Magufuli: Mimi ndio Rais, ninajua siri zote za nchi

Huyu mzee ana laana na kalaaniwa. Yaani ni moja ya majizi na mafisadi makubwa. Tunaamini Mama atayaona na kuyaweka mbali. Kuwa campaign manager wa Dkt Magufuli haikumfanya amvumilie kwa kuiiba mali za chama. Watu kama hawa hawana faida kwenye taifa, ni bora asingezaliwa. Polepole alichokiongea hakihusiani na alichokisema. Pia inaonekana CCM ni chama cha wachache hata Mama wanamhesabu ni mtu wa kuja! So Mama awe makini hawa wauaji maana kauli za bulembo na nape zinaashiria wana hasira na watu wa kuja.
Mama awe makini saiz wanampamba kama ilivyokuwa kwa Magufuli lakini akiondoka watamsema hivi hivi
Saiz wanamsifu wanasema mama anafungua inchi
Magufuli walimsifu kuwa anajenga inchi.!
 
Ni kweli, Mama afanye anachokiamini na akemee huu upumbavu wa kumlinganisha na awamu ya Dkt Magufuli. Tena ningefurahi kama angetokeza kukemea hawa akina Bulembo
 
HOTUBA YA JPM ITAKAYOISHI MILELE NA KUREJEWA NA VIZAZI VIJAVYO

Nanukuu

Mimi ndio Rais ninajuwa siri zote za Nchi hii.l,nisingeweza kuzungumza haya kama haya ninayozungumza siyajui,ni kuguswa tu na roho mtakatifu nashindwa kuwataja,tumechezewa mno ndiyo maana nayasema haya hadharani ndugu zangu kwamba tumechezewa mno.

Nataka niwahakikishie ndugu zangu katika awamu hii ya 5 chini ya Uongozi wangu HAKUNA KUCHEZEWA. Waje wanalia, Waje wanazunguka, Watajitahidi kutuchonganisha lakini tuseme hakuna kuchezewa. NI AIBU,!! Tanzanite zilikuwa zinasombwa tu !!?

Ndio maana Nchi inayoongoza kuuza Tanzanite Duniani sio Tanzania ,!! [emoji1241] Nchi ya pili inayoongoza kuuza Tanzanite sio Tanzania,!! [emoji1241] Wakati Madini ya Tanzanite yako Tanzania tu[emoji21] [emoji1241]. Na ndio maana yaliitwa Tanzanite kutokana na neno Tanzania [emoji1241].

Fedha zote zilizokusanywa za Tanzanite duniani,Tanzania imepata asilimia tano ( 5.% ) Asilimia tisini na tano ( 95.% ) zimeliwa na wengine wa nje,mnataka ndugu zangu niache kulizungumza hili,!? sasa nilichaguliwa kuwa Rais wa nini,!? kama sitazungumza huu uozo hadharani,? Nikakae kimya tu kwa kumuogopa nani,?sababu ya maisha yangu,!?

Si nafuu nizikwe kaburini lakini niuseme ukweli Watanzania waujue. ..??? Kwa hiyo ninataka kuwaambia ndugu zangu vita ya uchumi ni ngumu zaidi kiliko vita ya kawaida,kumnyang'anya Mtu alichozowea kukipata bure,,!! Na kuwadharau watanzania ni mambumbumbu, wapumbavu Wajinga,, si jambo rahisi,ndio maana nawaomba sana wote tusimame kwa pamoja tuwe wa moja tupiganie haki zetu.

Siku zote nawaambia ndugu zangu sio kwamba sina damu, Au sio kwamba mimi sipendi hela,.NAJUA MKIAMUA TUTAFIKA.
R.I.P. JPM[emoji120][emoji120][emoji120] [emoji24][emoji24][emoji24],MWAMBA,SHUJAA,
SIMBA WA VITA[emoji1241]

PUMZIKA KWA AMANI MWANA WA AFRIKA
Mhuni aloyeasisi Uhuni ambaye Kwa SASA Yuko Jehanamu
 
HOTUBA YA JPM ITAKAYOISHI MILELE NA KUREJEWA NA VIZAZI VIJAVYO

Nanukuu

Mimi ndio Rais ninajuwa siri zote za Nchi hii.l,nisingeweza kuzungumza haya kama haya ninayozungumza siyajui,ni kuguswa tu na roho mtakatifu nashindwa kuwataja,tumechezewa mno ndiyo maana nayasema haya hadharani ndugu zangu kwamba tumechezewa mno.

Nataka niwahakikishie ndugu zangu katika awamu hii ya 5 chini ya Uongozi wangu HAKUNA KUCHEZEWA. Waje wanalia, Waje wanazunguka, Watajitahidi kutuchonganisha lakini tuseme hakuna kuchezewa. NI AIBU,!! Tanzanite zilikuwa zinasombwa tu !!?

Ndio maana Nchi inayoongoza kuuza Tanzanite Duniani sio Tanzania ,!! 🇹🇿 Nchi ya pili inayoongoza kuuza Tanzanite sio Tanzania,!! 🇹🇿 Wakati Madini ya Tanzanite yako Tanzania tu😣 🇹🇿. Na ndio maana yaliitwa Tanzanite kutokana na neno Tanzania 🇹🇿.

Fedha zote zilizokusanywa za Tanzanite duniani,Tanzania imepata asilimia tano ( 5.% ) Asilimia tisini na tano ( 95.% ) zimeliwa na wengine wa nje,mnataka ndugu zangu niache kulizungumza hili,!? sasa nilichaguliwa kuwa Rais wa nini,!? kama sitazungumza huu uozo hadharani,? Nikakae kimya tu kwa kumuogopa nani,?sababu ya maisha yangu,!?

Si nafuu nizikwe kaburini lakini niuseme ukweli Watanzania waujue. ..??? Kwa hiyo ninataka kuwaambia ndugu zangu vita ya uchumi ni ngumu zaidi kiliko vita ya kawaida,kumnyang'anya Mtu alichozowea kukipata bure,,!! Na kuwadharau watanzania ni mambumbumbu, wapumbavu Wajinga,, si jambo rahisi,ndio maana nawaomba sana wote tusimame kwa pamoja tuwe wa moja tupiganie haki zetu.

Siku zote nawaambia ndugu zangu sio kwamba sina damu, Au sio kwamba mimi sipendi hela,.NAJUA MKIAMUA TUTAFIKA.
R.I.P. JPM🙏🙏🙏 😭😭😭,MWAMBA,SHUJAA,
SIMBA WA VITA🇹🇿

PUMZIKA KWA AMANI MWANA WA AFRIKA

1.5T
 
Huyu mzee lazima angaliwe kwa jicho la mbali sana anaaza kumnanga bashiru na polepole anajihami mapema maana Bashiru ana siri nyingi sana za mafisadi wa mali za ccm na waliojimilikisha mali za ccm wanawajuwa kwa majina maana bashiru alikuwa mwenyekiti wa kamati ya kukagua mali za ccm ndo maana wanawaandama sana tuwe makini watz na hawa watu
😂😂😂😂😂
 
Pamoja na nia njema ya Mzee Magufuli sijui kwanini alifanya haya
1. Kutokemea vitendo vya watu kupotea na kuuwawa
2. Kutoongeza maslahi kwa watumishi wa umma
3. Kubariki biashara ya kununua wanasiasa wa upinzani
4. Kuzungumza lugha za kibaguzi kwa watu waliopata tetemeko Kagera, kuzungumza lugha ya kibaguzi kwa waliovunjiwa nyumba zao
5. Kuita trafic police kunywa nao chai ikulu ile siku meli imezama kule Ukerewe na Taifa liko katika msiba na wala hakuwahi kwenda kule

Orodha ni ndefu
Ila alijitahidi kwa kiasi chake
 
Toka alipozungumza haya hakuwa kuonekana tena hadharani mpaka leo
 
Pamoja na nia njema ya Mzee Magufuli sijui kwanini alifanya haya
1. Kutokemea vitendo vya watu kupotea na kuuwawa
2. Kutoongeza maslahi kwa watumishi wa umma
3. Kubariki biashara ya kununua wanasiasa wa upinzani
4. Kuzungumza lugha za kibaguzi kwa watu waliopata tetemeko Kagera, kuzungumza lugha ya kibaguzi kwa waliovunjiwa nyumba zao
5. Kuita trafic police kunywa nao chai ikulu ile siku meli imezama kule Ukerewe na Taifa liko katika msiba na wala hakuwahi kwenda kule

Orodha ni ndefu
Ila alijitahidi kwa kiasi chake
Alikuwa katili sn
 
Huyu mzee lazima angaliwe kwa jicho la mbali sana anaaza kumnanga bashiru na polepole anajihami mapema maana Bashiru ana siri nyingi sana za mafisadi wa mali za ccm na waliojimilikisha mali za ccm wanawajuwa kwa majina maana bashiru alikuwa mwenyekiti wa kamati ya kukagua mali za ccm ndo maana wanawaandama sana tuwe makini watz na hawa watu
Bashiru ni takataka ashughulikiwe vizuri
 
Kwan akihutubia hiyo mikutano mikubwa, Tanzania 🇹🇿 inafaidika vipi? Masikini baba babu mtt dada kaka kule kijiji kasuli au kikelelwa ataletea maji au umeme, kod zitapungua...

Fikiria nje ya box mkuu. Ukiwa ndani ya box huwezi kuona na wenye taabu na kina sabaya na genge lao utawachukia bure 😁😁.

Kosa ni kurudia
 
Back
Top Bottom