamu hivyo ana mapungufu ya kiubinadam, ila ukweli ni kwamba ukiachana na nyerere basi rais bora wa muda wote atabaki kuwa ni magufuli, ndiye rais aliyeliliwa na karibu Africa nzima pindi mauti ilipomfika .. RIP MAGUFULI MUNGU AKULAZE MAHALI PEMA PEPONI AMEEN ..
Mwendazake hakuwa kiongozi sahihi kwa nchi yetu na alipatikana kwa udhaifu wa Kikwette kutaka kumuengua Lowassa huku akimg'ang'ania Membe. Ile chuki, utekaji, uuaji, kudharau Katiba, kutofuata Utawala wa Sheria, kupendelea kwao na wizi siyo tabia ambayo ilikuwa imampendeza MunguWakuu
Historia ya nchi ina mapito mengi sana mapito mazuri na mapito mabaya, lakini ilikuaje kama nchi tukapata viongozi aina ya watu waliotajwa hapo juu,
Najaribu kuwaza nashindwa kupata jibu ilitokea nini hadi tukaongozwa na watu wa kariba hiyo natamani vizazi vijavyo visipate kufahamu historia za viongozi wa aina hiyo yaani wasikumbukwe kwa lolote kabisa maana ukihadithiwa ukweli unaweza kujikuta unaanza kulia kwa uchungu jinsi walivotuongoza hawa waliotajwa hapo juu.
Nauliza ilikuaje wakawa viongozi?
Eti mwanaharakati huru.Mwingine huyoooView attachment 1818529
Unamwita huyo boya Republican?Kila zama na kitabu chake ndio maana Marekani kuna democrats (Rais Samia) na Republicans (Rais Magufuli). Aliyoyafanya JPM yalikuwa sahihi kwa wakati wake ila sasa tumuunge mkono mama yetu kipenzi (Democrat) Samia Hassan.
Si vyema kuwaita Watanzania kuwa watu wa ovyo sana. Lakini umesema kweli kabisa kuhusu madaraka ya Rais wa Tanzania: anaweza kufanya chochote kwa jinsi anavyojisikia. Anaweza hata kuwa kichaa hasa. Akishakamata hazina ya taifa na vyombo vya dola na kuweka watu wake kwenye nafasi zote nyeti, hakuna wa kuhoji chochote atakachosema, kuagiza au kufanya.Uhitaji katiba kuitawala Tanzania.
Tanzanian ni miongoni mwa nchi mtu yoyote anaweza kuwa Rais na akatawala kwa vile anajisikia yeye.
Shida ni watanzania sio katiba , watanzania ni watu wa hovyo sana.
Mbona hivyooo kwani ukitoa hoja kumtetea mwendazake badala ya matusi inakuaje au ndio tuamini nyinyi ni wale ndege wafananao? Usitukumbushie matusi bhana!Magufuli kawa kiongoz kabla wew hujaanza kunyoa vuz.i....unauliza leo alitoka wap...magufulis character haikuanza leo..yuko hvyo toka akiwa chato mbunge na wazir..na aliendelea kuwa credited na wenye nchi na kupanda had kawa rais...wew umekaa hapo na pu.mbu zako una type huna mbele wala nyuma unauliza et alitoka wap.?...wee mk..... Nn