Magufuli: Mimi ndio Rais, ninajua siri zote za nchi

Magufuli: Mimi ndio Rais, ninajua siri zote za nchi

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,117
Reaction score
3,153
HOTUBA YA JPM ITAKAYOISHI MILELE NA KUREJEWA NA VIZAZI VIJAVYO

Nanukuu

Mimi ndio Rais ninajuwa siri zote za Nchi hii. Linisingeweza kuzungumza haya kama haya ninayozungumza siyajui,ni kuguswa tu na roho mtakatifu nashindwa kuwataja, tumechezewa mno ndiyo maana nayasema haya hadharani ndugu zangu kwamba tumechezewa mno.

Nataka niwahakikishie ndugu zangu katika awamu hii ya 5 chini ya Uongozi wangu HAKUNA KUCHEZEWA. Waje wanalia, Waje wanazunguka, Watajitahidi kutuchonganisha lakini tuseme hakuna kuchezewa. NI AIBU! Tanzanite zilikuwa zinasombwa tu?

Ndio maana nchi inayoongoza kuuza Tanzanite Duniani sio Tanzania! 🇹🇿 Nchi ya pili inayoongoza kuuza Tanzanite sio Tanzania! 🇹🇿 Wakati Madini ya Tanzanite yako Tanzania tu😣 🇹🇿. Na ndio maana yaliitwa Tanzanite kutokana na neno Tanzania 🇹🇿.

Fedha zote zilizokusanywa za Tanzanite duniani,Tanzania imepata asilimia tano (5.%) Asilimia tisini na tano (95.%) zimeliwa na wengine wa nje, mnataka ndugu zangu niache kulizungumza hili? sasa nilichaguliwa kuwa Rais wa nini? kama sitazungumza huu uozo hadharani? Nikakae kimya tu kwa kumuogopa nani? Sababu ya maisha yangu?

Si nafuu nizikwe kaburini lakini niuseme ukweli Watanzania waujue? Kwa hiyo ninataka kuwaambia ndugu zangu vita ya uchumi ni ngumu zaidi kiliko vita ya kawaida, kumnyang'anya Mtu alichozowea kukipata bure! Na kuwadharau watanzania ni mambumbumbu, wapumbavu Wajinga, si jambo rahisi, ndio maana nawaomba sana wote tusimame kwa pamoja tuwe wa moja tupiganie haki zetu.

Siku zote nawaambia ndugu zangu sio kwamba sina damu, au sio kwamba mimi sipendi hela. NAJUA MKIAMUA TUTAFIKA.
R.I.P. JPM🙏🙏🙏 😭😭😭,MWAMBA, SHUJAA SIMBA WA VITA🇹🇿

PUMZIKA KWA AMANI MWANA WA AFRIKA
 
Licha ya kutofautiana naye kwa baadhi ya mambo hasa mambo yake ya hovyo, JPM ndiye president mzalendo aliyewahi kutawala Tanzania. Another man I love most ni Tundu Lissu licha ya kwamba tunatofautiana baadhi ya mambo. Lissu ni hazina ya taifa. Ni national asset.
 
JPM huyu huyu?

IMG_20211212_185614_232.jpg
 
Licha ya kutofautiana naye kwa baadhi ya mambo hasa mambo yake ya hovyo, JPM ndiye president mzalendo aliyewahi kutawala Tanzania. Another man I love most ni Tundu Lissu licha ya kwamba tunatofautiana baadhi ya mambo. Lissu ni hazina ya taifa. Ni national asset.
Sorry nje ya mada fatma, huyo kwenye avatar ni wewe?
 
Huyu mzee ana laana na kalaaniwa. Yaani ni moja ya majizi na mafisadi makubwa. Tunaamini Mama atayaona na kuyaweka mbali. Kuwa campaign manager wa Dkt Magufuli haikumfanya amvumilie kwa kuiiba mali za chama. Watu kama hawa hawana faida kwenye taifa, ni bora asingezaliwa. Polepole alichokiongea hakihusiani na alichokisema.

Pia inaonekana CCM ni chama cha wachache hata Mama wanamhesabu ni mtu wa kuja! So Mama awe makini hawa wauaji maana kauli za bulembo na nape zinaashiria wana hasira na watu wa kuja.
 
Magufuli ndiye fisadi Papa wa muda wote kwani haijawahi kutokea tokea uhuru Rais akapiga ufisadi wa TZS 1.5 trilioni ndani ya awamu moja ya uongozi.

Ufisadi aliopiga Magufuli ni mkubwa kuliko ufisadi wote wa awamu zote nne za nyuma yake ukijumlisha kwa pamoja.

Ufisadi huu utaishi milele na utarejewa na vizazi vijavyo.

Sifa na utukufu zimwendee CAG Profesa Musa Assad ambae alifanya kazi nzuri sana ya kuibua ufisadi ule.

20211209.jpg
202112089.jpg
1638703545.jpg
202p.jpg
 
Hii ni contradiction
Licha ya kutofautiana naye kwa baadhi ya mambo hasa mambo yake ya hovyo, JPM ndiye president mzalendo aliyewahi kutawala Tanzania. Another man I love most ni Tundu Lissu licha ya kwamba tunatofautiana baadhi ya mambo. Lissu ni hazina ya taifa. Ni national asset.
 
Licha ya kutofautiana naye kwa baadhi ya mambo hasa mambo yake ya hovyo, JPM ndiye president mzalendo aliyewahi kutawala Tanzania. Another man I love most ni Tundu Lissu licha ya kwamba tunatofautiana baadhi ya mambo. Lissu ni hazina ya taifa. Ni national asset.

Fatma

Ilikuwa nikupe complimentary ya LIKE

Ila kuna chizi umemtaja hapo kwenye aya yako ya Mwisho.

Hayo mambo ya Hovyo ya JPM ndiyo sababu iliyochangia tabaka la chini kumpenda

Mutu yenye maamuzi, Mutu yenye msimamo!

Achana na hao mbilimbili wengine,

the guy was really not fake like Chinese handset!

Thanks!
 
Huyu mzee ana laana na kalaaniwa. Yaani ni moja ya majizi na mafisadi makubwa. Tunaamini Mama atayaona na kuyaweka mbali. Kuwa campaign manager wa Dkt Magufuli haikumfanya amvumilie kwa kuiiba mali za chama. Watu kama hawa hawana faida kwenye taifa, ni bora asingezaliwa. Polepole alichokiongea hakihusiani na alichokisema. Pia inaonekana CCM ni chama cha wachache hata Mama wanamhesabu ni mtu wa kuja! So Mama awe makini hawa wauaji maana kauli za bulembo na nape zinaashiria wana hasira na watu wa kuja.

Polepole kasema kumejaa wahuni.

Hapa kunahitajika katiba mpya tu.
 
Tunashukuru katupa mwangaza wa kujua mambo ambayo deep state hufanya
 
Huyu mzee lazima angaliwe kwa jicho la mbali sana anaaza kumnanga bashiru na polepole anajihami mapema maana Bashiru ana siri nyingi sana za mafisadi wa mali za ccm na waliojimilikisha mali za ccm wanawajuwa kwa majina maana bashiru alikuwa mwenyekiti wa kamati ya kukagua mali za ccm ndo maana wanawaandama sana tuwe makini watz na hawa watu
 
Chama cha kifamilia
Huyu mzee ana laana na kalaaniwa. Yaani ni moja ya majizi na mafisadi makubwa. Tunaamini Mama atayaona na kuyaweka mbali. Kuwa campaign manager wa Dkt Magufuli haikumfanya amvumilie kwa kuiiba mali za chama. Watu kama hawa hawana faida kwenye taifa, ni bora asingezaliwa. Polepole alichokiongea hakihusiani na alichokisema. Pia inaonekana CCM ni chama cha wachache hata Mama wanamhesabu ni mtu wa kuja! So Mama awe makini hawa wauaji maana kauli za bulembo na nape zinaashiria wana hasira na watu wa kuja.
Magufuli mwenyewe alikuwa mshamba tu kotoka huko bara. Alitaka kupora chama cha wenyewe akatulizwa
 
Back
Top Bottom